DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Ikifika world cup Ronaldo anakua mnyonge sana... hana tofauti na akina Denis Kibu
Huwa ninamuonea huruma sana.Ikifika world cup Ronaldo anakua mnyonge sana... hana tofauti na akina Denis Kibu
Hatutakiwi kumpima Messi kwa time ambayo hatakuwapo.Hapa Messi lazima akubali tu kuwa Mbappe lazima atakuwa juu yake hata kama sio time hii.
Upo sahihi kabisa.Hatutakiwi kumpima Messi kwa time ambayo hatakuwapo.
Labda kipimo kizuri zaidi si idadibya magoli bali ni average ya magoli kwa kila mechi aliyocheza.
Maana kuna watu wanassma miaka ya nyuma michuano haikuwa nabtimu nyingi sana, na hivyo mechi hazikiwa nhingi kama sasa, na hivuo magoli hayakuwa mengi oia.
Kwa hiyo, kw amfano tu bika kuweka namba halisi, ikiwa Pele kacheza mechi 30 na Messi kacheza mechi 60, kuwalinganisha Pele na Messi kwa namba ya magoli si sawa. Kwa sababu Messi kacheza nechi nyingi zaidi.
Ila tunaweza kuwalinganisha kwa average, wamefunga magoli mangapi kwa kila mechi on average.
Hiki ndio kipimo sahihi sanaHatutakiwi kumpima Messi kwa time ambayo hatakuwapo.
Labda kipimo kizuri zaidi si idadi ya magoli bali ni average ya magoli kwa kila mechi aliyocheza.
Maana kuna watu wanasema miaka ya nyuma michuano haikuwa na timu nyingi sana, na hivyo mechi hazikuwa nyingi kama sasa, na hivyo magoli hayakuwa mengi pia.
Kwa hiyo, kwa mfano tu bila kuweka namba halisi, ikiwa Pele kacheza mechi 30 na Messi kacheza mechi 60, kuwalinganisha Pele na Messi kwa namba ya magoli si sawa. Kwa sababu Messi kacheza mechi nyingi zaidi.
Ila tunaweza kuwalinganisha kwa average, wamefunga magoli mangapi kwa kila mechi on average.
Kwa hiki kipimo Mbappe ni 🔥Hiki ndio kipimo sahihi sana
Mbape ana nafasi ya kumfikia na kumpita Messi. Ana umri wa miaka 27 ana magoli 14Messi amewakosesha kabisa trending kina Mbappe na Haaland
Ya Mungu mengi vipi Mbape akivunjika mguu atafunga kwa mikono?Na hata kama Messi akiwa kileleni Kwa ufungaji huo baada ya kombe hili,hiyo rekodi yake itavunjwa baada ya miaka minne TU na Mbape kwani kijana Bado ana mashindano yajayo yasiyopungua mawili.
Mbappe sio mashindano haya tu bali ana nafasi hata mashindano yajayo.
Ukifika muda wake atazungumziwa lakini kwa sasa ni muda wa La Pulga Atómica 🔥hiyo rekodi mwenyewe ni Mbappe, inasubiriwa muda wake tu.
Messi alifunga goli lake la kwanza WC ya 2006 Mbape akiwa na umri wa miaka 7Kwa hiki kipimo Mbappe ni 🔥
20 kama nazionaAmeshapiga la 17 huko 😀🤫
I bet atafikisha goal 20
Wale waarabu ndo watakufa nyingi sanaKapiga 2 Leo 😁😁
Huyu atafikisha hata 25 🙌
kabisa! CR7 kwangu mm ni alfa na omega alikuwa habebwi km huyo messinaLicha ya messi kuweka records mbalimbali,CR7 bado ataendelea kuwa G.O.A.T
Duh !! So Messi Leo kapiga 2 so unaweza kuniambia Leo kabebwa Nini !?kabisa! CR7 kwangu mm ni alfa na omega alikuwa habebwi km huyo messina