Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Wakuu hii sasa imekuwa historia rasmi
Lionel Messi amefikisha mabao 16 kwenye FIFA World Cup na kumfikia Miroslav Klose kama mfungaji bora wa muda wote wa World Cup.
Messi kafanya hivyo baada ya kupiga hat-trick dhidi ya Algeria kwenye World Cup 2026. 🔥
Cha ajabu zaidi ni kwamba:
-Ana miaka 38
-Sio striker wa asili
Lakini bado amefika juu kabisa ya list ya wafungaji wa World Cup. Kwa sasa wamekaa wote kileleni na mabao 16, ila Messi bado ana mechi nyingine mbele yake… maana yake ana nafasi kubwa ya kubaki peke yake juu kabisa mwenyewe bila usumbufu.
Kwa kweli tumeshuhudia zama za mchezaji wa tofauti sana. Messi anazidi kuweka legacy ambayo inaweza kuchukua miaka mingi kuvunjwa.
Wewe kila kitu huelewi migoSijaelewa kitu
Messi jana alitoka tu, lakini angeendelea kucheza kwa kasi ile angeweza kuvunja rekodi kwa kufunga goli la nne.Wakuu hii sasa imekuwa historia rasmi
Lionel Messi amefikisha mabao 16 kwenye FIFA World Cup na kumfikia Miroslav Klose kama mfungaji bora wa muda wote wa World Cup.
Messi kafanya hivyo baada ya kupiga hat-trick dhidi ya Algeria kwenye World Cup 2026. 🔥
Cha ajabu zaidi ni kwamba:
-Ana miaka 38
-Sio striker wa asili
Lakini bado amefika juu kabisa ya list ya wafungaji wa World Cup. Kwa sasa wamekaa wote kileleni na mabao 16, ila Messi bado ana mechi nyingine mbele yake… maana yake ana nafasi kubwa ya kubaki peke yake juu kabisa mwenyewe bila usumbufu.
Kwa kweli tumeshuhudia zama za mchezaji wa tofauti sana. Messi anazidi kuweka legacy ambayo inaweza kuchukua miaka mingi kuvunjwa.
Duh.Akina Messi wana bahati sana leo wanalindwa na sheria kali za mpira zilizowekwa na FIFA ili kuwalinda wachezaji mastaa sheria ambazo zamani hazikuwepo.
Mwaka 1970 wakati Pele anaamua kuacha kuchezea timu yake ya taifa akiwa na umri wa miaka 29 tu, alifanya hivyo kwa sababu ya kutembezewa viatu na wachezaji wa timu pinzani.
Pamoja na hali hiyo mashindano ya wakati ule pia yalihusisha timu chache sana tofauti na leo hivyo wachezaji wa leo wanabebwa na mambo mengi ambayo hayakuwepo huko nyuma.
Ni kweli lakini kwa sasa tumtazame kwanza Messi.Na hata kama Messi akiwa kileleni Kwa ufungaji huo baada ya kombe hili,hiyo rekodi yake itavunjwa baada ya miaka minne TU na Mbape kwani kijana Bado ana mashindano yajayo yasiyopungua mawili.
Kama umeamua hilo tu kwa mapenzi yako haina shida migoLicha ya messi kuweka records mbalimbali,CR7 bado ataendelea kuwa G.O.A.T
Messi bado ana mechi nyingine mbele yake… maana yake ana nafasi kubwa ya kubaki peke yake juu kabisa mwenyewe bila usumbufu.
Hapa Messi lazima akubali tu kuwa Mbappe lazima atakuwa juu yake hata kama sio time hii.Messi jana alitoka tu, lakini angeendelea kucheza kwa kasi ile angeweza kuvunja rekodi kwa kufunga goli la nne.
Na inaonekana rekodi ya sasa ataivunja tu kwa sababu kuna mechi nyingi bado zinakuja na kwenye mechi moja anaweza kufunga goli zaidi ya moja.
Kwenye mashindano haya inaonekana kutakuwa na ushindani wa Messi na Mbappe nani ataweka rekodi mpya.
Mbappe tutaanza kumuangalia kuanzia 2030 migo.Inavyosema atabaki vizuri bila usumbufu unamaanisha Mbappe atakuwa anacheza Azam Fc?
Mbappe sio mashindano haya tu bali ana nafasi hata mashindano yajayo.Nyuma yake kidogo yupo Mbappe, si hapa naye akakwea kileleni kwenye list...
Hapa kitachoamua ni timu ipi itafika mbali zaidi...