crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
BBC wanaripoti kuwa Messi amekubali kujiunga na timu ya Inter Miami ya ligi ya Marekani (MLS) na kuikacha offer kubwa zaidi kutoka Al Hilal ya Saudi Arabia.
Makubaliano yaliyofikiwa yatahusisha ushirikiano katika brand kama Adidas na Apple.