Jana social media zoote zimeitika, all over the world watu walifurahiU cant forge greatness.
View attachment 3614838
We jamaa unaonekana uwezo wako wa akili ni mdogo sana kwahiyo utatu mtakatifu wa Messi ni MSN... ? Kwamba ndo Messi aling'aa sana kupitia Neymar na Suarez...Hii video ya kufanya mazoezi kizembe ni kama dongo kwa ronaldo baada ya kuonesha high class game jana.
Naona mwiba umekuingia messi[emoji23]
View attachment 3614832
Tunajua una talent, but some people are made different..
Huwezi kuchukua nyota ya the only GOAT CR7, utaimbwa because ya ufundi, ila Kuna mwamba aliye Anza chini kabisa,
He earned his carrier hakuhitaji utatu mtakatifu wa kama wako wa MSN,
Kila mahala laipo enda alkacha alama,
Aliitoa atletico Madrid yeye mwenyewe akiwa Juventus..
Alii I tafuta sare na Spain kwa mguu wake pekee
World Cup sio measure ya ukuu wake kwenye soccer.
We appreciate talanta yako, ila mapenzi yetu yapo kwa the greatest of all time CR7
Mkuu ni Real Madrid hebu edit haraka tusije tukapoteza point kwa team andunjeatletico Madrid
Thats why your here dumbassPoor minds discuss people.
Nimeiangalia hiyo clip sijaona connection au image ya Ronaldo(I mean CR7 not the original Ronaldo) which translates that asiyejiamini baada ya kuona hiyo clip ni wewe.Hii video ya kufanya mazoezi kizembe ni kama dongo kwa ronaldo baada ya kuonesha high class game jana.
Naona mwiba umekuingia messi😂
View attachment 3614832
Tunajua una talent, but some people are made different..
Huwezi kuchukua nyota ya the only GOAT CR7, utaimbwa because ya ufundi, ila Kuna mwamba aliye Anza chini kabisa,
He earned his carrier hakuhitaji utatu mtakatifu wa kama wako wa MSN,
Kila mahala laipo enda alkacha alama,
Aliitoa atletico Madrid yeye mwenyewe akiwa Juventus..
Alii I tafuta sare na Spain kwa mguu wake pekee
World Cup sio measure ya ukuu wake kwenye soccer.
We appreciate talanta yako, ila mapenzi yetu yapo kwa the greatest of all time CR7
Mkuu unajua kuhs social media marketing Kweli? That post was intentional..
Kazi Yake Inahitaji Mazoezi Na Kwenye Kupost Nadhani Hilo Halikuhusu Kabisa Ni Kama Wewe Tu Ulivyoamua Kupost Maoni Yako Humu Ndani Hakuna Wakukupangia,,Naye Ni Vivyo Hivyo....Au Ulitaka Aposti Anachunga Ng'ombe Ranch Ya Ruvu...
Hapo Sawa mkuuNimeongelea mechi ya UCL kati ya juventus na atletico madrid
First leg: atletico 2 juve 0
Second leg: juve 3 atletico 0
(CR7 kafunga yote)
Yes. Ilikuwa game nzuri sana.Nahisi vijana Walijifunza somo, si unaona wa kina Bruno na Mendez walivokuwa mchezonj
Nimeiangalia hiyo clip sijaona connection au image ya Ronaldo(I mean CR7 not the original Ronaldo) which translates that asiyejiamini baada ya kuona hiyo clip ni wewe.
La Pulguita has many records ambazo some it'll take decades if not centuries kuzivunja na kubwa kuliko zote ni Ballon d'or nane, kama record ya Pele ya three world cups(japo world cup ni ya timu na si ya mtu binafsi) ndiyo maana hata sports analysts walikuwa wanadai kama Messi(meaning Argentina with him in the team) hatapata kombe la dunia basi Pele na Maradona wataendelea kuhesabiwa kama ndiyo vinara wa kabumbu wa muda wote ila akaja kuwafunika wote pale waliposhinda world cup kwani Ballon d'or ndiyo hasa kipimo cha individual achievement.
NB: La Pulguita alishatikisa ulimwengu wa soka long before MNS na aliendelea kutikisa hata baada ya wao kutoka.
--Two games five goals, mchezaji pekee mwenye uwezo wa kumzidi idadi ya kufunga magoli katika mashindano haya ni Mbape peke yake.
Real ones tunawapima kwa vitu vikubwa viwili:Mkuu, Sijakataa, na unajua nimesema kabisa kuwa ataimbwa kwa sababu ya talanta..
But the real ones hawapimwi kwa accolades, wanapimwa kwa jitihada binafsi.
Look duniani anapendwa zaidi ni nani,,
Sio kimpira tuu, hata role modal..
He's the fountain of hardwork, discipline, and determination