Messi Kupost hii video ni kuonesha insecurity kwa GOAT CR7

Goli lake la kwanza, faulo aliyotupia Nuno Mendez kwa kujifanya anapiga yeye, na ile faulo ambayo alitangulia mbele ya ukuta akaletewa
mpira, kiukweli nilimkubali sana. Jamaa amekata ngebe kiukweli. Kaleta heshima.
 
😄😄😄 Mtu akisha mfananishaga Messi na Cr7 tu

Huwaga namuona huyo mtu as mental kabisa

Yaani Messi aone jealous wakati ana goli 5 mguuni till this time mean while cr7 ndio kwanza ana goli 2

Kwenye hayo mashindano ya WC cr7 hajawahi kufika hata nusu , achilia mbali tu kucheza final, Messi ameshafika final mara 2 na Ameshinda tuzo binafsi kibao za hayo mashindano achilia mbali kuchukua WC Yenyewe

Yaani una muongelea Messi mchezaji ambaye ndiye anaye ongoza Kwa kuwa na makombe mengi Duniani makombe 47 achilia mbali tuzo binafsi

Ukienda kwenye magoli yupo yeye kwenye assist yupo yeye kwenye magoli ya faulo ana ongoza yeye he's everywhere ndio umfananishe na cr7 really!?

Style of his playing the way ana dribble tu ni disaster, he's playing Maker Ameshinda Kila kitu katika maisha

Ifike mahali muwage mnaona haya na mumtoe Messi kwenye kinywa chenu period 🚮🚮🚮
 
Hii video ya kufanya mazoezi kizembe ni kama dongo kwa ronaldo baada ya kuonesha high class game jana.

Naona mwiba umekuingia messi😂

View attachment 3614832
Tunajua una talent, but some people are made different..

Huwezi kuchukua nyota ya the only GOAT CR7, utaimbwa because ya ufundi, ila Kuna mwamba aliye Anza chini kabisa,

He earned his carrier hakuhitaji utatu mtakatifu wa kama wako wa MSN,

Kila mahala laipo enda aliacha alama,

Aliitoa atletico Madrid yeye mwenyewe akiwa Juventus..

Alii I tafuta sare na Spain kwa mguu wake pekee

World Cup sio measure ya ukuu wake kwenye soccer.

We appreciate talanta yako, ila mapenzi yetu yapo kwa the greatest of all time CR7
Una wivu wa kike kwa kifupi
 
Goli lake la kwanza, faulo aliyotupia Nuno Mendez kwa kujifanya anapiga yeye, na ile faulo ambayo alitangulia mbele ya ukuta akaletewa
mpira, kiukweli nilimkubali sana. Jamaa amekata ngebe kiukweli. Kaleta heshima.
Achukue tuu ndoo tuwafunge midomo hawa nyumbu
 
😄😄😄 Mtu akisha mfananishaga Messi na Cr7 tu

Huwaga namuona huyo mtu as mental kabisa

Yaani Messi aone jealous wakati ana goli 5 mguuni till this time mean while cr7 ndio kwanza ana goli 2

Kwenye hayo mashindano ya WC cr7 hajawahi kufika hata nusu , achilia mbali tu kucheza final, Messi ameshafika final mara 2 na Ameshinda tuzo binafsi kibao za hayo mashindano achilia mbali kuchukua WC Yenyewe

Yaani una muongelea Messi mchezaji ambaye ndiye anaye ongoza Kwa kuwa na makombe mengi Duniani makombe 47 achilia mbali tuzo binafsi

Ukienda kwenye magoli yupo yeye kwenye assist yupo yeye kwenye magoli ya faulo ana ongoza yeye he's everywhere ndio umfananishe na cr7 really!?

Style of his playing the way ana dribble tu ni disaster, he's playing Maker Ameshinda Kila kitu katika maisha

Ifike mahali muwage mnaona haya na mumtoe Messi kwenye kinywa chenu period 🚮🚮🚮
Tunaangalia what's behind your success,

Porojo za kubeba makombe na accolades sio kigezo cha kuwa warrior unayependwa duniani kote

Ndo maana despite all that talk jana MBUZI alivyo funga dunia nzima ilitulia for the GOAT himself...

Nenda Kanye sumu kama nyongo inauma.
 
Back
Top Bottom