Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
- Thread starter
- #81
Hata hivyo wakina Bruno, Mendez na jao Felix Wameanza kupata somo baada ya kushambuliwa na mashabiki,Tatizo linalomkabili CR7 ni kuwa wachezaji wenzake wanamwonea wivu na hiyo huwa hawampi pass kama inavyotakiwa. Mara nyingi huwa anatafuta nafasi lakini mwenye mpira anaona SIYO LAZIMA ampe pass na hutoa kwa mwingine. Kama CR7 angekuwa anapewa kipaumbele kwenye pass za mwisho kama anavyofanyiwa Massi na Mbape, tungeshuhudia maajabu sana!!
Cr7 will take us to the promised land