Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Ukiweka exception ya Ronaldo kumkuta Messi Laliga kama ndio factor ya Messi kuwa na penati nyingi kumbuka hata Champions League nako Messi kapiga penati nyingi kumzidi Ronaldo ila changamoto ni ileile conversion rate yake ya magoli ipo chini.Penalty nyingi hizo 72 (Ronaldo kapata 61) kwa 73 Messi (kapata 60),maana Ronaldo kamkuta Messi.
Sawa ratio hana, hiyo ratio ukiconvert still hakosi goal 14,njoo kwenye assists alizowapa wenzake ambazo yeye alikuwa anafunga zipo kibao.Ukitizama assists zaidi ya 400+ za Messi basi assist zaidi ya 80 alikuwa na uwezo wa kufunga mwenyewe.Hapo ndio utajua ni wachezaji wawili wenye mentality tofauti huyu ni best playmakers so kwake kuassists ni kawaida,huyu goal scorer tu ambaye ni mbinafsi ambayo ni sifa ya kawaida kwa goal scorer.
Kama unazungumzia ratio,njoo kwenye ratio za idadi ya magoli kwa jumla ya mechi walizo cheza,Messi(asilimia 79) anapercent kubwa kuliko CR7(asilimia 73).
Yote yanawezekana, inawezekana angefunga hata zaidi ya hizo 80 na pia inawezekana pia angeweza kukosa pia maana huu ni mpira haina maana kupata nafasi ya wazi ndio kufunga.
Kama nafasi ya wazi (penati) isiyokuwa na pressure ya kukabwa na mabeki watu wanakosa, sasa tutakuwa wajinga kufikiria kwa upande mmoja tu wa kufunga.
The reasons why Ronaldo kacheza mechi nyingi lakini ratio yake ya magoli haina gape kubwa kati yake na Messi ni kwamba position alizokuwa anacheza Ronaldo mwanzoni mwa Career yake zilikuwa zinamnyima nafasi ya kufunga.
Msimu wake wa kwanza pale United alicheza mechi 29 na kufunga bao 4 na assist 4 na hapa ni mechi 15 tu ndio alianza.
Na ukumbuke kipindi cha Messi pale Barcelona kulikuwa na mastaa wakubwa ambao walikuwa wanampa kampani