Messi Kupost hii video ni kuonesha insecurity kwa GOAT CR7

Messi Kupost hii video ni kuonesha insecurity kwa GOAT CR7

Mwanaume huyo hana muda wa kusema “I’m back”
Af nipeni stats za Pendu vs Colombia 🤣🤣
826f9bff-99a9-40b9-8b25-b459502cff49.jpeg
 
Iyo leo iyoooo 😁😁
 

Attachments

  • saveclips.org-6a40aa532f699.mp4
    1.8 MB
  • saveclips.org-6a40aa9cb87ce.mp4
    1.1 MB
Hii video ya kufanya mazoezi kizembe ni kama dongo kwa ronaldo baada ya kuonesha high class game jana.

Naona mwiba umekuingia messi😂

View attachment 3614832
Tunajua una talent, but some people are made different..

Huwezi kuchukua nyota ya the only GOAT CR7, utaimbwa because ya ufundi, ila Kuna mwamba aliye Anza chini kabisa,

He earned his carrier hakuhitaji utatu mtakatifu wa kama wako wa MSN,

Kila mahala alipo enda aliacha alama,

Aliitoa atletico Madrid yeye mwenyewe akiwa Juventus..

Alii I tafuta sare na Spain kwa mguu wake pekee

World Cup sio measure ya ukuu wake kwenye soccer.

We appreciate talanta yako, ila mapenzi yetu yapo kwa the greatest of all time CR7
Bahati mbaya sana ni kuwa Messi hataona uzi wako kwasababu haingii JF
 
Kaangalie FIFA rankings za Algeria 🇩🇿 , Austria 🇦🇹 , na na wale takataka Uzbekistan 🇺🇿 alafu umdadisi vizuri Pendu asiyena hata on target Vs Congo 🤣🤣
Nenda ukanye kwanza maana akili haija kaa sawa... Hao wamesha toka walikuwa wanajifurahisha tu uwanjani
 
Naskia ile safari ya Kwa Trump ni kwenda kumwambia awaambie wajuba na yeye apate mgao wa Kombe.
 
We jamaa unaonekana uwezo wako wa akili ni mdogo sana kwahiyo utatu mtakatifu wa Messi ni MSN... ? Kwamba ndo Messi aling'aa sana kupitia Neymar na Suarez...
Nimeishia kusoma hapo pumba zako[emoji1787]
Yani huyu hamnazo kwakweli, 😂 😂
 
Back
Top Bottom