Hii video ya kufanya mazoezi kizembe ni kama dongo kwa ronaldo baada ya kuonesha high class game jana.
Naona mwiba umekuingia messi😂
View attachment 3614832
Tunajua una talent, but some people are made different..
Huwezi kuchukua nyota ya the only GOAT CR7, utaimbwa because ya ufundi, ila Kuna mwamba aliye Anza chini kabisa,
He earned his carrier hakuhitaji utatu mtakatifu wa kama wako wa MSN,
Kila mahala laipo enda aliacha alama,
Aliitoa atletico Madrid yeye mwenyewe akiwa Juventus..
Alii I tafuta sare na Spain kwa mguu wake pekee
World Cup sio measure ya ukuu wake kwenye soccer.
We appreciate talanta yako, ila mapenzi yetu yapo kwa
the greatest of all time CR7