Messi Kupost hii video ni kuonesha insecurity kwa GOAT CR7

sahihi...
 
Mkuu you're so wrong about it

Unaweza kushinda vitu lakn ukakuta because you're favored and that isn't inspiring!

Lakini watu wakiona Safari yako, wakajua it was not handed easily, they get attached not on the accolades kama wewe saiz, they get attached to the whole process

Na hiyo ndo case ya the greatest of all timeCR7
 
Sawa Hakuwa Anafanya Tizi...Na Alikuwa Anatengeneza Kontenti...
Sasa Hiyo Kontenti Aliyokuwa Anatengeneza,,Alikuwa Anafanya Nini Tofauti Na Tizi..??​
Tizi la mchongo liwe dongo kwa mbuzi
 
u team wa kijinga, huwa sioni mantiki ya mtu kuwa team messi au ronaldo 🚮
 
You're a CR7 fanboy I can see that but too bad for you with your wishful thinking kwani hata kwenye top three huwa hayupo.
Vitu viko crystal clear lakini mtu unakuta bado anabishana tu. Majority of football experts na unaweza hata kulinganisha na data za AI just to balance maelezo ya majority ya wataalam na wachambuzi then ujiulize kwanini uko tofauti na wataalam je ni kwamba hauna akili ya kufanya tathmini sahihi au unapofushwa na ushabiki kwa mchezaji fulani au ni hater wa mchezaji fulani.
Mtu anaruhisiwa kuwa shabiki wa mchezaji yoyote ila kupofushwa kwa sababu ya ushabiki that's a terrible weakness.
 
Social media nonsense do not reflect real life scene
 
Hiyo ni tafsiri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…