GOAT debate settledKweli dunia haiko fair.
Wakati goti wa kuvundika anafurushwa timu ya taifa kwa dharau the real GOAT Lionel Messi(LM10) anapewa degree ya heshima na chuo kikuu cha Aeres Buenos kama utambuzi wa mchango wake mkubwa katika soka la Argentina na dunia kwa ujumla.
Nadhani mafuta yanaanza kujitenga na maji sasa na dunia inaanza kutambua nani ni GOAT wa ukweli.
Yanayomfika CR7 hata Ronaldinho Gaucho au Neymar wasingeweza kuyapata.
View attachment 3682264
loose Nut
secretarybird
Olmo
Scars
Haya manguo sijui aliyashonea Buza.
Dokta Leonel Messi 🔥Kweli dunia haiko fair.
Wakati goti wa kuvundika anafurushwa timu ya taifa kwa dharau the real GOAT Lionel Messi(LM10) anapewa degree ya heshima na chuo kikuu cha Aeres Buenos kama utambuzi wa mchango wake mkubwa katika soka la Argentina na dunia kwa ujumla.
Nadhani mafuta yanaanza kujitenga na maji sasa na dunia inaanza kutambua nani ni GOAT wa ukweli.
Yanayomfika CR7 hata Ronaldinho Gaucho au Neymar wasingeweza kuyapata.
View attachment 3682264
loose Nut
secretarybird
Olmo
Scars
Ita fuko la rambo ila mwenzako ndio tayari ana PhD ya heshima.Hicho alichovaa kichwani huyo msukuma ni nini?
Kama fuko la Rambo fulani.
Cha msingi sio chuo cha madrasa.Chuo gani kimemtunuku hiyo degree ya heshima?
Au ndio vile vyuo vya uchochoroni the likes of Amazon college.
Nakuonya acha Dharau na Buza mkuuHaya manguo sijui aliyashonea Buza.
Sasa ndugu yangu utaifananisha degree ya heshima ya chuo kama Havard na Teku kweli?Cha msingi sio chuo cha madrasa.
Mwanzo nilijua hoja ni degree ya heshima. Lakini kumbe hii hoja haihojiwi uhalali wake pale anapotajwa Messi tu.
Wakitajwa mastaa wengine (Msukuma) mnaanza ku question uhalali wa hiyo tuzo (double standard).
It turns out kumbe degree ambayo hujaisomea haijawahi kuwa na mchongo wowote.
Dah umesema kwa uchumgu sana. Nimeacha mkuu..wasalimie kwa MpalangeNakuonya acha Dharau na Buza mkuu