Messi Messi Messi

Messi Messi Messi

Kcha wa aseno alisema mess anacheza mpira wa baadae sn eto alisema mess atakuja kukumbukwa kwa miaka hamsin baada ya kustafu ww unataka nn kutoka kwa mess
 
Mtu aliyecheza mpira ni lazima akubali uwezo wa Messi ila wapenzi wa ngumi,rugby,basketball na michezo mingine ya nguvu nyingi hao hawatamuelewa huyo kiumbe wao kwao Ronaldo ndo bora.....mi uwezo wa Ronaldo labda ufananishwe Rooney na si Messi,huyu Messi yupo ktk level za akina Maradona.....amezaliwa ili aje kucheza mpira lakini yule mwingine anaefananishwa nae ye alizaliwa aje kucheza ule mchezo wa ng'ombe ila amelazimisha kuhamia huku kwa akina Messi!

Hata mimi nakubali hilo Mkuu, wanaokubali Ronaldo ni zaidi ya Messi basi kama sio mapenzi yao kwa timu zao basi ni kweli hawajacheza mpira.
Kwa waliocheza mpira na wanaoulewa mpira watakwambia Messi ni mchezaji mwingine hatupaswi kumlinganisha nae hapa ktk kizazi hiki.
Mimi ukimlinganisha Ronaldo na Neymar au Frank Ribery hapo kidogo nitakuelewa. Kwenye Dribbling na Chenga Neymar ni zaidi ya Ronaldo, labda ktk Ufungaji na utumiaji nguvu Ronaldo anaweza mzidi Neymar na Ribery.
 
Siku hizi mimi nimechoka kuhesabu magoli yake na assist zake, sasa hivi huwa nahesabu matobo anayowapiga watu. Jana kawapiga watu matobo mpaka Guadiola mwenyewe aliyekuwa jukwaani amekoma. Halafu jana ndio nimejua kuwa tobo kwa Kiingereza linaitwa "nutmeg"!

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha na mm leo ndo najua kuwa linaitwa hivyo, nimeona sites nyingi zikiandika hilo neno ola nkashindwa kutambua maana yake.
 
Wengi wanasema MESSI ni gift
TALENTED lakini CR7 ni HARDWORK MAN.hapo unapata kuelewa CR7 anatumia fursa ipasavyo ila MESSI dunia nyingine
 
 
Last edited by a moderator:
messi atoke barca ndiyo nitajua kama kweli yeye ni mkali......zaidi ya hapo sioni kitu kwa messi....naona anarukaruka tu....amwangalie mwenzake CR7 ....
 
messi atoke barca ndiyo nitajua kama kweli yeye ni mkali......zaidi ya hapo sioni kitu kwa messi....naona anarukaruka tu....amwangalie mwenzake CR7 ....
Is zis a real woman!??? Dijitali jamani
 
messi atoke barca ndiyo nitajua kama kweli yeye ni mkali......zaidi ya hapo sioni kitu kwa messi....naona anarukaruka tu....amwangalie mwenzake CR7 ....

Atoke Barca aende wapi labda?
 
Haters be like Messi Messi Messi Messi......But they forget the kick off is at 21H (CET)
 
Sasa leo naomba tumuangalie Messi wote kwa pamoja, Messi ni balaa kwa timu yoyote ile ambayo anakuwa pinzani nayo.
 
Wapi Messi leo coni matobo naona vitu adimu tu toka kwa le brazilian "Marcelo" hahahahaha.
 
Back
Top Bottom