Messi Messi Messi

Messi Messi Messi

Nimeangalia vizur game ya jana kati ya Man City na Barcelona,

Huyu kijana ni hatari sana, sitaki kuongelea kwenye upande wa ufungaji, Messi anachezesha timu, huu mpira wa kawaida kabisa mbali na kufunga, anacheza mno, kapiga pasi kama saba zote za magoli lakini imetumika moja tu.

Laiti kama Barcelona jana wangetumia zile nafasi naamini Man City angepigwa hata 5.

Siku hizi mimi nimechoka kuhesabu magoli yake na assist zake, sasa hivi huwa nahesabu matobo anayowapiga watu. Jana kawapiga watu matobo mpaka Guadiola mwenyewe aliyekuwa jukwaani amekoma. Halafu jana ndio nimejua kuwa tobo kwa Kiingereza linaitwa "nutmeg"!
 
King Leo
 

Attachments

  • 1426759392313.jpg
    1426759392313.jpg
    15.1 KB · Views: 276
Ukiacha magoli Mpira ni burudani.....na mesi Jana alionesha kuwa mpira ni burudani
 
Ni genious huyo... Si mwanamitindo kama cr7. Bora umtaje ruben kuliko cr7.
 
Acha ushabiki wa kinaz, Hart alianza kuupiga mpira then huyo Messi ndo akajigonga kwny mikono ya joe.

Hv ukiangalia hiyo picha inaweza sema mess alijiingiza mikonon mwa Joe? Embu zoom hiyo picha alafu uniambie vzr kwanza na Joe alipiga huo mpira kuelekea wap labda uniambie pia
 
Ni genious huyo... Si mwanamitindo kama cr7. Bora umtaje ruben kuliko cr7.

Cr7 is the best... we baki na messi wako...kazi utaiona wakikitana!!! Man city nao wanazo beki??? Mesi ni bora lakini huwezi mlinganisha na ronaldo!!
 
Hv ukiangalia hiyo picha inaweza sema mess alijiingiza mikonon mwa Joe? Embu zoom hiyo picha alafu uniambie vzr kwanza na Joe alipiga huo mpira kuelekea wap labda uniambie pia

Ivi uliona tukio lilivyotokea live au umeona picha tu na kuamua ku judge kwa kutumia picha.
 
......Hatuli vizuri...
Hatufanyi mazoezi vema...
Maradhi ni mengi...
Na bado unajiongezea maradhi ya presha kwa kumchukia Lionel Messi...
mchawi mfupi...
unaharibu afya yako bure tu
badala ya kujihisi mwenye bahati
kumuona katika ubora wake....
.
Edo Kumwembe

tobo.jpg
Pep ilibidi afiche uso kwa aibu
kwa kile Messi alichomfanya Milner
 
messi ni hatari, kikanuni Pep hakutakiwa kuonyesha hisia zake pale! ila michezo ya Messi ilimfanya afiche uso!
 
Back
Top Bottom