beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
zile beki nzembe tu, ila mess mwenyewe akikutananaga na wanaojua kumkaba hadi yemwenyewe huwa anakasirika!
Lini alikutana na hao mabeki na ni mabeki wa timu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zile beki nzembe tu, ila mess mwenyewe akikutananaga na wanaojua kumkaba hadi yemwenyewe huwa anakasirika!
Ushabiki wakitoto, miaka 3iliopita Messi ameisaidia nn Bercelona au Argentina, kucheza lzm kuende na mataji,Nyie ndio mnaleta ushabiki wakizamani,
Nimeangalia vizur game ya jana kati ya Man City na Barcelona,
Huyu kijana ni hatari sana, sitaki kuongelea kwenye upande wa ufungaji, Messi anachezesha timu, huu mpira wa kawaida kabisa mbali na kufunga, anacheza mno, kapiga pasi kama saba zote za magoli lakini imetumika moja tu.
Laiti kama Barcelona jana wangetumia zile nafasi naamini Man City angepigwa hata 5.
Messi jana kakutana na viazi, ndo maana kaonekana anacheza.
King Leo
Kwa hiyo mabingwa wa EPL ni viazi? Nyie si ndio huwa mnasema kuwa EPL ni ligi bora duniani?
Acha ushabiki wa kinaz, Hart alianza kuupiga mpira then huyo Messi ndo akajigonga kwny mikono ya joe.
Hakuna wa kufananishwa na mess katika ulimwengu wa sasa!!!!!
Ni genious huyo... Si mwanamitindo kama cr7. Bora umtaje ruben kuliko cr7.
Hv ukiangalia hiyo picha inaweza sema mess alijiingiza mikonon mwa Joe? Embu zoom hiyo picha alafu uniambie vzr kwanza na Joe alipiga huo mpira kuelekea wap labda uniambie pia
Ile ni team inayochipukia ucl, hawajajua micngi ya ucl ila wanaielewa EPL. Kule c pa kupapalika kuna wenyewe.
Acha siasa, wanacheza UCL tangu 2011 mpaka leo bado wanachipukia tu?
