Mtu aliyecheza mpira ni lazima akubali uwezo wa Messi ila wapenzi wa ngumi,rugby,basketball na michezo mingine ya nguvu nyingi hao hawatamuelewa huyo kiumbe wao kwao Ronaldo ndo bora.....mi uwezo wa Ronaldo labda ufananishwe Rooney na si Messi,huyu Messi yupo ktk level za akina Maradona.....amezaliwa ili aje kucheza mpira lakini yule mwingine anaefananishwa nae ye alizaliwa aje kucheza ule mchezo wa ng'ombe ila amelazimisha kuhamia huku kwa akina Messi!
zile beki nzembe tu, ila mess mwenyewe akikutananaga na wanaojua kumkaba hadi yemwenyewe huwa anakasirika!
Siku hizi mimi nimechoka kuhesabu magoli yake na assist zake, sasa hivi huwa nahesabu matobo anayowapiga watu. Jana kawapiga watu matobo mpaka Guadiola mwenyewe aliyekuwa jukwaani amekoma. Halafu jana ndio nimejua kuwa tobo kwa Kiingereza linaitwa "nutmeg"!
Cr7 is the best... we baki na messi wako...kazi utaiona wakikitana!!! Man city nao wanazo beki??? Mesi ni bora lakini huwezi mlinganisha na ronaldo!!
Is zis a real woman!??? Dijitali jamanimessi atoke barca ndiyo nitajua kama kweli yeye ni mkali......zaidi ya hapo sioni kitu kwa messi....naona anarukaruka tu....amwangalie mwenzake CR7 ....
messi atoke barca ndiyo nitajua kama kweli yeye ni mkali......zaidi ya hapo sioni kitu kwa messi....naona anarukaruka tu....amwangalie mwenzake CR7 ....
Gemu SAA ngapi za huku kwetu tanzania
Kwan messi leo anacheza?? Mbona simwoni uwanjani??Saa 5:00 Usiku, naomba umuangalie Messi leo.