Messi ndie most overrated Player ever

Messi ndie most overrated Player ever

wabongo kwanini mnakua na tabia ya kuzi sarendesha akili zenu kwa watu wengine? Kwahiyo sisi haturuhusiwi kuchambua na kuikitathmini tunachokiona?
Hilo ndio tatizo kuu la wabongo. Hawajiamini, ndio maana huwa hawawezi kujenga hoja na hawako self oriented. Wazee wa copy paste na kumtegemea mzungu kasemaje ndio nawao waseme
 
Hapo ndipo munapodhihirisha ugonjwa wenu, Messi alifanya lipo kubwa uwanjani jana ukitoa yale magoli?
Sasa ukitoa magoli Kinabalu nini sasa , Argentina ilipiga Mashuti 20 , Kati ya hayo 10 yalilenga goli , architecture wa mashambulizi hayo ni Leonel Messi , kijana wenu Mbape mnamuaibisha tuu kumshindanisha na Messi , subirini Messi astaafu soka na yeye atawika tuu muwe wapole....
 
Chawa wa messi wamekua wakikosa usingizi kwa kijana Mbappe
 
ndiyo sababu Di Maria alitolewa ili wapate sababu ya kumuabudu mesi maana Di Maria alipokuwa ancheza mesi hakuonekana kabisa
Madhara ya kuangalia matangazo ya live kwenye text za bbc haya...
 
Back
Top Bottom