Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Hilo ndio tatizo kuu la wabongo. Hawajiamini, ndio maana huwa hawawezi kujenga hoja na hawako self oriented. Wazee wa copy paste na kumtegemea mzungu kasemaje ndio nawao wasemewabongo kwanini mnakua na tabia ya kuzi sarendesha akili zenu kwa watu wengine? Kwahiyo sisi haturuhusiwi kuchambua na kuikitathmini tunachokiona?
Hilo ndio tatizo kuu la wabongo. Hawajiamini, ndio maana huwa hawawezi kujenga hoja na hawako self oriented. Wazee wa copy paste na kumtegemea mzungu kasemaje ndio nawao waseme
Sasa ukitoa magoli Kinabalu nini sasa , Argentina ilipiga Mashuti 20 , Kati ya hayo 10 yalilenga goli , architecture wa mashambulizi hayo ni Leonel Messi , kijana wenu Mbape mnamuaibisha tuu kumshindanisha na Messi , subirini Messi astaafu soka na yeye atawika tuu muwe wapole....Hapo ndipo munapodhihirisha ugonjwa wenu, Messi alifanya lipo kubwa uwanjani jana ukitoa yale magoli?
Sasa ukitoa magoli Kinabalu nini sasa , Argentina ilipiga Mashuti 20 , Kati ya hayo 10 yalilenga goli , architecture wa mashambulizi hayo ni Leonel Messi , kijana wenu Mbape mnamuaibisha tuu kumshindanisha na Messi , subirini Messi astaafu soka na yeye atawika tuu muwe wapole....
Madhara ya kuangalia matangazo ya live kwenye text za bbc haya...ndiyo sababu Di Maria alitolewa ili wapate sababu ya kumuabudu mesi maana Di Maria alipokuwa ancheza mesi hakuonekana kabisa