Messi ndie most overrated Player ever

Messi ndie most overrated Player ever

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.

Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?

Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?

Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.

Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.

N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
 
Kila mtu abusu kombe lake🚶🚶
FB_IMG_16714310019683242.jpg
 
Mimi naona hata ile golden ball hakutakiwa kushinda yeye
Mbape alifanya vizuri zaidi katika kombe hili kuliko Messi

Ila ni sababu za marketing tu

tunaweza kuviona ni vitu vidogo, lakini kwa kweli sio vidogo vinavyojumuishwa zinatengeneza CV nzito kwa mtu.

Mbappe ameonewa kwa kunyimwa Tunzo ya uchazaji bora.
 
Back
Top Bottom