Messi ndie most overrated Player ever

Messi ndie most overrated Player ever

Fj8tL5SXoAAWtUm.jpeg
 
Mzee unakua sio kama mtu wa soka? Hizo web/App hazina uhalisia hawa ni Goal angalia rate yaoView attachment 2452142
View attachment 2452143

Mbappe ana 7.0 according to goal na Messi ana 8.1 acha mpira wa livescore
Tatizo wanangalia magoli hawa angalii hata build up za attemp zinakuwa engineered na nani,mechi ukuachana na kuscore anauwezo wa kuicheza timu, kucreate nafasi na kuscore ambacho Mbape kwenye michuano hii alikuwa anascore ila hana uwezo wa kuichezesha timu na kubuild up mashambulizi kutokea kwake. Ndio maana Argentina attemp zote off or on target zina anzia kwa Messi.Kwenye timu ya Ufaransa ktk WC hii mashambulizi yote yalikuwa yanaanzia kwa Griezman,Mbape kazi yake ilikiwa moja kufunga.
 
Man of the Match kivipi?? Ukiachana na goli 3 ambazo 2 za penalty kafanya nini kingine?? Mbappe kaja kuoneka dk70 wakati anafunga goli la penalty. Tutoe magoli yao tuangalie Performance nani anastahili?? Mpira sio magoli is more than that vinaangaliwa vitu vingi

Hapo ndipo munapodhihirisha ugonjwa wenu, Messi alifanya lipo kubwa uwanjani jana ukitoa yale magoli?
 
Mzee unakua sio kama mtu wa soka? Hizo web/App hazina uhalisia hawa ni Goal angalia rate yaoView attachment 2452142
View attachment 2452143

Mbappe ana 7.0 according to goal na Messi ana 8.1 acha mpira wa livescore

hizo ratting haziwezi amua kitu, kila huwa na zake na hua hazifanani. Ila kwa mujibu wa rating zako Di maria ndio alitakiwa awe Man of the Match kwanini hakupewa? Umezidi kuthibitisha madai yangu mkuu.
 
Tatizo wanangalia magoli hawa angalii hata build up za attemp zinakuwa engineered na nani,mechi ukuachana na kuscore anauwezo wa kuicheza timu, kucreate nafasi na kuscore ambacho Mbape kwenye michuano hii alikuwa anascore ila hana uwezo wa kuichezesha timu na kubuild up mashambulizi kutokea kwake. Ndio maana Argentina attemp zote off or on target zina anzia kwa Messi.

Attemp za Argenitina zilikua zinatokea kwa Messi kwa sababu yeye ndie alikua ndio Play Maker mkuu wa timu so lazima mipira itakua inapita kwake kwa wingi kuliko mtu yoyote, ni tofauti na france ambapo Grainzmen ndie aliekua anacheza playmakeer role.
 
We una chuki binafsi. We una utaalam gani wa kufanya uchambuzi wa mpira kuzidi wachambuzi wabobezi wenye utalaam wao tena wa kimataifa. we wale wabishi wa mtaani wanaojifanya wanajua kila kitu wakati ni bongolala hakuna unachojua

wabongo kwanini mnakua na tabia ya kuzi sarendesha akili zenu kwa watu wengine? Kwahiyo sisi haturuhusiwi kuchambua na kuikitathmini tunachokiona?
 
Messi kafunga penalty dhidi ya Saudia, Netherlands, Croatia na France jumla 4, kafunga goli dhidi ya Mexico, Australia na France jumla 3 ukijumlisha unapata goli 7. Hizo penalty zako 5 kafunga tim gani??. Mzee mpaka sasa mpira hujui maana unakuja na stats za uongo
Sawa upo sahihi
 
Attemp za Argenitina zilikua zinatokea kwa Messi kwa sababu yeye ndie alikua ndio Play Maker mkuu wa timu so lazima mipira itakua inapita kwake kwa wingi kuliko mtu yoyote, ni tofauti na france ambapo Grainzmen ndie aliekua anacheza playmakeer role.
Messi = Play maker and goal scorer
Mbape = Goal scorer.

Sasa unakataa nini mtu mwenye uwezo wa play role mbili kiufasaha bado unasema si bora.
 
Cr7 alishasema fifa wanamuandalia messi cup kilazima France waliforce tu kupata draw, binafsi sijaona maajab ya messi yule wa barca.
Mkuu utakuwa na element za kichawi yaan unataka messi aoneshe mambo alivokuwa barca akiwa na miaka 23 akiwa barca huku akiwa na miaka 35+ sasa??messi anaonekana kwenye special occassions only..
Ile mechi huyo mtoto mbappe mpangokazi wetu ulifanikiwa kwa dakika nyingi za mchezo had alipifanyiwa sub dimaria mshukuruni kocha scaloni kwa uzembe uliotak kutugharimu kwa subs za kijinga bila hivo saiv msingekuwa mnaropoka humu sabb france mlima ulikuwa mrefu mno kwao
#LIPOWAZI
 
Jana mbappe kakinukisha na ni bonge la mchezaji... great future, still very young, alistahili yeye kuwa man of the match, hata man of the tournament. Nakumbuka kuna world cup final german vs argentina mesi alifunikwa vibaya na walifungwa ila yeye akapewa man of the tournament... hivyo hata jana mbappe alistahili licha ya kufungwa ila mtu kusema mafanikio ya messi kuwa messi ni overrated ni kipofu wa macho na kipofu wa akili ya kuchakata unachoona na kusikia... messi is GOAT, mbappe anaelekea huko pia...
We jamaa unachekesha sana hivi unajua ile fainali ya german huko brazil messi alicheza kwa kiwango bora sana na aliwatengenezea wenzie kina higuain clear chance nyingi san kuliko hata mechi ya france au TV yako ilikuwa ya choggo kuna muda zinakuwag na mchelemchele[emoji23][emoji119][emoji119]
 
Ile mechi ya Germany kama Kun Aguero hasingekuwa na majeruhi Argentina walikuwa wanachukua.
 
Ila nyie waongo mbape alikuja ibuka kipindi cha pili, man of the match ni yule alocheza vizuri mwanzo mwisho.
Mimi sina mahaba na messi kiviile ila alicheza vizuri mwanzo mwisho.

Out of topic, dah watoto wa france baadhi watamu kweli, ngozi nyeusi ina mvuto wake.

Argentina walistahili kombe hawakubebwa.
Kwa comment hii nadiriki kusema we dada una uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo na kuangalia jambo kimapana...utakuwa umeutazama mchezo kwa utulivu mkubwa mbappe ameonekana kwenye magoli tu na mengi yalikuwa ni penalt,france walirud mchezoni dk za mwisho ndipo mbape akaonekana kwa dakika chache tu..ni bora uniambie kipa wa argentina alistahiki tuzo ya man of game au angel dimaria ukiachana na mchango wa messi kiujumla..mchezaji bora sio kufunga magoli pekee kuna kulink na wenzako,assist,key passes,kuzuia,kupass,dribbles,shoots n.k france had dakika ya 60 hawana shuti lolote golini mwa argentina kibaya first half hawakuwa na ontarget wala off target...nawaheshimu ufaransa pia mbappe ila aliyepewa muheshimu messi anakupa definition sasa ya kuenjoy soccer
 
Ilifika wakati watu wanauliza mbape yupo wapi? Kipindi cha kwanza aligusa mpira mara nne tu, yaani kama muujiza kipindi cha pili ndo sijui alienda kuongea na mganga wake? Basi akarudi na vibe mpira ukaanza.
Mimi sikutaka mpira uishe kiboya tu dk 90 tulale, nilitaka kuona wanaume wakionesha uwezo wao.
Mtu akicheza nampa sifa zake.siku ile mimi nilikuwa Argentina coz ma babe zangu walishatoka.
Tatizo la watu wa humu wanaongea kwa mahaba na sio ualisia na wengine hawakutizama mpira wote.ni wale wanaangalia tbc,ina mawenge sana mtu anaweza asione messi alichezaje mwanzo mwisho.
Chanel 225 dstv mpira ulirudiwa tena nikaangalia hadi saa 8 usiku, sasa utanidanganya nini eti mchezaji bora mbape? Big no.

Mwisho niseme tu waarabu waliandaa kombe ka heshima haijawahi tokea tangu nianze kuona mpira 2002. Ahaaaa

Kwanza kila kitu kilikuwa kiustaarabu viwanja havikuwa mbali mbali muda ulikuwa mzuri jion, usiku tunapata muda wa kuangalia mpira.

Nilipenda jinsi alivyo design jukwaa utaratibu wa kupokea zawadi kwa washindi.

2026 wamarekani wajipange na vile watakuwa wanazunguka kama kama kumbikumbi mara Mexico, canada yaani itakuwa vurugu. Iitakuwa kombe mbovu kuandaliwa na baba lao baba wa mataifa baba wa mabavu ila kwenye mpira hamna kitu pale.

Team zangu ilikuwa brazil, Germany na Croatia tho hazikufika mwisho ila nili enjoy sana.
Namiss enzi za the big super bae, the only Ronaldinho gaucho. Huyu falaaaaa alikuwa akivutia uwanjani ukimtizama huwezi kupata njaa unasahau kula. Mpuuzi huyu alinifanya nipende mpira, najua historia yake ya kuanza mpira at age of 12 yaani namjua kuliko ninavyojua maisha yangu.

Big up Qatar, to me, everything was just fantastic.
 
Nafikiri baada ya messi na ronaldo kutundika daluga basi mbappe atapewa heshima anayostahili kwa sasa anafunikwa na vivuli vya hawa magwiji wawili ingawa currently uwanjani yeye ndie yupo productive zaidi
Rangi mkuu. Skin colour. Matangazo. Biashara. Trust me angekuwa mzungu mbona kitambo sana, na kitakachomsaidia ku accelerate zaidi ni utaifa wake.
 
Back
Top Bottom