Messi Vs Pele

Kwa huyo??

Utakesha hapo
 
AHSANTE MKUU KeyserSoze kama ni hivyo kuwa enzi za pele offside zilikuwepo ila hakukuwa na faulo au penalt za mchongo kama sasa basi hakuna kama PELE.
The Penalty GOAT wouldn't make it kama angekuwepo katika hizo zama
 
Huna akili

Kombe la dunia ni mechi saba, mechi za ligi 30+

Messi hata asingechukua kombe lw dunia hakuna mchezaji wa kulinganishwa naye kwa kweli

Ni kweli pele alifanya vizuri enzi za mpira wa giza lkn kaachwa mbali na messi
Kwa hoja hizi hizi tayari ushaanza kuita na watu hawana akili??
 
Ilikuwa inashirikisha timu ngapi maana naona za Ulaya mbili na moja ya America kusini.Huu utakuwa uongo bila shaka
Intercontinetal Cup... endorsed by UEFA (Europe) and CONMEBOL (South America),[1][2] contested between representative clubs from these confederations (representatives of most developed continents in the football world), usually the winners of the UEFA Champions League and the South American Copa Libertadores.

Sasa kwenye hii Intercontinental Super Cup ilikutanisha washindi wa hili kombe wa nyuma ambapo Real Madrid alikimbia hakucheza kwahio akabaki Inter...
 
Pele alihitaji football awe bora wakati Messi alihitaji FIFA, UEFA na media ili awe GOAT

Bow your head and pay some respect to Pele
 
Scars, bado kinyongo chako kwa Messi hakijaisha?

Yes he's dwarf (according to you), but his achievements in the football world, stand taller than the Eiffel tower in Paris. Hao giants wako hafui dafu!

Messi sio the best player in the world, he's the best in the entire solar system. Chuki zako kwake hazitabadili chochote!
 
Elimu uliyoipata kwa shida afu kwa gharama unaitoa JF buree bila tuition fee
 
Nilikuuliza swali
Ina maana wakati huo faulo ilikuwa ruksa? Hukujibu
Nikauliza Je, wakati huo Pele peke yake ndo alikuwa akichezewa rafu ila Garincha akawa hachezewi? Ukashindwa kujibu.

Hebu jibu maana naona unaongelea ubora kwa kutazama rafu kitu ambacho ni kipimo kidogo sana

Record zinaonesha Messi ndiyo mchezaji aliyechezewa rafu nyingi kwa kizazi cha karibuni on world cup amekuwa fouled mara 53 wakati Maradona alikuwa fouled mara 53 kwa single tournament na bado hiyo tournament alibeba ndoo sasa wewe unasema Pele alichezewa rafu nyingi ndo maana hakufunga zaid so record zako juu ya pele hazina mashiko kabisa ona wataalamu wanavyotupa ukweli.
[emoji116]

 
Bora kaka komeo useme wewe maana enzi zile hawakuepo hawa vijana ila wabishi kweli.

Wewe uliekuwepo enzi za pele na ukamshuhudia LIVE kupitia RUNINGA unaweza ukatuambia ni nini haswaa kimekuvutia ikapelekea umkubali zaidi ya Messi na Maradona!! Nomba jibu! Wewe na huyo mwenzio united wa ferguson
 
He might be a good but he's not a best

The way you feel cool to embarrassing other players against Messi, you suppose to know we also feel the same damn thing when we see fans of him are getting mad

Mara ngapi humi Ronaldo mnamuita Penaldo na majina mengine ya kuudhi?

Mbappe naye mlianza kumletea nongwa

Messi akiitwa the penalty GOAT au dwarf inakuwa ni chuki??
 
Nikiwa sec kuna mwalimu alikua analeta TV yake na kutuonyesha tapes za Pele. Mimi nilikua napingana nae na kudai Maradona alikua bora zaidi. Baadae nikaja kutulia na kuangalia documentaries mbalimbali nikakiri kuwa Pele aliwaacha mbali sana wachezaji wenzake.

Messi ni mchezaji hatari sana na ameprove hilo kwenye mashindano tofauti lakini kulinganisha na mambo aliyoyafanya Pele kwa miaka ile nadhani Pele ni zaidi ya wote. Kwa maoni yangu
1- Pele
2- Messi
3- Maradona
4- Cristiano
5-Di Stefano

Kila mtu ana maoni yake, hatuwezi kuwa Sawa. Wote tukiwa na mawazo yanayofanana basi maisha yasingekuwa poa. Muhimu tuheshimu maoni ya kila mtu. To each his own.
 
Higuan yule mshenzi sana alinifanya nimchukie mno

Ila kwa mchango wa messi kwenye mpira dunia hii hata asingebeba kombe la Dunia bado ndiye angekuwa mchezaji bora wa wakati wote
Wachezaji bora wa muda wote wapo wengi

Ishu ni hapo unapotaka kumuweka Mesi on top ya wengine

Yani Messi hata asingechukua world cup bado ungemuona namba moja kuzidi pele

Ila Pele kutocheza aina fulani ya ligi tayari hicho ndio kigezo cha kumshusha
 

Asinge👈 wewe umejuaje asingeweza? hii lugha sio ya mwanampira..
 
Ni upuuzi kumlinganisha Pele na Messi

Pele ni Baba wa Mpira duniani , ndio maana ukaja msemo maarufu umecheza kama Pele sio umecheza kama Messi
Watu hili hawalioni halafu wanataka wote twende sawa na mitazamo yao ili tusionekane haters
 

Umemkubali kupitia nini? Na nini kimekuvutia kutoka kwake?
 
kati ya Messi na Ronaldo kwako wewe nani ni bora zaidi a complete footballer ?
Messi ni bora

Uliza kuhusu kati ya Messi na Ronaldo nani namkubali

Usiulize

Jibu ni Ronaldo

Twende kwenye hoja ya msingi

Pele na Messi yupi bora kumzidi mwenzie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…