Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Punguza ubishiMimi nijipinge nimekuwa kichaa? Acha dharau mara moja
Nilikuwa najibu hoja yako kuwa vilabu vya bocce juniors na rivar plate ni bora kuliko vya uropa ndio nikakuambia km ni bora mbona hawaonekani kuchukua ubingwa wa klabu wa Dunia?
Sasa umejileta mwenyewe kwa kusingiziq ulaya kulikuwa na ubaguzi mbona wachezaji wengi weusi walikuwa wanacheza au yeye pele alikuwa mchezaji wa njano ndio akakataliwa?
Unashusha thamani ya mchezaji kwa mdomo kama dalali?