Messi Vs Pele

Punguza ubishi

Unashusha thamani ya mchezaji kwa mdomo kama dalali?
 
Perhaps you’re not quite ready for the Diego Maradona redemption arc but delve into the data a little deeper and you can see why the Argentine might have felt within his rights to bend the rules a little, because no-one else respected the rules when it came to dealing with him. On that hot afternoon in the Estadio Azteca, seven of the 16 fouls that England conceded were on Argentina’s iconic number 10, so hard was he to deal with, and so hard did opponents go in on him. And it wasn’t just England who targeted Maradona. Across the entire 1986 World Cup, he was fouled 53 times, a record total in any World Cup between 1966 and 2018.

Four years later, as a semi-shambolic Argentina somehow reached the final once again, Maradona clocked up another 50 fouls won and — incredibly — the third highest total of fouls on a player at a single World Cup is 36 on, yes, Diego Maradona at Spain 82, a tournament in which he featured in only five games. Let’s put it a bit more simply: in the three World Cups between 1982 and 1990, 2.5% of all fouls made anywhere in the tournament, in any game, were on Diego Maradona. It’s a level of punishment that justifies a hat-trick of handball goals at the very least.
 
Hapo ni kumdharau Izack Newton na kumkubali teacher wako wa math kuwa ni mkali wa hesabu za mafumbo

Kwakua umekua ukimuona kila siku darasani hivyo habari za Izack Newton ni upuuzi tu kwasababu ya nyakati zao
 
Messi ndo mchezaji Bora wa muda wote wewe endelea kuamini unavyo amini sikuzuii ila kwangu Messi ndo mchezaji bora
Sisi hatuja kukataza wewe kutoa maoni yako kihisia kwasababu tunafahamu spirit ya ushabiki

Kusema Messi ni mchezaji bora wa muda wote kwasababu wewe ndio unaona hivyo, ni sawa.

Na mwingine anaweza akawa anamkubali sana Mayele akaona huyo Messi si kitu na hiyo nafasi ya mchezaji bora wa muda wote ni afadhali apewe Mayele

Yote yanawezekana kwa hisia za ushabiki

Lakini ishu inakuja ni pale unapotaka kulifanya hilo jambo liwe universal, yani lifahamike hivyo kwa kila mtu

Ndio hapo utaulizwa maswali ambayo yanaweza yakakukwaza au ukayachukulia kama chuki (kitu personally) kumbe ni challenge tu kupima ufahamu wako
 
Asipoelewa na hapo aje home kuna tuition
 
Aliyeleta hoja ya rafu atuambie mwaka 70 Pele alichezewa faulo ngapi ili atetee hoja yake kwamba Pele alikuwa anapigwa sana kwanja
 
Pele hajacheza hata ulaya.
Alafu kacheza Vs wakulima na wavuta sigara.
Watu wanatoka kwenye mechi wanarudi vibaruani

Plus hana Assist hawezi hata kudribble
Umeshawekewa sababu ya kwanini hilo lilitokea lakini bado unabisha

Sasa tutaweka rule kuwa kila mchezaji anatakiwa acheze ligi zote

Na mwisho Messi atakosa sifa kwasababu hatujamuona kwenye NBC
 
Kwahiyo baada ya CR7 kupigwa gape na Messi,mmeamua kuja kivingine kwa kumfananisha Messi na Pele?

Lionel MESSI
G.O.A.T
Mi nadhani hapo hoja ni kuangalia uhalisia zaidi

Ni kweli Messi kamzidi Pele au Pele kamzidi Messi na wewe unakubaliana na hilo ila unaichukulia kama hoja chonganishi iliyoletwa na mashabiki wa Ronaldo baada ya kushindwa na Messi?
 
Kwa hiyo kama Pele hatujawahi kumshuhudia unaliwekaje hili jambo?
 
Mjadala wa Messi na Pele unakaribia kuisha now ni Messi na Mbappe

Mbappe ana hattrick kwenye fainali wc, Messi ana nini?
 
Hapo ni kumdharau Izack Newton na kumkubali teacher wako wa math kuwa ni mkali wa hesabu za mafumbo

Kwakua umekua ukimuona kila siku darasani hivyo habari za Izack Newton ni upuuzi tu kwasababu ya nyakati zao
Scars unachokifanya, ni kudokoa kihoja kimoja kidogo kabisa kwenye rundo la hoja then unakikomalia.

Hiyo comment uliyoiquote, hoja yake kuu ni kupinga kwamba mpira wa zamani ulikua mgumu kuliko wa sasa. Hebu jikite kwenye hoja ya msingi. Unapinga au unakubali?
 
Mi nimeamua kuwa skip wengine nilipoona wana masikio ya kenge

Hicho kitu umekitolea ufafanuzi kuanzia kwenye main thread hadi kwenye replies bado kuna vitoga hawaelewi unafikiri hawa watu ni complex kiasi gani?
 
Messi angecheza enzi hizo za Pele angefanya maajabu mara mia ya maajabu ya Pele kwa sabab sheria hazikua nyungi,na Pele angecheza zama hizi angekuw km Hazard tu,kwahy Messi hana wa kulinganishwa nae
Hahahaha ila watu mnapenda vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…