Endeleeni kusahihishana wenyewe kwa wenyewe maana tumegundua mnaelewana nyinyi kwa nyinyiMasahihisho madogo.
World Cup ya Mwaka 1970, Pele alikuwa best player wa yale mashondano!
Huyo Mwakalebela anayemjua ni yule wa Yanga mwenye kilo 800Competitive league ya Ulaya ? Unajua kitu kilikuwa kinaitwa Intercontinental Cup? Pele alishinda mara mbili na Santos..., Kwahio hao wa kwenye Competitive league Santos ya Pele iliweza kutwaa Kombe (Kama hujui intercontinental cup ilikuwa Europe na South American Cup...
Kwahio hao wavuta sigara walikuwa hawawezi kupiga kiatu kumaintain diet kunakufanya ku-extend your playing career kipindi kile kulikuwa hakuna wing backs nabeki wa pembeni hawapandi kwahio wanakusubiri kama stricker au wanakunata kama gundi..., Sababu naona haufuatilii jaribu kuuliza tu huku bongo alikuwepo namba tatu anaitwa Mwakalebela alikuwa Pamba yeye signature yake ilikuwa ni kulaza ukija winger ukitaka kumpita wewe mpira nyote mnakwenda chini jambo ambalo leo lingekuwa faulo kipindi hicho it was legal....,
By the way usiende mbali hivi unajua hata Bongo kipindi cha kina Pamba, Sigara, Reli, Ushirika n.k. timu zote hizi zilikuwa za makampuni ?, unajua nini kilitokea kama unajua mpira unapewa kazi ya kuzugia bado asubuhi unakwenda training na jioni unakwenda training mkicheza mpira unapewa Posho kabla ya mechi kubwa mnakwenda kambini kwahio mpira bado ulikuwa source of income kwa watu sababu timu yako inahakikisha una kitu cha kuku-sustain; kipindi hicho wachezaji wana adabu na kocha wanamuheshimu sio sasa hivi unadhani utamwambia nini mtu anakuzidi kipato..., na unadhani ikiwa full time job ndio wanafanya training 24/7 bado sessions ni zile zile na kutumia muda mwingi wanasuka mikeka / horse racing, golf, n.k. (wana sauti kuliko hata makocha) unless wewe ni Pep na wanakuheshimu
Aisee kabla hujatoa comment jitahidi hata kufanya uchunguzi na kuangalia nini na wapi kimebadilika; kwanza kabisa kabla sijakupa jedwali la formation since 1800's kwanza nitakwambia jambo dogo zamani kulikuwa hakuna wing backs yaani mabeki wa pembeni kupanda defenders walikuwa defenders hawapandi kwahio which means kazi ya striker ilikuwa ngumu zaidi.... ingawa kwa kukufahamisha tu hata ile Holland ya 1974 iliyopelekea inspiration kwa kina Barcelona ya leo n.k. ilikuwa inacheza Total Football ingawa wenyewe ndio waliipeleka mainstream lakini inasemekana ilianza way back....
The term "Total Football" was first used to describe the 1974 Netherlands World Cup side. However, it was influenced by other key tactical innovators. Total Football had its roots in the Austrian national side of Matthias Sindelar in the 1930s, and in the famous Puskas-featuring Hungarian sides of the 1950s.
Total football ambayo ni fluid tactical playing theory in which any outfield player adopts the role of any other player in the team. Aina ya mchezo mtu kama Messi asingeweza kucheza hakabi wala hafanyi tracking back.... Hivi ushajiuliza kwanini Klop wa Dortmund aliweza ku-incinerate Barcelona ni kwamba kwa kila mchezaji ku-put in a shift hard working (Talent is no substitute for hard work) ukiwa na Messi kwenye timu inabidi uwapate kina Toure waweze kurekebisha Messi anapopoteza mipira..... Haya cheki kio link ya evolution ya formations....
Major Football Lineup Changes
Dominant Formations Years Major Influence 1-1-8, 1-2-7, 2-2-6 1860's - 1880's Rugby 2-3-5 1880's - 1925 Scottish Passing Game 3-3-4 1925 - 1950's Offside 4-2-4, 4-3-3 1950's - 1970's Countering 3-3-4 4-4-2, 5-4-1 1970's - 1990's Italian Defensive Game 3-5-2, 5-3-2 1990's - 2000's In Game Formation Changes Variable Formations 2000's - Present Day Fluid Formations Changing On Situation
Cheki hapo juu na kwa kujifunza zaidi angalia hii link
Advanced kwenye nini ? Wachezaji kujali miili yao na kutumia diet ku-prolong their career ? , Maybe huenda hata wengine wanatumia madawa ya kuongeza nguvu (doping)..., ila je imekuwa bora ? Subjective wengine watakwambia imekuwa imekuwa kama basket au golf, mtu huwezi kumshika wala kumgusa yaani sio physical game tena.., kuhusu formation nimekwambia fanya research ya Austrian na Hungarian Sides za miaka ya 1930's na 50's ..., ukiona leo watu wanapiga Panenka hio ilikuwepo way back, trick nyingi za Ronaldinho unaweza ukazipata kwa wadau way back kwa ufupi tu cheki hizi tricks The Cruyff Turn (1974); The Pele Runaround (1970); The Marseille turn (1970) ila wamekuja kuitumia kina Zidanne, Henry na Maradona; The Elastico (1970) hii ndio inampa Ronaldinho sifa; The Step Over (1920) ingawa Ronaldo ndio signature yake; The Garrincha Feint.... Ni kwamba haya ni marudio wala usidhani kwamba unaona jambo jipya
Hivi yanga ya leo inapata ushindani hata wa yanga ya miaka ya kina Pamba, Majimaji, Ushirika, Pan Africa, Coastal ya Kipindi kile n.k. ? Au Gap ya pesa ishakuwa kubwa kama vile ilivyo ligi za huko ulaya timu mbili au tatu zipo above everyone else... !!!
Kuhusu tactics nimekuonyesha hapo juu, Chelsea ya kina Zola ilikuwa bora kwa mtizamo na uchezaji kuliko chelsea ya Maurinho unadhani ningependa kuangalia chelsea ya Maurinho au Total Football ya Holland ya 1974..., Hivi unajua kwanini Socrates alisema Football died in 1982 ni kwamba kwa sababu ya Brazil kutokushinda hilo Kombe na kufungwa na Defensive formations Brazil ilibadilisha mfumo wao wa kucheza pasi fupi fupi za haraka haraka (one touch football).., Pia muulize Brazillian yoyote their best team ever atakwambia ni 1970....
Kwahio kwa akili yako kila link unayotoa kwenye mtandao na app za watu kwako ni verified news ? anyway jibu la hili takupa baadae
Fungua tuition bila hivyo hawa watu hawakuelewiAisee kuweni basi na uelewa Pele Dribble alikuwa anafanya na kumbuka ingawa alikuwa striker alikuwa anashuka na kutafuta mipira na kuwapita madefender bila shida..., hio clip ni signature ya Pele inaitwa Pele Feint (Pele Dummy; Runaround Move, Yaani ukisema Pele feint mtu anakuelewa kama vile ukisema Panenka...
Yaani mtu andash huku wewe unafuata mwili kumbe mpira umekwenda pengine... Okocha pia alikuwa anajitahidi kuitumia ila sio kwa ufanisi....
Kwa Mantiki hii tunasema mchezaji bora ni yule tuliemshuhudia live baada ya teknolojia ya tv kusambaa duniani.Hii hoja haina uhalisia. Shughuli ya Einstein haikuhusisha maonyesho. Ni vitu ambavyo vinathibitishika kwa majaribio ya kisayansi, na kanuni za kimahesabu.
Kesi ya Pele inahusisha maonyesho. Ucheze mpira, watu wakuone, ndio wajue kiwango chako. Hiki sio kitu kinachothibitishika kwa majaribio ya kisayansi, wala kanuni za kimahesabu.
Kwa mantiki hiyo, naweza kumuamini Einstein ambae sikumuona ila kazi zake zinathibitishika, kuliko Pele ambae kazi zake hazithibitishiki. Yani niamini eti Pele ni bora kuliko Messi au Ronaldo, eti kwakufuatisha masimulizi yenu? Hapana bana Scars!
Habari za kina mkwawa katika kipindi ambacho Tanganyika ilikuwa nyuma kielimu na swala zima la uhifadhiji wa historia mwenzetu yeye alikuwepo ndio maana habari hizo hazipingiAisee mara nyingine huwa najiuliza kama hiki kilichoandikwa ni utani au mtu yupo serious na huu ndio mtitiriko wa arguments zake...
Kwahio sababu sikuwepo 1800 documentation za 1800 siwezi kuzisoma ? Umesoma Post yangu ya kwanza au tunapotezeana muda..., Rudia kusoma mwanzo hapa nimesema naweka record straight kwahio sababu 1800 nilikuwa sipo basi ndio tu-conclude offside rules zilikuwa hazipo ?
Hii Logic ya wapi hii... Kwahio tunaposema Greatest of all Time tunatoa baadhi ya miaka sababu tulikuwa hatupo ?!!
Ukifanya hivyo utaondoa maana halisi ya GOAT na hicho ndio kitu fans wa Messi hawawezi ruhusu kitokeeKwa Mantiki hii tunasema mchezaji bora ni yule tuliemshuhudia live baada ya teknolojia ya tv kusambaa duniani.
Au kwanini tusikeep it simple tukasema Messi ni mchezaji bora wa kizazi hiki na Pele ni mchezaji bora wa kizazi kilichopita. Hoja kuu si kumuona au sio?
AiseeHamisheni magotu tu. G.O.A.T ni Messi. Hii debate ilifungwa tarehe 18.12.2022 saa 4 usiku. Baada ya King Messi kuisaidia Argentina kubeba kombe la dunia.
Maradona alikuwa akilinganishwa na Pele. Na Messi alikuwa akilinganishwa na CR7. Pele alipata kombe la dunia hali kadhalika Maradona. Mjadala ulikuwa mkali japo hulikuwa hakuna social media wakati huo.
Ndio maana mwaka 2000 fifa waliandaa kura za kumchagua mchezaji bora wa miaka 100 iliyopita. Kwenye matokeo Maradona aliibuka pale juu akimshinda pele. Kwenye kutoa tuzo fifa wakaigawa kwa wote, kitu ambacha maradona alikikataa.
Fifa walitoa sababu dhaifu na za kijinga eti pamoja na maradona kuibuka mshindi ni mtovu wa nidhamu na mla cocaine. Wakapewa tuzo wote wawili.
Ikaja kwa CR7 na king Messi. Walichuana kwa zaidi ya miaka kumi kwenye debate kukiwa na social media na vyombo kibao vya habari. Honesty hawa jamaa ukiwaangalia walikuwa fire wote tena sana. Cr7 anafunga, ana dribble, ana piga faulo ana piga penalt vitu ambavyo messi naye alikuwa na anafanya sawa sawa kama ronaldo.
Wote wana makombe. Yote ya mashindano waliyoshiriki. Ikaja kwa timu ya taifa. Cr7 akachukuwa Euro na Ureno. Zikaanza kelele. Oooh ronaldo ni zaidi ya Messi kwa kuwa tu kaipa ureno euro.
Messi akapambana thanks to shotstopper Emmy Martinez. Akapangua penalt 3 kwenye fainal ya copa america. Messi naye akasawazisha. Mjadala ukaendelea. Nani mkali.
Cr7. Umri ukaanza kumtupa. Akaanza kutoaminiwa tena. Kwa mara ya kwanza akaanza kuanzia bench. Akawa anapewa wakati mwingine dk3. Akahamia kuwa mpenzi wavyombo vya habari. Ambavyo vimeenda kuimaliza caree yake vibaya.
Wc hii Qatar ndio imevunja na kumaliza debate hii ambayo wewe mleta mada unataka kuiendeleza. Mjadala umefungwa jamani. Acheni chuki kwa king messi.
Hata fifa wakiandaa kura ya kumchagua mchezaji bora kwa muda wa mika 125 iliyopita utashaangaa. Matokeo yatakuwa hivi.
1. Messi
2. Maradona. Sababu alishamgaragaza pele.
3. Cr7
4. Pele
Cause he's feeding your ego right?Huu ndo ukweli
Hawa wanaona hiki ndio kipindi kigumu kwa kuangalia ugumu wa maishaPele ilifika hatua raisi akamdeclare as national treasurer, ndio maana hakuuzwa kwenda ulaya.. Alikuwa ni kama pembe za ndovu au meno ya simba.
Pele kacheza kipindi kigumu jamani, tafuteni video zake watu wanachapa kisawa sawa, hakuna redcard
Atakuja na hoja ya kati ya Pele na Messi nani ana followers wengi instaUbora wa mchezaji unapimwa kwa social media ? unadhani hii ni Big Brother ? Leta dissections ya vitu sio nani ana wapenzi wengi ? Mambo gani yamefanyika na wakati gani....
Soma post ya mwanzo Maradona Messi wanaweza kutumika kama playmaker tengeneza teams around them ila tukija kwenye playmaker tamchukua Andre Pirlo Maestro... tukija kwenye clinical finishers Messi anaachwa mbali, dribbling Pele hakuwa nyuma ila kuna kina garrincha huenda angecheza kama winger angepiga chenga Pele was a complete athlete ambaye walishasema ange-excel kwenye any sport ambayo angefanya...., Na chenga za leo haupigwi buti huwezi linganisha na Chenga kipindi cha kupigwa ndaruga na refa anapeta..., Mpira umekuwa ukibadilika na kuwa a non contact sport...
Siongeli vitu kwa mapenzi ya mtu naongelea vitu kama mpenda kandanda na mfuatiliaji wa mambo na sio nani ana followers wengi au nikupe votting inayompa Ruud Gullit kwamba ndio the Best Player ?
πππ ila mashabiki wa ronaldo wana shida sanaNaona mnaanza kufukua na magombo mara mpira ulikuwa mzito , mara sjui Rafu , yaan bla bla kibao , tunaposema Greatest of all Time , tunamaanisha hvi nyie washabiki wa babuππππππ
Na mjue hatujastaafu tunaendelea kucheza mpak tuvunje vichaka vyenu vyote
View attachment 2459278
Hivi haya yote unayofanyia wanakulipa au umeamua tu kutoa elimu bure kwa mapenzi yako?Seriously ?
Ngoja nikupe stats ambao wote wamecheza...
Pele alicheza world cup nne tu ( I repeat NNE) na katika hizo nne 1958 akiwa na miaka 17 aliingia na kufunga(record ambayo haijavunjwa na hapo mechi za mwanzo alikuwa bench- unajua tena kuwa rangi nyeusi wakati huo) kijana aliwasaidia Brazil kuchukua kombe na Goli lake fainali angainst Sweden la kwanza kati ya mawili ili-involve kumdash mchezaji wa kwanza (left for dead) wa pili kupigwa kanzu na kufunga bao...
1962 akacheza mechi mbili ya kwanza against Mexico akafunga bao la pili pamoja na kupigwa kiatu cha kutosha, mechi ya pili na wa-Czech akapigwa kiatu mpaka akashindwa kucheza mechi nyingine....
1966 waingereza na figisu zao alipigwa kiatu game ya kwanza cha kutosha against portugal wakammaliza kabisa hadi akasema ana-retire mpira kutokana na kwamba alikuwa target ya watu kumuondoa (kipindi hicho chote hakuna red/yellow cards)
1970 FIFA waka-introduce Yellow / Red Card Pele akarudi na kuchukua ndoo nyingine....
Messi kacheza world cup mechi nyingi zaidi katika world cup anazidiwa na mtu mmoja tu hapa duniani..., na katika hizo ingawa ameshiriki fainali mara mbili ameshinda moja...
Kwahio hapo unaweza kuona nani ni clinical na when push comes to shove who bottles it..., na katika hizo mechi alizocheza kuna ku-miss matuta
Ndio ikaja point yangu kuu kipindi hiki striker / anaweza kucheza mechi nyingi zaidi kipindi hiki ni rahisi kuliko kipindi cha kina Pele (Football imekuwa non contact sport) yaani mtu anapiga vyenga unamuangalia na kumpuliza puliza zamani yeye na mpira angejikuta kwenye chaki...
Huyo Messi unataka kumkopa?Unakataa nguvu za social media wakati sasa hivi tunawalinganisha hapa jukwaani. Kwani hizo debate za messi na cr7 nani mkali zinafanyika wapi. Uwanjani?
Kwanza mjadala mnahamisha. Messi hajawahi kulinganishwa na pele. Pele alilinganishwa na maradona thats why wakapigiwa kura kwenye ile ya kumpata mchezaji bora wa karne.
Hii ya kumfananisha Pele na Messi inakuja baada nyie mashabiki wa cr7 kuona sasa hamna namna. Ndio mnakimbilia kuanzisha mijadada kama hii kujifariji.
Messi top ya wote waliowahi kucheza soka dunia hii.
Na hayo yote akumbuke yalifanywa kwa mtu mwenye race ambayo mara nyingi haipewi favour kwa nchi hizoFuatilia mambo kabla haujasema, Kipindi Pele yupo Peak Brazil kulikuwa na fukutu la Kisiasa kwa sababu Pele aliunganisha watu na Timu zote za ulaya zilikuwa zinamtaka Pele Rais wa kipindi hicho akapeleka hoja haraka haraka Bungeni ili Pele asiondoke na watu waendelee kumfaidi na sio kufuatilia Siasa za nchi....
Pele alikuwa na impact kwa watu wengi bila Joao Havelange kutembea na Pele mpaka Africa huenda asingepata kura na kuwa Rais pekee wa Fifa ambae hatoki bara la Ulaya na ulaya wangeendelea kufanyia figisu mataifa mengine..., Pele alifika Nigeria kwenye exhibition match na walivyosikia the King atakuwa anacheza wakapatana waache kupigana kwa masaa 24 ili wakamwangalie the King...
Kesho watakwambia Pele alikuwa anacheza bila viatu , utaambiwa alikuwa anafunga huku amevutwa jezi...!! ππππππ ila mashabiki wa ronaldo wana shida sana
Yani wanatapa kama nyani anayeanguka, wanatafuta tawi la kushika, kila tawi linateleza.
Mara Mbappe mara Pele mara Maradonaπππ
Messi ana makombe mangapi ya wc?Kama ungekuwa mtihani na mimi ni mwalimu wako ningekupa alama 0. Sababu swali nililokuuliza umetoa majibu ya ajabu.
Swali linauliza, Pele kafanya nini ambacho Messi ameshindwa kukifanya? Umekuja na maelezo ya ajabu.
Mfano. Lissu aliuliza ni kitu gani ambacho Magufuli alifanya Nyerere alishindwa kukifanya kwenye eneo la maendeleo.
Raha ya Jf ni kukuta serious hoja kwenye jukwaa la jokes na kukuta jokes kwenye jukwaa la sportsNakwambia Rais wa wakati huo kisiasa alikuwa na hali mbaya, ili kujipa kiki kwa wananchi akafanya move hiyo maana Wabrazili wanapenda mpira sana na walimkubali Pele. Lakini hayo ni mambo internal ya nchi, ni kama sisi tulivyowahi kumuweka kwenye Stempu Jellah Mtagwa baada ya Tanzania kufuzu kucheza kombe la AFCON mwaka 1980
Kusikia kutoka chanzo kipi?We hujawahi kusikia kuwa Fifa ilimgeuza pele kuwa chombo chao cha propaganda? Hizi shutuma zisemwa sana.