Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Unaelewa watu wengi hawaelewi?Wanaoongelea mpira sababu ya social media waache waendelee kuongea ukisoma post yangu ya mwanzo kabisa nimesema football is a game of opinions na hilo sikatai mimi ukiniambia wachezaji wakali duniani naweza kumtaja Andre Pirlo, the guy has footballing brain..., wala sitashangaa watu wanaopenda entertainers, au waliompenda OCD kutokana na uchezaji wake wa akili au Samli Ayoub kutokana na Ustaarabu wake wakati ni beki..., its all about Opinions wala haikatazwi.... Na wakati watu walikuwa wanaangalia Galacticos kina Zidanne na Roberto Carlos mimi nilikuwa naangalia umuhimu wa Makelele bila yeye timu inakosa balance wakati wengine wanafanya fancy stuff yeye anaprovide safety...
Kama unafuata mchezaji bora kwa kura kama za urais hio ni prerogative yenu, lazima kizazi ambacho kipo current kichagua mtu ambaye yupo current sababu ndio wamemuona na kukua nae; ila footballing people tunakwenda deep..., Sasa baada ya kuja Kwamba Messi ni bora kwa miaka yote ndio likaja swali Pele vipi ? Ooh Pele kipindi kile kulikuwa hakuna sheria, mara kulikuwa offside (hizi zote ni story za kwenye Gahawa..., Na mimi kama mpenzi wa soka ninasaidia kuchambua makapi kwenye ukweli hayo mengine ya mapenzi ya fulani au nani ninawaachia nyie na social media zenu
Hawaelewi kuwa hatupingi kwamba Messi sio bora, tunapinga kusema Messi ni GOAT yani wa muda wote compared na malegends kina Pele na Diego
Diehard fans wa Messi ni watata sana, wamenisumbua sana kwenye uzi wa World cup