Messi Vs Pele

Unaelewa watu wengi hawaelewi?

Hawaelewi kuwa hatupingi kwamba Messi sio bora, tunapinga kusema Messi ni GOAT yani wa muda wote compared na malegends kina Pele na Diego

Diehard fans wa Messi ni watata sana, wamenisumbua sana kwenye uzi wa World cup
 
Kwako wewe kati ya Messi na Di Maria nani aliyekiwa na mchango kwenye kuibeba timu kwenye mechi ya fainali??
 
Bora kaka komeo useme wewe maana enzi zile hawakuepo hawa vijana ila wabishi kweli.
Hawaelewi na ndo maana wabishi. Ni kizazi cha dot com. Kizazi hiki tatizo kubwa ni kuwa HAKIJUI KUWA HAKIJUI. Tofauti na sisi enzi zetu tulikuwa tunajua kuwa hatujui. Katika akili timamu bila kuvuta bangi,kulewa ,kuwa umeathirika na kubakwa au jambo baya lolote. UNAWEZAJE MLINGANISHA MESSI NA MCHAWI PELE? YAANI UNAANZIA WAPI? HAIWEZEKANI KAMWE.
 
Umeuliza Messi na Pele

Mambo ya zizzou yametoka wapi.
 
Stats nyingi za Pele ni za mchongo.

Hakuna clear stats.

WC na uweusi wake unambeba

Mostly wanaomoamba humu hawajawahi hata muona akicheza katika mechi za live labda clips fupi fupi(simaanishi kumuona kwa macho)

Messi tumemuona na tumemshuhudia kwa macho yetu tangu anaanza first team enzi za frank rijkaard
 
ila ilikosa sifa za kipindi kile.
Nyie si ndo mnalazimisha tukompee era za wavuta sigara na professional athletes
Kwa maana hiyo hata hawa wavuta shisha waliochukua hii kombe wangeweza kukosa ingetumika system ya kipindi kile na yule dwarf angekosa hiyo sifa mnayompa hapa jukwaani
 
Kwa hiyo kama Pele hatujawahi kumshuhudia unaliwekaje hili jambo?
Sishuhudii nisichokiona kwa ukubwa na sinaga muda na debate dhidi ya watu wa era na roles tofauti.
Sipotezi muda.
 
Sishuhudii nisichokiona kwa ukubwa na sinaga muda na debate dhidi ya watu wa era na roles tofauti.
Sipotezi muda.
Mpaka hapa usha debate, mpaka hapa ushapoteza muda

Uuna unafki mwingine zaidi ya huo unaweza share na sisi?
 
Mpaka hapa usha debate, mpaka hapa ushapoteza muda

Uuna unafki mwingine zaidi ya huo unaweza share na sisi?
Kuna mtu mnafk Kama wewe.
Mnaletaga ngonjera mnazozani zinaweza kuwa deabte mnasimama kudefend uchafu
 
Enzi zenu za wapi wewe ? Kama tunaona matukio yaliyotokea kwenye ww2 , tushindwe kuona script za Pele , et Enzi zetu , yote aliyoyafanya Pele nasema yote clip zipo hakuna haja ya kudanganya watu...!! Zote zipo hakuna iliyojificha , hata Messi tunamuona kwenye TV , wachache wanaomshuhudia uwanjani kila game, hata kama ulikuwepo kipind cha Pele ( possibly not ) waliokuwepo wengi wao walimuona kwenye TV kama Sisi tunavyomuona kwenye TV Messi Leo , Hakuna jipya Pele amefanya Messi hajafanya , makombe kazidiwa na Messi , magori kazidiwa , average stats za game , goal and assist ndo mnajifichia hapo , Kwa vile Messi anaendelea kucheza tutazifunika na hzo zotee....!! Kichaka cha mda mrefu kilikuwa ni World cup , imenyanyuliwa mnaanza kuleta ngojera za mara kipind kile kulikuwa na hki mara kile , yaan full ujinga mtupu....
Huyo babu yenu Pele kwishaaaa, sku ZOTE REKODI HUWA ZINAVUNJWA, tunashukru kwa inspiration aliyofanya Ila kuna wababe Zaid yake ...
 
😂😂😂 ila mashabiki wa ronaldo wana shida sana
Yani wanatapa kama nyani anayeanguka, wanatafuta tawi la kushika, kila tawi linateleza.

Mara Mbappe mara Pele mara Maradona😂😂😂
Mimi sio Mshabiki wa mtu ni shabiki wa mpira kwahio nina appreaciate talent..., ila like for like Messi anamshinda Ronaldo kwa Chenga, lakini suala la kufunga, pace, nguvu header ability hamfikii hata kidogo...

Ronaldo naweza kumchezesha kama Target Man kirahisi zaidi kutokana na height yake, Mbappe ni among the fastest striker hakuitwa Cheetah sababu anafanana na Chui kwa Sura...., kwahio mkuu ukiwa mpenda Soka una-appreciate hadi kina Taribo West....

Ila tukija kwenye mambo yaliyofanyika kumlinganisha the King na hawa wengine ni kutotendea haki Soka... The King ni SI Unit yaani wengine wanalinganishwa kutokana na hiki kipimo..., Miaka mingapi imepita lakini bado unasikia fulani kafanya hivi since Pele...
 
Mkuu umewapa takwimu, watakuua Hawa. HAWANA WAJUALO WALA WATAKALOLIKUBALI.. WATAKUUA.
 
Sasa kama unaandika Magori, script badala ya clip kweli kubishana nawe nitakuwa sikutendei haki nami wenzangu wakinisoma hapa wanaweza hisi nina tatizo la afya ya akili. Swali jepesi. Unajua Pele amechukua kombe la Dunia mara ngapi?
 
Kwa nini Pele hakufunga goli iwe 2-1 au hapo napo wangenyimwa kombe?
Kwenye hiyo fainali Pele alifunga goli 1 na Argentina walifunga 1 ikawa 1-1 ila kulingana na sheria za kipindi icho ikabidi kombe litolewe kwa sandakalawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…