Messi Vs Pele

Umeshasema Brazil ilikuwa kwenye peak hence tunahitimisha kwamba si Pele aliyesababisha Brazil ichukue mara 3 bali ni collective performance ya timu ndiyo ilisababisha timu kubeba kombe hili mara 3

Rekodi za FIFA wenyewe zinasema , Maradona ndiye aliyeweka Individual performance kubwa zaidi kuchukua kombe katika kombe la dunia.Huyu Pele alibebwa zaidi na ubora wa timu ya Brazil ndiyo maana kuna sehemu wewe mwenyewe umesema alimiss mechi tatu akarudi mechi ya robo fainal Brazil wakachukua kombe hii inamaanisha makundi Brazil walipigana bila Pele wakatoboa , wakaja 16 bora wakatoboa bila Pele sasa utasema Pele kawa bora kwenye lipi hasa? Maana timu ingekuwa mbovu hata kwenye makundi ingetolewa na yeye angekosa kombe husika.

Kuna mwaka umesema aliumia hakucheza hadi fainali alicheza one game tu akaumizwa akawa sidelined na bado Brazil wakachukua kombe yeye akavaa medali ambayo wenzake ndo waliipigania.Hapo utasema Pele ndo kaipa Brazil kombe kisa alikuwa sehemu ya timu ya Brazil japo alikuwa nje kwa majeraha?

Tukubali he played a strong side by then ambacho kilikuwa kinawezakuchukua kombe bila yeye na kilifanya hivyo kirahisi kabisa.Tunachotaka ni individual brilliance ya Pele dhidi ya Messi ni ipi na ya kipengele kipi?
 
Ukimtaja beki mstaarabu wa Majimaji , ni vema ukamtaja kiungo aliyekwenda shule Octaviani Mrope
 
List of La Liga top scorers - Wikipedia achana na ubishi mfu na mambo ya Carabao Cup na makombe mengine ya mbuzi ambazo timu nyingine wala hazi-qualify twende kwenye jedwali linalosomeka kwa urahisi na kwa jumla yote ; tuangalie ratio like for like ligi moja na wote kucheza na timu sawa sawa sio cup competition ambazo mwingine ana mechi sita mwingine mbili...

  • Bold shows players still playing in La Liga.
  • Italics show players still playing professional football in other leagues.
As of matches played on 13 November 2022[5]
RankPlayerGoalsAppsRatioFirstLastClub(s) (goals/apps)Notes
1 Lionel Messi4745200.9120042021Barcelona
2 Cristiano Ronaldo3112921.0720092018Real Madrid
3 Telmo Zarra2512770.9119401955Athletic Bilbao
4 Hugo Sánchez2343470.6719811994Atlético Madrid (54/111), Real Madrid (164/207), Rayo Vallecano (16/29)
5 Raúl2285500.4119942010Real Madrid
6 Alfredo Di Stéfano2273290.6919531966Real Madrid (216/282), Espanyol (11/47)


 
Hili ni jedwali la ligi gani?
 
Umeshasema Brazil ilikuwa kwenye peak hence tunahitimisha kwamba si Pele aliyesababisha Brazil ichukue mara 3 bali ni collective performance ya timu ndiyo ilisababisha timu kubeba kombe hili mara 3
Wewe una matatizo makubwa si haba..., Brazil alikuwa kwenye Peak kwa kuchukua vikombe ndio na wale wote ambao alikuwa anacheza nao hawakuwa vibonde, kwa nafasi zao ambao pia alikutana nao kwenye ligi za nyumbani na bado Santos kufanya mambo....

Unasema Pele hakufanya nini ? Kafuatilia 1958 alifanya nini; 62 alicheza game mbili sababu walijua kinara ni nani na katika mbili moja alifunga; kafuatilia 1966 kwanini Brazil hata haikuvuka makundi na Pele alifanywa nini ?, Kafuatilia 1970 alivyorudi alifanya nini hizo ni world cup za kufuatana..., alafu kacheki Messi amecheza World Cup ngapi na amefanya nini na hizo world cup alikuwa na kina nani (yaani benchi la argentina tu ungeweza kuzipa timu za Afrika na hata kuwakopa England strikers kadhaa) na bado chenji ikabaki kina Saviola, Tevez, De Maria; Juan Riqueleme wote ni Wa-Argentina ujue...
Rekodi za FIFA wenyewe zinasema , Maradona ndiye aliyeweka Individual performance kubwa zaidi kuchukua kombe katika kombe la dunia.
Tafuta historia ya Kombe la dunia 1958 na 1970 google tu wala usihofu; Maradona 1986 alifanya mambo sawa ila ilichangiwa na Games kuwa televised world wide hence watu wengi kuangalia na kwa kuwafunga England na Media zao hence more promotion.... bila kusahau Hand of God na kwamba Diego ni a Character (machachari)
Again kabla ya kujibu fanya research ni kwamba 1958 kina Pele kwanza akiwa African, na pili Bwana mdogo game mbili za mwanzo hakucheza Kocha akawa-convinced na kocha mwingine game linalofuata aanze na kina Pele (yaani hatua za makundi) Pele alivyingia game ya tatu / Sio Robo !!! Game ya Tatu akatoa pande la goli, Mechi iliyofuata akafunga only goal yaani in short bila Pele hata makundi wasingetoboa.... kwahio kwa point yako hapo juu inaonyesha hata Data hauna na ungekuwa nazo huenda tusingepotezeana muda mpaka sasa


Aisee againa fanya research alicheza mechi ya kwanza na kufunga bao na kuwa-incenerate Mexico hio ni 1962 baada ya 1958 kufanya mambo na timu walivyoona hivyo kiatu kikatembezwa mechi ya pili akaumizwa sasa asichukue kombe lile goli dhidi ya Mexico ulifunga wewe ? kuna watu wanachukua Kombe hawajafunga game hata moja au utasema De Maria asipewe medali wakati ni kazi yake nzuri ndio ilifanya Argentina mpaka half time wawe mbele ?
Tukubali he played a strong side by then ambacho kilikuwa kinawezakuchukua kombe bila yeye na kilifanya hivyo kirahisi kabisa.Tunachotaka ni individual brilliance ya Pele dhidi ya Messi ni ipi na ya kipengele kipi?
Rudia kufuata History 1966 Pele bado alikuwa kwenye Peak na kwa timu kujua hilo Bulgaria na Portugal walimpiga kiatu hadi akashindwa kuendelea game la pili na bila hivyo Brazil wangechukua hii ndoo tena na Pele angekuwa na ndoo nne...

Individual Brilliance ? Fuatilia what happened 1958, 1966 na 1970..., au ni wewe ndio ulikuwa kijana mdogo kuliko wote mpaka sasa kufunga bao Kombe la Dunia ? Yaani Sweden walikuwa kwao na Ubaguzi wao walishindwa hadi kuanza kumshabikia Pele ingawa ni Timu Pinzani..., Yaani hadi King akashuka na kumpa mkono..., kuwa kwake Global Brand hadi Cosmos wakambembeleza aende kutangaza Soccer; Bila yeye huenda Joao Havelenge asingekuwa Fifa President na mpaka leo Europe ingekuwa na Timu zote sisi huku mabara mengine tuna timu za kuokoteleza...

Dogo acha kuleta masihara....
 
Kwanza sisi kama mashabiki wa Lionel messi tunashukuru kuwaona debate sio kwa ndugu yetu CR7 Bali kwa Pele

Honesty speaking, hata kabla messi haja win world cup nilikuwa sifungamani na siasa za wengi inayodai ili mtu awe GOAT basi awe ameshinda world cup....abadani sifungamani na hii dhana

Huwezi kuniambia kuwa CR7 sio GOAT eti kwasababu hana world cup hali ya kuwa ni mfungaji bora wa muda wote ureno kadhalika uefa....sijui nani aliweka hizo standards eti mchezaji kuwa GOAT lazima awe na world cup

World cup yenye mechi 7????? Tena world cup karibia team zote zinazoshinda huwa zinabebwa na ubora wa kikosi kuachana na ubora wa mchezaji mmoja....sote twajua Brazil karibia miaka yote huwa ina kikosi cha kushinda world cup tofauti na Ronaldo kikosi hakikuwahi kumfeva labda kidogo cha mwaka huu

Kwani hao walioweka hizo standards walisema GOAT ni lazima awe mmoja???

Mi naona wanakomalia Pele na maradona ili vizazi hivyo vya zamani vionekane ndio vilikuwa bora zaidi na havitatokea tena

Nakuambia hata ikitokea mbape akishinda world cup nyingine mbili ili ziwe tatu bado watatafuta sababu nyingine ili ionekane Pele anakaa pale juu ila Mimi kwa mdudu messi huniambii siasa za kichovu hizo eti ana world cup tatu so what???

Ronaldo kachukua back to back uefa tatu ambacho ni kitu ambacho kwa zama hizi itaondoka miaka mingi sana katika hii dunia hakijafanywa kitu kama iko na ikumbukwe hakijawahi fanywa kitu kama iko lakini bado sio lenye kuongelewa sana kama world cup tatu za Pele

Sema lakini Pele hajacheza ulaya wala kwenye michuano mikubwa kama uefa ambayo ukiondoa mvuto wa world cup hakuna michuano migumu kama uefa utaletewa dalili nyingi kweli kweli ooh Mara taifa lake lilikataa Mara ooh lakini ndio ishapita hivyo kuwa hajakiwasha uefa huyo pele, hajacheza katika zile league ambazo zina mvuto zaidi duniani hata mje na sababu mia ila ndo hajacheza tayari, na pia hiyo world cup ya tatu aliumia group stage ila still Brazil akashinda this reflects kuwa legend Pele alikuwa akicheza na watu ambao pia walikuwa wazuri sana acheni propaganda wewe

Nihitimishe, nani ni GOAT ni kila kundi litaona flani ni GOAT wao kutokana na record za mchezaji wao wanaziona wao

For me
Messi-GOAT
Pele-GOAT
Ronaldo-GOAT
Maradona-GOAT

mbape upcoming GOAT

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mtaongea sana sana Messi ndio mchezaji bora kuwahi kutokea akifuatia na Diego.. sometimes muwe mnaacha mahaba kisa mweusi,
 

Maneno mengi na kujishosha juu, pele kwa Maradona akasome, kwa messi ndio kabisaa..
 

Wanaosema Pele alibebwa ni kweli alibebwa na wenzake baada ya kuona mchango wake; kuanzia kijana mdogo makaka zake wali-appreciate mchango wake, yaani pamoja kuwa na ma-born leaders kwenye timu ila wali-appreciate mchango wa Pele kwenye timu....

Tofauti na Messi ingawa ni mchezaji mzuri lakini kumfanya yeye kuwa Leader ni kosa kubwa..., Messi sio kina Roy Keane, Messi sio Grafter Messi sio Vocal huenda Argentina ingekuwa na kiongozi ambae ni vocal na kumuacha Messi acheze tu bila kumbebesha mzigo ambao hauwezi ingeshinda Kombe la dunia zaidi hata lile la 2014

Natural Born Leader kwenye Timu wasingefungwa na Saudi Arabia wala kupoteza lead mara kadhaa wakiwa wameshinda bao mbili bila... When things are falling apart you need a leader (Both in and out of pitch)
 
Hili jedwali la ligi gani?
 
Ukimtaja beki mstaarabu wa Majimaji , ni vema ukamtaja kiungo aliyekwenda shule Octaviani Mrope
Ha ha haaa ila zamani tulikuwa na wadau wenye majina tofauti tofauti...

Kina Ball Juggler Malota Somo.., Kina Sure Boy, Kina OCD, lakini binafsi katika viungo Hussein Amani Masha na ile cheza yake polepole huku anakimbia kwa matanuzi nadhani angekuwa Ulaya tungekuwa tunasema mengine basi tu kuna talent hazipati exposure tangia umri mdogo
 
Umeandika kama mwanamichezo.mzoefu hongera

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Naam na ungesoma Post ya mwanzo ndio maana nimeleta hii Post; Hii Post ni ya kuchuja Pumba na Mchele; yaani kupunguza kuondoa achievements za mwingine ili ku-justify mambo mengine kwahio kama mchambuzi wa Mpira uangalie vitu kwa jicho la kichambuzi

Na sio kushinda tu world cup bali umefanya nini katika hio world cup Pele was a Piooneer, Yaani Pele was among the People who Made Football the Beautiful Game Pele identified na watu masikini wa Brazil na watu Weusi dunia nzima..., What Pele achieved kwa kijana wa leo kuja kusema ligi ilikuwa ya wavuta sigara na mijamaa ambayo haina talent kwakweli ni kuleta masihara na kudharau achievements za watu....

Kwamba ligi Bora Duniani zipo Ulaya huenda hii ni kwa sasa lakini kipindi vinara wote / wengi wanacheza ligi za nyumbani logically timu bora ya kipindi hicho means zilikuwepo huko ambapo timu ya taifa ilikuwa more talented....

Na kwa ku-confirm hilo ni kwamba Santos ilishinda Kombe la Timu za Ulaya na South America mara mbili (Intercontinental Cup) pamoja na Intercontinental Supercup ambayo ilijumuisha washindi wote wa nyuma wa Intercontinental Cup na Brazil akamfunga Inter Milan nyumbani kwao Italy San Siro
 
La Liga Pure League timu zote sawa, ligi sio kuongezea ligi za mbuzi n.k.
Okay hapo hapo Laliga tuangalie stats za ile misimu ambazo wote walikuwepo yani 2009-2017

Maana ukiangalia Overrall kuna kipindi Messi alicheza Laliga kabla ya ronaldo kuja, mabeki walikuwa walewale???

Kwahyo fair comparison tuangalie kipindi kile kile wako pamoja yani ile misimu kuanzia ronaldo aje Laliga hadi anaondoka.
Tunafikia hapa
So hapo inahitaji ubishi tena??
 
Kwamba tusichukue ligi aliyocheza kipindi Chote na Ronaldo ligi aliyocheza kipindi chote Yaani La Liga ile ile Top Scorers of all time Bali tuchague baadhi ya seasons ?

Uoni tutakuwa hatuwatendei haki kina Telmo Zarra ratio (.91) kama Messi; na Isidro Langara (1.17) au unadhani Ligi ilianza baada ya ujio wa Messi na Ronaldo ?

Yaani kama wewe hodari wa kuogelea kwenye swimming pool tuangalie wengine ambao wameogelea kwenye hio swimming pool au walioogelea mtoni ila wakaja kwenye swimming pool tuone walifanyaje kwenye hio pool ili kuona ugumu wa hio pool
 
Yani umetoka mtoni halafu ukaja kwenye swimming pool ukashindanishwa na mtu anayeogelea kwenye pool kila siku.
Tukitaka kuwalinganisha Tutalinganisha hiyo siku mlipokutana kwenye swimming nani alikuwa zaidi.
Hatutaanza kuangalia sijui jana au juzi yake yule wa pool alifanyaje.
 
Okay kama unataka kuangalia hivyo its your prelogative...

Lakini ukiangalia mechi zote La-Liga alizocheza Messi na Mechi Zote za La-Liga walizocheza wengine wote; Messi ana ratio .91 anafungana na mdau mwingine ila ni watatu yeye na huyo mdau kuna wengine wanampita..., na mmoja kati ya hao wamecheza wote....

Kwahio kama huyu kule mtoni hakufanya vizuri kama huku kwenye swimming pool arguably unaweza kusema mtoni ni pagumu kuogelea (ingawa sisemi hivyo bali ninakuonyesha ukiwa rahisi wa kuchukua stats bila upembuzi yakinifu unaweza ukapata picha ambayo haina uhalisia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…