Messi Vs Pele

Messi Vs Pele

Wewe una matatizo makubwa si haba..., Brazil alikuwa kwenye Peak kwa kuchukua vikombe ndio na wale wote ambao alikuwa anacheza nao hawakuwa vibonde, kwa nafasi zao ambao pia alikutana nao kwenye ligi za nyumbani na bado Santos kufanya mambo....

Unasema Pele hakufanya nini ? Kafuatilia 1958 alifanya nini; 62 alicheza game mbili sababu walijua kinara ni nani na katika mbili moja alifunga; kafuatilia 1966 kwanini Brazil hata haikuvuka makundi na Pele alifanywa nini ?, Kafuatilia 1970 alivyorudi alifanya nini hizo ni world cup za kufuatana..., alafu kacheki Messi amecheza World Cup ngapi na amefanya nini na hizo world cup alikuwa na kina nani (yaani benchi la argentina tu ungeweza kuzipa timu za Afrika na hata kuwakopa England strikers kadhaa) na bado chenji ikabaki kina Saviola, Tevez, De Maria; Juan Riqueleme wote ni Wa-Argentina ujue...

Tafuta historia ya Kombe la dunia 1958 na 1970 google tu wala usihofu; Maradona 1986 alifanya mambo sawa ila ilichangiwa na Games kuwa televised world wide hence watu wengi kuangalia na kwa kuwafunga England na Media zao hence more promotion.... bila kusahau Hand of God na kwamba Diego ni a Character (machachari)

Again kabla ya kujibu fanya research ni kwamba 1958 kina Pele kwanza akiwa African, na pili Bwana mdogo game mbili za mwanzo hakucheza Kocha akawa-convinced na kocha mwingine game linalofuata aanze na kina Pele (yaani hatua za makundi) Pele alivyingia game ya tatu / Sio Robo !!! Game ya Tatu akatoa pande la goli, Mechi iliyofuata akafunga only goal yaani in short bila Pele hata makundi wasingetoboa.... kwahio kwa point yako hapo juu inaonyesha hata Data hauna na ungekuwa nazo huenda tusingepotezeana muda mpaka sasa



Aisee againa fanya research alicheza mechi ya kwanza na kufunga bao na kuwa-incenerate Mexico hio ni 1962 baada ya 1958 kufanya mambo na timu walivyoona hivyo kiatu kikatembezwa mechi ya pili akaumizwa sasa asichukue kombe lile goli dhidi ya Mexico ulifunga wewe ? kuna watu wanachukua Kombe hawajafunga game hata moja au utasema De Maria asipewe medali wakati ni kazi yake nzuri ndio ilifanya Argentina mpaka half time wawe mbele ?

Rudia kufuata History 1966 Pele bado alikuwa kwenye Peak na kwa timu kujua hilo Bulgaria na Portugal walimpiga kiatu hadi akashindwa kuendelea game la pili na bila hivyo Brazil wangechukua hii ndoo tena na Pele angekuwa na ndoo nne...

Individual Brilliance ? Fuatilia what happened 1958, 1966 na 1970..., au ni wewe ndio ulikuwa kijana mdogo kuliko wote mpaka sasa kufunga bao Kombe la Dunia ? Yaani Sweden walikuwa kwao na Ubaguzi wao walishindwa hadi kuanza kumshabikia Pele ingawa ni Timu Pinzani..., Yaani hadi King akashuka na kumpa mkono..., kuwa kwake Global Brand hadi Cosmos wakambembeleza aende kutangaza Soccer; Bila yeye huenda Joao Havelenge asingekuwa Fifa President na mpaka leo Europe ingekuwa na Timu zote sisi huku mabara mengine tuna timu za kuokoteleza...

Dogo acha kuleta masihara....
Kufunga bao ukiwa mdogo ndo rekodi inayokufanya uwe GOAT? [emoji23][emoji23][emoji23]

Nimepotezea hoja zako nyingine maana nimeona hakuna hoja zaidi ya ileile ya kiatu wakati hakuna rekodi ya Pele kupigwa kiatu kuliko wengine hata kwenye mechi moja tu maana rekodi ya kupigwa kiatu anayo Maradona sasa huyo pele alichezewa rafu ngapi ndugu yangu!?
Mwaka 1970 CUBILLA alichezewa rafu nyingi zaidi ya mchezaji yeyote huyo Pele rekodi yake iko wapi kama yeye ndo unajifichia eti alipigwa viatu vingi zaidi?

Mimi nahitaji unioneshe kipi ambacho Pele anamzidi Messi la sivyo tutabaki na MESSI as a GOAT
 
Okay kama unataka kuangalia hivyo its your prelogative...

Lakini ukiangalia mechi zote La-Liga alizocheza Messi na Mechi Zote za La-Liga walizocheza wengine wote; Messi ana ratio .91 anafungana na mdau mwingine ila ni watatu yeye na huyo mdau kuna wengine wanampita..., na mmoja kati ya hao wamecheza wote....

Kwahio kama huyu kule mtoni hakufanya vizuri kama huku kwenye swimming pool arguably unaweza kusema mtoni ni pagumu kuogelea (ingawa sisemi hivyo bali ninakuonyesha ukiwa rahisi wa kuchukua stats bila upembuzi yakinifu unaweza ukapata picha ambayo haina uhalisia)
Yani mnazunguka sana washabiki wa ronaldo hadi huruma.
20221227_162554.jpg
 
Kufunga bao ukiwa mdogo ndo rekodi inayokufanya uwe GOAT? [emoji23][emoji23][emoji23]

Nimepotezea hoja zako nyingine maana nimeona hakuna hoja zaidi ya ileile ya kiatu wakati hakuna rekodi ya Pele kupigwa kiatu kuliko wengine hata kwenye mechi moja tu maana rekodi ya kupigwa kiatu anayo Maradona sasa huyo pele alichezewa rafu ngapi ndugu yangu!?
Mwaka 1970 CUBILLA alichezewa rafu nyingi zaidi ya mchezaji yeyote huyo Pele rekodi yake iko wapi kama yeye ndo unajifichia eti alipigwa viatu vingi zaidi?
Nadhani kajifunze kusoma kwanza naona nitakesha kama niliyoandika hapo juu hata huelewi.. (ila sichoki taendelea kutoa elimu, kama mimi navyojifunza sababu elimu haina mwisho; ingwa wewe naona hutaki hata kuelewa bali unatumia hoja za nguvu na sio nguvu za hoja )

Unajua kwanini Red Card na yellow zilianzishwa 1970 world cup; kabla ya hapo zilikuwa hazipo na 1962 na 1966 pele alishindwa kucheza mechi zote kwa kupigwa viatu hio sio hadithi ni ukweli usio na shaka kasome tu world cup 1966 na 1962

Maradona na hao wengine wamekuja wakati rafu zimeanza kuhesabiwa na sio refa kupeta

1966 England hata media ilikuwa haionyeshi baadhi ya mambo timu za South America zilizofanyiwa ubabe kutokana na Kufanya chini juu ili Europe ashinde.... kwahio unawezaje ukahesabu Fouls za Kabla ambazo refa alikuwa anapeta ?

Ngoja nikupe dondoo ya kilichotokea 1966

Their best player, Pelé, was kicked so much in the first game against Bulgaria (“I think every team will take care of him in the same manner,” said their coach) that he could play no part in the second, a 3-1 defeat by Hungary when Brazil had two goals disallowed, and he then spent much of the third as a virtual spectator after Portugal’s João Morais fouled him and, when he tried to get up and play on, fouled him again a bit harder. Morais was not cautioned. Brazil’s first game had been refereed by a West German, the other two by Englishmen.

Kwahio Point ya kwamba strickers wa zamani walikuwa na shida kuliko sasa sababu ya kiatu nadhani utakuwa umeikubali kwahio, kwamba zamani kina Pele ilikuwa rahisi kucheza sio kweli...
Mimi nahitaji unioneshe kipi ambacho Pele anamzidi Messi la sivyo tutabaki na MESSI as a GOAT
Kama mambo ya Stats ngoja nikupe chache ambazo mimi wala sitaki kuzitumia kama nilivyosema Football is a Game of Opinions (wala sitaki kwenda huko) ninaongelea facts:- ; Yaani mkuu hata kutokujua achievements za Pele na Alichoweza kusaidia Football kuwa a Global Most Loved Game nachelea kupata wasiwasi na ufuatiliaji wako wa Soka...
 
Mashabiki wa Ronaldo wamekimbilia kwa Pele[emoji23][emoji23].

Kitu pekee ambacho Messi alikua anakwama kwa Pele ni Worldcup tu ila kila kitu Pele kazidiwa na Messi mbali sana.

Messi ndo GOAT kwa sasa uyo pele hata Ronaldo kamkalisha
 
La Liga Pure League timu zote sawa, ligi sio kuongezea ligi za mbuzi n.k.

Naam na ungesoma Post ya mwanzo ndio maana nimeleta hii Post; Hii Post ni ya kuchuja Pumba na Mchele; yaani kupunguza kuondoa achievements za mwingine ili ku-justify mambo mengine kwahio kama mchambuzi wa Mpira uangalie vitu kwa jicho la kichambuzi

Na sio kushinda tu world cup bali umefanya nini katika hio world cup Pele was a Piooneer, Yaani Pele was among the People who Made Football the Beautiful Game Pele identified na watu masikini wa Brazil na watu Weusi dunia nzima..., What Pele achieved kwa kijana wa leo kuja kusema ligi ilikuwa ya wavuta sigara na mijamaa ambayo haina talent kwakweli ni kuleta masihara na kudharau achievements za watu....

Kwamba ligi Bora Duniani zipo Ulaya huenda hii ni kwa sasa lakini kipindi vinara wote / wengi wanacheza ligi za nyumbani logically timu bora ya kipindi hicho means zilikuwepo huko ambapo timu ya taifa ilikuwa more talented....

Na kwa ku-confirm hilo ni kwamba Santos ilishinda Kombe la Timu za Ulaya na South America mara mbili (Intercontinental Cup) pamoja na Intercontinental Supercup ambayo ilijumuisha washindi wote wa nyuma wa Intercontinental Cup na Brazil akamfunga Inter Milan nyumbani kwao Italy San Siro

Wewe unachoangalia ni uafrika sio, na sio uhalisia wenyewe!
H2625-L308263836_original.jpg

Wanaosema Pele alibebwa ni kweli alibebwa na wenzake baada ya kuona mchango wake; kuanzia kijana mdogo makaka zake wali-appreciate mchango wake, yaani pamoja kuwa na ma-born leaders kwenye timu ila wali-appreciate mchango wa Pele kwenye timu....

Tofauti na Messi ingawa ni mchezaji mzuri lakini kumfanya yeye kuwa Leader ni kosa kubwa..., Messi sio kina Roy Keane, Messi sio Grafter Messi sio Vocal huenda Argentina ingekuwa na kiongozi ambae ni vocal na kumuacha Messi acheze tu bila kumbebesha mzigo ambao hauwezi ingeshinda Kombe la dunia zaidi hata lile la 2014

Natural Born Leader kwenye Timu wasingefungwa na Saudi Arabia wala kupoteza lead mara kadhaa wakiwa wameshinda bao mbili bila... When things are falling apart you need a leader (Both in and out of pitch)
Screenshot_20221228-101348_Instagram.jpg
Screenshot_20221228-101424_Instagram.jpg
 
REST IN PEACE the Eternal KING....

The Man who helped in Promoting the Beautiful Game

Has been the Living Legend..., We Shall Never See his Like Again..., Now his Walk Has Ended....
 
IMMORTAL !!!

The Football Association will light up the Wembley arch in Brazil colours and said: "Everyone who loves football, loves Pele."

Eight-time Olympic champion in athletics Usain Bolt also paid tribute, describing Pele as "a sporting legend".

New York Cosmos - where Pele finished his club career in 1977 - said he "started a sporting revolution in America".

The Brazilian Football Confederation described him as "much more than the greatest sportsperson of all time". A statement said: "The King gave us a new Brazil and we are so thankful for his legacy."

NEYMAR
"Pele changed everything. He turned football into art, into entertainment. He gave a voice to the poor, to black people." Neymar added: "Mainly: he gave visibility to Brazil. Football and Brazil raised their status thanks to the King! He is gone, but his magic will remain."

Kylian Mbappe also described Pele as "the king of football", adding "his legacy will never be forgotten".

Cristiano Ronaldo said: "A mere goodbye to the eternal King Pele will never be enough to express the pain that is enveloping the whole of the football world right now.

Brazil striker Ronaldo said: "Unique. Genius. Technical. Creative. Perfect. Unequaled. Where Pele has gone, he has stayed. Never having left the top, he leaves us today. The king of football - one and only. The greatest of all time."

President of the United States Joe Biden said: "For a sport that brings the world together like no other, Pele's rise from humble beginnings to soccer legend is a story of what is possible."

Brazil president Jair Bolsonaro said: "Sorrow for the passing of a man who through football took the name of Brazil to the world. He turned football into art and joy."

And president-elect Luiz Inacio Lula da Silva said: "I had the privilege that younger Brazilians didn't have: I saw Pele play, live, at Pacaembu and Morumbi. Play, no. I saw Pele give a show. Because when he got the ball he always did something special, which often ended up in a goal."

President of football's world governing body Fifa Gianni Infantino said he was "heartbroken" on "a truly tragic day for football" and described Pele as "the athlete of the century". He added: "He had a magnetic presence and, when you were with him, the rest of the world stopped. Today, the whole world mourns the loss of Pele; the greatest footballer of all time."

Richarlison, one of several current Brazil players who paid tribute, described Pele as football's "most beautiful chapter" and said he "changed the history of the game forever". Richarlison continued: "You will always be the greatest because 60 years ago, with all the difficulties you faced, you did what only a few have managed to do today."

England's World Cup winner Sir Geoff Hurst said Pele was "without doubt the best football I ever played against", adding: "I was proud to be on the pitch with him."

Fellow 1966 champion Sir Bobby Charlton hailed Pele as "a truly magical footballer and a wonderful human being".

Pele's former club Santos posted a picture of a crown with the word "eternal".

Pele's 1958 and 1962 World Cup-winning team-mate Mario Zagallo said: "My friend of so many victories, titles and shared stories. He leaves an eternal, unforgettable legacy."

Former England striker Gary Lineker said Pele will "always have footballing immortality" as "the most divine of footballers and joyous of men".

Ex-Brazil defender and World Cup winner Cafu said: "Pele dies, this news is not accurate ... Pele will never die. Pele will never leave us. Pele will never cease to exist. Pele is eternal, Pele is King, Pele is unique... he just went to rest a little bit."
FlKthAZXkAI4yDz
 
REST IN PEACE the Eternal KING....

The Man who helped in Promoting the Beautiful Game

Has been the Living Legend..., We Shall Never See his Like Again..., Now his Walk Has Ended....

Messi ndie the G.O.A.T
 
Messi ni mchezaji bora kuliko wote hata pele mwenyewe

Pele alikuwa bora kwenye ufungaji tu tena mpira wa zamani haukuwa na offside

Messi anavyo vyote
Acha ujinga wewe kimafanikio tu mesi hamkuti Pele jamaa kaiwezesha Brazil kuchukua kombe la Dunia mara 3 Tena kombe la kwanza amechukua akiwa na umri mdogo Zaid miaka 17 tu pale Sweden 1958 afu unasema huyo mesi wako ni Bora acha ujinga
 
Pele anabaki kushindana na Maradona japo Pele anabaki kuwa mkali wa muda wote.
Mess anabaki kushindana na CR7 wao Wana daraja lao ila Zidane na Gaucho awa nawaweka kwenye daraja lao peke Yao,
Wao Si tu walikua wakicheza mpira ila waliufanya mpira kuwa Sanaa ya ajabu kabisa.
Mkuu nakubaliana nawe umeongea kisoka zaid
 
EVEN THE PRESIDENTS APPRECIATE THE KING..... (Who am I to Say Otherwise....)

US President Joe Biden
paid tribute to the late footballing great, tweeting: "For a sport that brings the world together like no other, Pele's rise from humble beginnings to soccer legend is a story of what is possible."

Brazil president Jair Bolsonaro said: "Sorrow for the passing of a man who through football took the name of Brazil to the world. He turned football into art and joy."

Former US president Barack Obama said Pele was "one of the greatest to ever play the beautiful game", adding: "And as one of the most recognizable athletes in the world, he understood the power of sports to bring people together."

Italian prime minister Giorgia Meloni said Pele "left a mark even on the generations who weren't lucky enough to see him play".

And president-elect Luiz Inacio Lula da Silva said: "I had the privilege that younger Brazilians didn't have: I saw Pele play, live, at Pacaembu and Morumbi. Play, no. I saw Pele give a show. Because when he got the ball he always did something special, which often ended up in a goal."
 

'The greatest of all time' - Ronaldo​

View attachment 2463254

Former World Cup-winning Brazil striker Ronaldo said: "Unique. Genius. Technical. Creative. Perfect. Unequalled.

"Where Pele has gone, he has stayed. Never having left the top, he leaves us today.

"The king of football - one and only. The greatest of all time.

"What a privilege to come after you, my friend. Your talent is a school every player should go through.

"His legacy transcends generations. And that's how you'll live on. Today and always, we will celebrate you. Thank you, Pele. Rest in peace."
 
Hollywood actor Will Smith led tributes from the world of entertainment, saying Pele was "the greatest to ever do it" adding "Rest in peace King Pele".

Entrepreneur Richard Branson said on Twitter Pele was the "original GOAT, and an inspiration to generations of football players and fans".

Former England striker Sir Geoff Hurst tweeted to say he has "so many memories of Pele" who he said is "without doubt the best footballer I ever played against. "For me Pele remains the greatest of all time and I was proud to be on the pitch with him. RIP Pele and thank you."

Fellow former England player Alan Mullery - who played against Pele three times including the 1970 World Cup - called him the "greatest of the greatest".
 
The UN education and culture organisation which champions the power of sport across the world, UNESCO, tweeted that it was “deeply saddened” at his passing, and extended condolences to the Brazilian people, and the wider “football family”.
 
Back
Top Bottom