Messi Vs Pele

Messi Vs Pele

Yani hata article uliyoweka inakuumbua, inasema having a cheeky puff...yani mchezaji kupiga pafu moja tena wakionekana ni msala kwa manager article imesema hivyo.
Sasa kuonja tu, Bekham unakuta alishapiga pafu 3 maisha yake yote.
Kwahio hao wote 20 walikuwa wana-have a cheeky puff ? By the way hindrance ya uvutaji ni ipi ? Kama inapunguza longevity ya career na mtu kuchoka / kukosa pumzi baadae huoni kwamba hao wavuta sigara wasingevuta sigara career yao ingekuwa ndefu kuliko sasa ?

Pili defenders wasiopanda (kwao kasi haukuwa kigezo) kigezo cha defender ilikuwa ni kupiga kiatu na nguvu sasa hii inapunguzwa vipi na uvutaji
Kipindi kile watu walikuwa wanamaliza pakti nzima kabla na baada ya mechi.
Kwahio ? ni kwamba hasara walipata kwa career zao kuwa fupi tofauti na wasingefanya hivyo ila wakati wapo kwenye peak walikuwa kwenye peak.. Hivi ukiambiwa beki wa kukukaba awe mvuta sigara anayeruhusiwa kupiga kiatu au mnywa dawa za nutrition asiyeruhusiwa kukugusa...
Unaongelea Doping, Haujui huwa wanapimwa na anaweza kufungiwa akigundulika?? Mbona unakuwa ka ma litoto sasa na hoja za kitoto?
Duh hivi unadhani Football ina-kuwa tested kwenye doping kama michezo mingine ?, Hivi unajua Diego alibambwa kwa bahati mbaya kwa kutumia banned substance (achana na coccaine) hivi unajua hata Pep alishashikwa na kupewa Ban ya miezi michache.., hivi unajua hizi timu zote zina medical experts ambao wanajua nini kinapimwa na ni vipi kinafichwa... Na hata wakishikwa ni slap on the wrist kuepuka scandal...

Ni kwamba kuna pressure sasa hivi ya hawa madogo ku-perform kwahio kuna mchanyato wanapewa na madaktari wao ambapo mingine ni shida kuwa detected au ikiwa detected inafanana na aina nyingine..., kuna wachezaji walikuwa Italy na symptoms zao kuonesha huenda doping ilikuwa inafanyika ila ndio hivyo proof ni ngumu kupatikana na wala Vilabu hivi havina motisha kuondoa hili suala...

Pele alicheza mwenyewe uwanjani kipindi wanachukua Kombe? Kina Garrincha wanaibeba timu Pele yuko injured huko leo ndo sifa zote kwa pele?
Kina Garrincha walishinda 62 unajua goli dhidi ya Mexico mechi ya kwanza alifunga nani ? 1958 unajua kinara alikuwa nani ? na 1970 je ?, Unajua 1966 kwanini Pele alikuwa targeted kwa buti au 62 kwanini Pele ndio alikuwa target na sio Garrincha ?

Kwahio Messi hii WorldCup kashinda peke yake ? Yeye ndio alizuia Penalty ? na yule aliyekosa Penalty ni Pacha wake.., 2014 Fainali nyingine ambayo walishindwa kushinda aliyekosa bao la wazi ni nani ? Yaani ni kama nahodha anashindwa kuwavusha wenzake wakati pele ili wenzake wasivuke wanahakikisha hapiti / hawezi kuendelea....

Tuongelee individual analysis ya mchezaji, Pele anamzidi nini Messi??
Individual Analysis; Kupiga Vichwa; Clinical; Strength... hizo ni by far nyingine sio kwamba alikuwa hana..., by the way wakati Pele anafunga akiwa kijana mdogo miaka 17 wenzake ndio walimbeba mgongoni na kumuangusha pale njiani ili afunge ?

Kumbuka mechi mbili za kwanza hakucheza ya tatu kacheza kafanya assist ya nne kacheza kafunga only goal.... (Pele was always there when called upon in big games) tofauti na Messi sometimes like a tortoise in big games anaingia kwenye shell

In that year’s Cup, Pelé did not make an appearance until Brazil’s third group play match against the Soviet Union, in which he set up a goal for Vava. His first goal came in the quarterfinal against Wales; it was the only goal Brazil scored in a 1-0 win. It was in the semifinal against France, though, that Pelé truly came into his own. As the crowd at Rasunda Stadium listened to the Sweden-West Germany game on their radios, Pelé put on a show of offensive brilliance against the second best team in the tournament. He scored three goals from his left side, and left the French team dumbfounded at their inability to contain a 17 year old. Pelé and Vava scored two goals each in the final. Upon receiving the Jules Rimet Cup as the best team in the world, the entire team wept.
 
Wewe ndo uliyeanzisha mambo ya pace apa ukaanza kumsifia ronaldo wako ana pace kubwa kama kisinda.
Ndio maana nikasema kama hata kusoma hamjui bora tuache soma kwanza kabla haujacomment..., Hivi sio wewe uliosema mambo ya Pace hapa au naongea na watu tofauti wenye majina kama yako... yaani huyu hapa chini sio wewe ?

Wewe ni shabiki wa ronaldo acha ubishi...mtu akisoma between the lines hata hufichi huo ushabiki wako.

Ronaldo anamzidi messi magoli ya vichwa lakini pace na ufungaji hamfikii messi maana messi ana pace kubwa na ana ratio kubwa ya magoli kwa mechi alizocheza.
Mwakani tu hapa Messi anamzidi Ronaldo idadi ya magoli.

Em wewe tuambie sasa...Huyo Pele anamzidi nini Messi???
Dah ila mahaba ni kitu cha kijinga sana...
Sawa umeamua kukomaa na spain ili Ronaldo wako ashinde, Sasa twende ndani zaidi Tusiangalie UEFA tuangalie Laliga na makombe mengine ya spain kwa kipindi Ronaldo yupo spainView attachment 2459838View attachment 2459839View attachment 2459840

Utaona hapo kwa spain Messi alimzidi kila kitu Ronaldo, Magoli na Assist.
Ronaldo alimzidi kwenye UEFA ndio maana overral ikaonekana kipindi hiko Ronaldo alimzidi messi goals ratio
View attachment 2459842

Sasa kama tukiamua kuzihesabu na za UEFA Ambazo walikutana na timu za England, Germany, Italy nk. basi tuhesabu overall ya career zao zote. Bila kujali walikuwa timu gani.
Tutafikia hapa
Sasa kwa kukusaidia tu ni rahisi sana ili tuachane na vipimo vya kwenye Cup Competition au Ligi tofauti twende kwenye ligi moja ambayo wote walicheza kwa wakati mmoja (ndio maana nikachagua Spain)..., Sababu huenda watu wakasema defence za Italy na England ni Kali kuliko Spain; kwahio like for like ligi moja defence moja Ratio ipo vipi ?

Kwahio kwa mantiki yako na logic yako ya kuhesabu kila kitu no matter wapi na position ya kucheza huoni kwamba Ronaldo anamzidi Messi Magoli ? au tunachagua stats za kuchagua na wapi pa kuchagua bila kufuata logic ?
 
Hawa watu hawajui kwamba hawa ma-star wengi na pesa zao lukuki na kukosa kazi za kufanya wengi ku-abuse substances sio jambo la ajabu...

Ila tukija uwanjani hata hivyo Messi anatumia muda wake mwingi akiwa uwanjani huku anatembea tembea tofauti na watu ambao ni ma-grafter yaani wana-put a shift mbele wapo nyuma wapo wanapiga tackles za kufa mtu.., ndio maana kama haujengi Timu kuwazunguka hawa Ma-Star (especially wa sasa) Kin Ronaldo na Messi wanakuwa mzigo ambao wanahitaji kubebwa
Ndo ulipoonekana uongo wako, Strikers wa zamani walikuwa wanakaa na mabeki hukohuko waliko mabeki sasa iweje tena useme walikuwa wanahangaika kufanya kazi nyingine kama tackling na kazi nyingine za middles? Wewe ni kaongo kabisa [emoji23]

Sasa unasema Messi anaongoza kwa kutembea sawa , ila ndo anaongoza kwa asist na magoli ataongoza tu dunia nzima sasa hao wanaokimbia sana wana faida ipi?
 
Yani hata article uliyoweka inakuumbua, inasema having a cheeky puff...yani mchezaji kupiga pafu moja tena wakionekana ni msala kwa manager article imesema hivyo.
Sasa kuonja tu, Bekham unakuta alishapiga pafu 3 maisha yake yote.

Kipindi kile watu walikuwa wanamaliza pakti nzima kabla na baada ya mechi.

Unaongelea Doping, Haujui huwa wanapimwa na anaweza kufungiwa akigundulika?? Mbona unakuwa ka ma litoto sasa na hoja za kitoto?

Pele alicheza mwenyewe uwanjani kipindi wanachukua Kombe? Kina Garrincha wanaibeba timu Pele yuko injured huko leo ndo sifa zote kwa pele?

Tuongelee individual analysis ya mchezaji, Pele anamzidi nini Messi??
Huyu jamaa mada ishamshinda , hoja zake zote ni mfu
 
Kwahio hao wote 20 walikuwa wana-have a cheeky puff ? By the way hindrance ya uvutaji ni ipi ? Kama inapunguza longevity ya career na mtu kuchoka / kukosa pumzi baadae huoni kwamba hao wavuta sigara wasingevuta sigara career yao ingekuwa ndefu kuliko sasa ?

Pili defenders wasiopanda (kwao kasi haukuwa kigezo) kigezo cha defender ilikuwa ni kupiga kiatu na nguvu sasa hii inapunguzwa vipi na uvutaji

Kwahio ? ni kwamba hasara walipata kwa career zao kuwa fupi tofauti na wasingefanya hivyo ila wakati wapo kwenye peak walikuwa kwenye peak.. Hivi ukiambiwa beki wa kukukaba awe mvuta sigara anayeruhusiwa kupiga kiatu au mnywa dawa za nutrition asiyeruhusiwa kukugusa...

Duh hivi unadhani Football ina-kuwa tested kwenye doping kama michezo mingine ?, Hivi unajua Diego alibambwa kwa bahati mbaya kwa kutumia banned substance (achana na coccaine) hivi unajua hata Pep alishashikwa na kupewa Ban ya miezi michache.., hivi unajua hizi timu zote zina medical experts ambao wanajua nini kinapimwa na ni vipi kinafichwa... Na hata wakishikwa ni slap on the wrist kuepuka scandal...

Ni kwamba kuna pressure sasa hivi ya hawa madogo ku-perform kwahio kuna mchanyato wanapewa na madaktari wao ambapo mingine ni shida kuwa detected au ikiwa detected inafanana na aina nyingine..., kuna wachezaji walikuwa Italy na symptoms zao kuonesha huenda doping ilikuwa inafanyika ila ndio hivyo proof ni ngumu kupatikana na wala Vilabu hivi havina motisha kuondoa hili suala...

Kina Garrincha walishinda 62 unajua goli dhidi ya Mexico mechi ya kwanza alifunga nani ? 1958 unajua kinara alikuwa nani ? na 1970 je ?, Unajua 1966 kwanini Pele alikuwa targeted kwa buti au 62 kwanini Pele ndio alikuwa target na sio Garrincha ?

Kwahio Messi hii WorldCup kashinda peke yake ? Yeye ndio alizuia Penalty ? na yule aliyekosa Penalty ni Pacha wake.., 2014 Fainali nyingine ambayo walishindwa kushinda aliyekosa bao la wazi ni nani ? Yaani ni kama nahodha anashindwa kuwavusha wenzake wakati pele ili wenzake wasivuke wanahakikisha hapiti / hawezi kuendelea....

Individual Analysis; Kupiga Vichwa; Clinical; Strength... hizo ni by far nyingine sio kwamba alikuwa hana..., by the way wakati Pele anafunga akiwa kijana mdogo miaka 17 wenzake ndio walimbeba mgongoni na kumuangusha pale njiani ili afunge ?

Kumbuka mechi mbili za kwanza hakucheza ya tatu kacheza kafanya assist ya nne kacheza kafunga only goal.... (Pele was always there when called upon in big games) tofauti na Messi sometimes like a tortoise in big games anaingia kwenye shell

In that year’s Cup, Pelé did not make an appearance until Brazil’s third group play match against the Soviet Union, in which he set up a goal for Vava. His first goal came in the quarterfinal against Wales; it was the only goal Brazil scored in a 1-0 win. It was in the semifinal against France, though, that Pelé truly came into his own. As the crowd at Rasunda Stadium listened to the Sweden-West Germany game on their radios, Pelé put on a show of offensive brilliance against the second best team in the tournament. He scored three goals from his left side, and left the French team dumbfounded at their inability to contain a 17 year old. Pelé and Vava scored two goals each in the final. Upon receiving the Jules Rimet Cup as the best team in the world, the entire team wept.
[emoji23][emoji23]
How many times Messi kascore magoli muhimu kwa taifa lake? Unaikumbuka Bolivia?
 
Ndio maana nikasema kama hata kusoma hamjui bora tuache soma kwanza kabla haujacomment..., Hivi sio wewe uliosema mambo ya Pace hapa au naongea na watu tofauti wenye majina kama yako... yaani huyu hapa chini sio wewe ?

Sasa kwa kukusaidia tu ni rahisi sana ili tuachane na vipimo vya kwenye Cup Competition au Ligi tofauti twende kwenye ligi moja ambayo wote walicheza kwa wakati mmoja (ndio maana nikachagua Spain)..., Sababu huenda watu wakasema defence za Italy na England ni Kali kuliko Spain; kwahio like for like ligi moja defence moja Ratio ipo vipi ?

Kwahio kwa mantiki yako na logic yako ya kuhesabu kila kitu no matter wapi na position ya kucheza huoni kwamba Ronaldo anamzidi Messi Magoli ? au tunachagua stats za kuchagua na wapi pa kuchagua bila kufuata logic ?
Hoja ya defence za ligi moja sio hoja ya msingi sana tunamtazama mchezaji overall maana Messi ana rekodi ya kuzifunga magoli mengi zaidi timu kutoka uingereza hukohuko alikokuwa Ronaldo kwa hiyo hoja ya mabeki waliomkaba huyu au yule inakufa yenyewe tu.

Mfano , Messi amewahi kuifunga Liverpool,Arsenal,Man City tena goli nyingi tu
 
Wewe ndo uliyeanzisha mambo ya pace apa ukaanza kumsifia ronaldo wako ana pace kubwa kama kisinda.

Dah ila mahaba ni kitu cha kijinga sana...
Sawa umeamua kukomaa na spain ili Ronaldo wako ashinde, Sasa twende ndani zaidi Tusiangalie UEFA tuangalie Laliga na makombe mengine ya spain kwa kipindi Ronaldo yupo spainView attachment 2459838View attachment 2459839View attachment 2459840

Utaona hapo kwa spain Messi alimzidi kila kitu Ronaldo, Magoli na Assist.
Ronaldo alimzidi kwenye UEFA ndio maana overral ikaonekana kipindi hiko Ronaldo alimzidi messi goals ratio
View attachment 2459842

Sasa kama tukiamua kuzihesabu na za UEFA Ambazo walikutana na timu za England, Germany, Italy nk. basi tuhesabu overall ya career zao zote. Bila kujali walikuwa timu gani.
Tutafikia hapaView attachment 2459848
Umemmaliza kwa nondo hizo
 
Ndio maana nikasema kama hata kusoma hamjui bora tuache soma kwanza kabla haujacomment..., Hivi sio wewe uliosema mambo ya Pace hapa au naongea na watu tofauti wenye majina kama yako... yaani huyu hapa chini sio wewe ?

Sasa kwa kukusaidia tu ni rahisi sana ili tuachane na vipimo vya kwenye Cup Competition au Ligi tofauti twende kwenye ligi moja ambayo wote walicheza kwa wakati mmoja (ndio maana nikachagua Spain)..., Sababu huenda watu wakasema defence za Italy na England ni Kali kuliko Spain; kwahio like for like ligi moja defence moja Ratio ipo vipi ?

Kwahio kwa mantiki yako na logic yako ya kuhesabu kila kitu no matter wapi na position ya kucheza huoni kwamba Ronaldo anamzidi Messi Magoli ? au tunachagua stats za kuchagua na wapi pa kuchagua bila kufuata logic ?
Uzuri ni kwamba wasomaji hoja tunaziona na mpayukaji tunamuona

Mtu hata kumbukumbu ya dakika mbili zilizopita tena kwenye vitu alivyoiandika mwenyewe tu hana.

Halafu mtu huyo anataka kuonesha ujuvi kujadili mambo ya miaka ya 1950s tena kwa kujifanya mkosoaji critically, inashangaza kiukweli.
 
Ndo ulipoonekana uongo wako, Strikers wa zamani walikuwa wanakaa na mabeki hukohuko waliko mabeki sasa iweje tena useme walikuwa wanahangaika kufanya kazi nyingine kama tackling na kazi nyingine za middles? Wewe ni kaongo kabisa [emoji23]
Aisee hivi mimi ndio sieleweki au wewe ndio huelewi...

Mabeki wa zamani hususan wing back walikuwa hawapandi ni either wapo nyuma wanakusubiri uje wakukabidhi kiatu au mmoja anafanya man to man marking ya kuhakikisha anakupa majeraha..., mabeki wa pembeni wewe kama ni winger tackles zilikuwa ruksa yaani ukija kwenye chaki ni wewe na mpira mnafyekwa... labda uruke vihunzi kwahio kwa forward ilikuwa kazi ngumu.....

mabeki wa sasa wanaopanda kama attackers wakijisahau kwenda mbele wanaacha gaps nyuma hence kazi rahisi kwa forward Mtu kama David Luiz mzuri kwenye attacking ila mbovu kwenye defending ndio alisababisha German imfunge Brazil 7; Zamani defender knew their jobs and that was defending....
Sasa unasema Messi anaongoza kwa kutembea sawa , ila ndo anaongoza kwa asist na magoli ataongoza tu dunia nzima sasa hao wanaokimbia sana wana faida ipi?
Moja kipindi cha kina Pele kulikuwa hakuna opta index ya kujua assists zote na hizo chache zinazopatikana ni kwa kurudi nyuma na kuchagua nyingi hazikuwa documented unasema wanaokimbia wana faida ipi ? unadhani bila watu kuzunguka na kupiga tackles za hapa na pale na kuweka extra shift kina prima donnas watapata muda wa kufanya kazi zao...

Unaongelea mbio ? mtu mwenye pace akiwa kwenye timu yako anafanya defense iwe makini sababu kwa mpira wa sasa wa marginally onside tofauti na zamani akikuacha bega tu ni safari hio talent pekee ya mbio ndio iliwapatia mkate wao wa kila siku kina Michael Owen...
 
Hoja ya defence za ligi moja sio hoja ya msingi sana tunamtazama mchezaji overall maana Messi ana rekodi ya kuzifunga magoli mengi zaidi timu kutoka uingereza hukohuko alikokuwa Ronaldo kwa hiyo hoja ya mabeki waliomkaba huyu au yule inakufa yenyewe tu.

Mfano , Messi amewahi kuifunga Liverpool,Arsenal,Man City tena goli nyingi tu
Duh kwahio Hoja ya Ligi na defense na like for like inakuja kwa suala la Messi tu..., sio nyie mliosema kwamba Pele hakucheza ulaya alicheza mchangani ?

Hivi unajua Pele alizifunga Timu za ulaya na makombe ya Ulaya na South America kuchukua ? Hivi unajua tukichukua mechi za Pele overall ana goli zaidi ya elfu moja ?

Hivi unajua kwenye early 60's mpaka 70's Brazil ndio ilikuwa katika peak na kipindi hicho wachezaji ma-star wote wanacheza kwao ? au wewe unataka kuchukua stats zipi ?

Like for like wote walipocheza ni world cup na mmoja kacheza worldcup nne mbili kati ya hizo kacheza mechi mbili na mojawapo alianza mkeka na amechukua makombe matatu mwingine ni mmoja kati ya wanaoongoza kucheza kombe la dunia na amefika fainali mara mbili (ila ana kombe moja na katika safari ya kuchukua kombe walifungwa na moja kati ya timu mbovu kwenye mashindano husika, na kupoteza lead katika mechi zaidi ya tatu) haya niambie nani ana impact ?
 
Ndio maana nikasema kama hata kusoma hamjui bora tuache soma kwanza kabla haujacomment..., Hivi sio wewe uliosema mambo ya Pace hapa au naongea na watu tofauti wenye majina kama yako... yaani huyu hapa chini sio wewe ?
Mzee wewe ndio ulianza kuongelea mambo ya pace...
Mimi sio Mshabiki wa mtu ni shabiki wa mpira kwahio nina appreaciate talent..., ila like for like Messi anamshinda Ronaldo kwa Chenga, lakini suala la kufunga, pace, nguvu header ability hamfikii hata kidogo
..Haya em sasa tuipotezee hiyo hoja mfu
Sasa kwa kukusaidia tu ni rahisi sana ili tuachane na vipimo vya kwenye Cup Competition au Ligi tofauti twende kwenye ligi moja ambayo wote walicheza kwa wakati mmoja (ndio maana nikachagua Spain)..., Sababu huenda watu wakasema defence za Italy na England ni Kali kuliko Spain; kwahio like for like ligi moja defence moja Ratio ipo vipi ?

Kwahio kwa mantiki yako na logic yako ya kuhesabu kila kitu no matter wapi na position ya kucheza huoni kwamba Ronaldo anamzidi Messi Magoli ? au tunachagua stats za kuchagua na wapi pa kuchagua bila kufuata logic ?
Nimekuonesha kabisa Tukiachagua Ligi mfano Laliga, Callabao, Messi anamzidi Ronaldo kwenye ratio ya magoli na mechi walizocheza
Screenshot_20221227_132005.jpg

Keep in mind hatuangalii idadi ya magoli, tunaangalia ratio ya magoli na mechi.
Kipindi yupo spain Ronaldo kamzidi Messi ratio kwenye UEFA tu.
Ndo nkasema kama tunahesabu na ratio ya UEFA ambayo amecheza na timu za england, italy nk. Kwann tusiangalie overral ratio kwenye career yao??

Hata ukisema tuhesabu kila kitu bado Messi anamzidi Ronaldo ratio ya magoli. Hapo Huelewi wapi nikusaidie??

ila hili swala la magoli ambalo ronaldo anamzidi Messi magoli 20 na kamzidi mechi 143
Mwakani hii debate ya magoli tunaifunga rasmi
20221227_162554.jpg
 
Uzuri ni kwamba wasomaji hoja tunaziona na mpayukaji tunamuona

Mtu hata kumbukumbu ya dakika mbili zilizopita tena kwenye vitu alivyoiandika mwenyewe tu hana.

Halafu mtu huyo anataka kuonesha ujuvi kujadili mambo ya miaka ya 1950s tena kwa kujifanya mkosoaji critically, inashangaza kiukweli.
Huu ndo ubishi maandazi sasa...mtu anaandika pumba halafu mnasapotiana na kujazana vichwa
 
Wapi?? Aliyeanza story za pace ni yeye post namba 317.
Tafuta post yangu kabla ya hiyo nmeongelea pace.
Ukipata najiban, situmii tena hii ID
Hoja ya pace ilianzia mbali nimeona post ya 159 akimjibu member aitwae slowly humo ndio alipoanzia kuongelea pace

Pengine ni mjadala ambao uliuingilia kati na sio mjadala ulioanza naye from the begin
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Aisee hivi mimi ndio sieleweki au wewe ndio huelewi...

Mabeki wa zamani hususan wing back walikuwa hawapandi ni either wapo nyuma wanakusubiri uje wakukabidhi kiatu au mmoja anafanya man to man marking ya kuhakikisha anakupa majeraha..., mabeki wa pembeni wewe kama ni winger tackles zilikuwa ruksa yaani ukija kwenye chaki ni wewe na mpira mnafyekwa... labda uruke vihunzi kwahio kwa forward ilikuwa kazi ngumu.....

mabeki wa sasa wanaopanda kama attackers wakijisahau kwenda mbele wanaacha gaps nyuma hence kazi rahisi kwa forward Mtu kama David Luiz mzuri kwenye attacking ila mbovu kwenye defending ndio alisababisha German imfunge Brazil 7; Zamani defender knew their jobs and that was defending....

Moja kipindi cha kina Pele kulikuwa hakuna opta index ya kujua assists zote na hizo chache zinazopatikana ni kwa kurudi nyuma na kuchagua nyingi hazikuwa documented unasema wanaokimbia wana faida ipi ? unadhani bila watu kuzunguka na kupiga tackles za hapa na pale na kuweka extra shift kina prima donnas watapata muda wa kufanya kazi zao...

Unaongelea mbio ? mtu mwenye pace akiwa kwenye timu yako anafanya defense iwe makini sababu kwa mpira wa sasa wa marginally onside tofauti na zamani akikuacha bega tu ni safari hio talent pekee ya mbio ndio iliwapatia mkate wao wa kila siku kina Michael Owen...
Kwa hiyo faida ya pace ni kuogopwa na wapinzani wakishakuogopa tu tayari point 3 unazo kibindoni! Huu mpira unaujua kweli? Mtu anayescore ndiye anatakiwa ndani ya timu nje ya hapo awe anaasist kama ana mbio tu basi hawezi kuwa muhimu kuliko Messi.
Punguza mahaba kwa Pele yanakupofusha
 
Back
Top Bottom