Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #361
Kwahio hao wote 20 walikuwa wana-have a cheeky puff ? By the way hindrance ya uvutaji ni ipi ? Kama inapunguza longevity ya career na mtu kuchoka / kukosa pumzi baadae huoni kwamba hao wavuta sigara wasingevuta sigara career yao ingekuwa ndefu kuliko sasa ?Yani hata article uliyoweka inakuumbua, inasema having a cheeky puff...yani mchezaji kupiga pafu moja tena wakionekana ni msala kwa manager article imesema hivyo.
Sasa kuonja tu, Bekham unakuta alishapiga pafu 3 maisha yake yote.
Pili defenders wasiopanda (kwao kasi haukuwa kigezo) kigezo cha defender ilikuwa ni kupiga kiatu na nguvu sasa hii inapunguzwa vipi na uvutaji
Kwahio ? ni kwamba hasara walipata kwa career zao kuwa fupi tofauti na wasingefanya hivyo ila wakati wapo kwenye peak walikuwa kwenye peak.. Hivi ukiambiwa beki wa kukukaba awe mvuta sigara anayeruhusiwa kupiga kiatu au mnywa dawa za nutrition asiyeruhusiwa kukugusa...Kipindi kile watu walikuwa wanamaliza pakti nzima kabla na baada ya mechi.
Duh hivi unadhani Football ina-kuwa tested kwenye doping kama michezo mingine ?, Hivi unajua Diego alibambwa kwa bahati mbaya kwa kutumia banned substance (achana na coccaine) hivi unajua hata Pep alishashikwa na kupewa Ban ya miezi michache.., hivi unajua hizi timu zote zina medical experts ambao wanajua nini kinapimwa na ni vipi kinafichwa... Na hata wakishikwa ni slap on the wrist kuepuka scandal...Unaongelea Doping, Haujui huwa wanapimwa na anaweza kufungiwa akigundulika?? Mbona unakuwa ka ma litoto sasa na hoja za kitoto?
Ni kwamba kuna pressure sasa hivi ya hawa madogo ku-perform kwahio kuna mchanyato wanapewa na madaktari wao ambapo mingine ni shida kuwa detected au ikiwa detected inafanana na aina nyingine..., kuna wachezaji walikuwa Italy na symptoms zao kuonesha huenda doping ilikuwa inafanyika ila ndio hivyo proof ni ngumu kupatikana na wala Vilabu hivi havina motisha kuondoa hili suala...
Kina Garrincha walishinda 62 unajua goli dhidi ya Mexico mechi ya kwanza alifunga nani ? 1958 unajua kinara alikuwa nani ? na 1970 je ?, Unajua 1966 kwanini Pele alikuwa targeted kwa buti au 62 kwanini Pele ndio alikuwa target na sio Garrincha ?Pele alicheza mwenyewe uwanjani kipindi wanachukua Kombe? Kina Garrincha wanaibeba timu Pele yuko injured huko leo ndo sifa zote kwa pele?
Kwahio Messi hii WorldCup kashinda peke yake ? Yeye ndio alizuia Penalty ? na yule aliyekosa Penalty ni Pacha wake.., 2014 Fainali nyingine ambayo walishindwa kushinda aliyekosa bao la wazi ni nani ? Yaani ni kama nahodha anashindwa kuwavusha wenzake wakati pele ili wenzake wasivuke wanahakikisha hapiti / hawezi kuendelea....
Individual Analysis; Kupiga Vichwa; Clinical; Strength... hizo ni by far nyingine sio kwamba alikuwa hana..., by the way wakati Pele anafunga akiwa kijana mdogo miaka 17 wenzake ndio walimbeba mgongoni na kumuangusha pale njiani ili afunge ?Tuongelee individual analysis ya mchezaji, Pele anamzidi nini Messi??
Kumbuka mechi mbili za kwanza hakucheza ya tatu kacheza kafanya assist ya nne kacheza kafunga only goal.... (Pele was always there when called upon in big games) tofauti na Messi sometimes like a tortoise in big games anaingia kwenye shell
In that year’s Cup, Pelé did not make an appearance until Brazil’s third group play match against the Soviet Union, in which he set up a goal for Vava. His first goal came in the quarterfinal against Wales; it was the only goal Brazil scored in a 1-0 win. It was in the semifinal against France, though, that Pelé truly came into his own. As the crowd at Rasunda Stadium listened to the Sweden-West Germany game on their radios, Pelé put on a show of offensive brilliance against the second best team in the tournament. He scored three goals from his left side, and left the French team dumbfounded at their inability to contain a 17 year old. Pelé and Vava scored two goals each in the final. Upon receiving the Jules Rimet Cup as the best team in the world, the entire team wept.