Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafuatisha kauli za Halaand mtoto wa juzi huyu?Wajinga wasiojua hata danadana ndio wanaosumbua kwasababu wana vipaji vya midomo
View attachment 2463408
Pep GuardiolaUnafuatisha kauli za Halaand mtoto wa juzi huyu?
Hebu angalia kauli ya kocha anaemfundisha Haaland.View attachment 2463600
Huyo alisema hivyo kwasababu alikuwa na lengo la kumkopa hela MessiUnafuatisha kauli za Halaand mtoto wa juzi huyu?
Hebu angalia kauli ya kocha anaemfundisha Haaland.View attachment 2463600
By the way watu wanashindwa kuelewa jambo dogo sana kuna kitu sentimental mtu uliyekuwa nae au umekuwa ukimuona au umemuona live ukiwa unaishi na kusikia anaongelewa wakati upo kunaongeza attachment yako kwake... (ndio kina Pep na Messi au kizazi cha 80's na Maradona)Huyo alisema hivyo kwasababu alikuwa na lengo la kumkopa hela Messi
Sipingi ulichokiandika. Kwangu mimi Messi ndie GOAT, the best according to individual brilliance and achievements.Pep Guardiola
Managers have also paid respect, with Manchester City boss Pep Guardiola saying Pele made football "a better place" for his ability to give people an emotional connection to the sport.
"There's not another show or event that can produce this type of emotion. It's part of what these exceptional players do," Guardiola explained.
"Football is football thanks to these types of people, players, human beings. Before, the number 10 was just a number and after him it became something special. Every top player wanted to wear number 10 in their team.
"What he has done for football is there and always will remain."
.................................................-Huyo Halland mtoto wa Juzi na wengine wengi wamepata inspiration ya kufanya wanachofanya kwa sababu ya Mtu kama Pele....
Labda Mshabiki wa Netball au Mipasho au Taarabu ndio atakuwa hajui Mchango wa Pele kwenye Soccer.....
Edson is Dead but Pele (The King) will live forever... The guy transcended football
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huyo alisema hivyo kwasababu alikuwa na lengo la kumkopa hela Messi
Messi can Dribble - sio kwamba Pele hawezi ila hayo mambo alikuwa anafanya sana ila walikuwepo kina Garrincha ambao wanakufuata ili tu wakupige chenga, Mesi ni mzuri mguu wa kushoto lakini kichwa sio mzuri; Pele Miguu yote na ni mtaalamu wa vichwa, Pele ana nguvu sasa hapo kwenye individual brilliance sijui unasema nini jamaa alikuwa hata kudaka anawezaSipingi ulichokiandika. Kwangu mimi Messi ndie GOAT, the best according to individual brilliance
Achievements zipi anazomzidi Pele tukichukua bao zote mpaka za Cosmos na exhibition pele ana zaidi ya 1000, Santos alitupia ratio ya kama bao kila game, ana world cup tatu katika nne alizocheza..., Yeye na Santos waliweza mpaka kusimamisha vita huko Nigeria ili watu waende wakamwangalie.., ana rekodi ambazo mpaka leo hazijavunjwa sijui karne ngapi zimepita....and achievements.
Mwanzo wa huu uzi, tumeweka facts zote zenye majibu kwa haya maswali uliyouliza. Kurudia kutoa majibu upya ni kazi ambayo siko tayari kuifanya. Rudi juu upitie comments zangu za huu uzi.Messi can Dribble - sio kwamba Pele hawezi ila hayo mambo alikuwa anafanya sana ila walikuwepo kina Garrincha ambao wanakufuata ili tu wakupige chenga, Mesi ni mzuri mguu wa kushoto lakini kichwa sio mzuri; Pele Miguu yote na ni mtaalamu wa vichwa, Pele ana nguvu sasa hapo kwenye individual brilliance sijui unasema nini jamaa alikuwa hata kudaka anaweza
Achievements zipi anazomzidi Pele tukichukua bao zote mpaka za Cosmos na exhibition pele ana zaidi ya 1000, Santos alitupia ratio ya kama bao kila game, ana world cup tatu katika nne alizocheza..., Yeye na Santos waliweza mpaka kusimamisha vita huko Nigeria ili watu waende wakamwangalie.., ana rekodi ambazo mpaka leo hazijavunjwa sijui karne ngapi zimepita....
Kama nilivyosema Football is a game of Opinion na Binafsi nina-appreciate midfielders lakini hakuna mtu atakayeweza kuvuka achievements za Pele sio tu sababu alikuwa mzuri ila alifanya mazuri katika wakati mgumu (jambo ambalo kwa sasa na hizi sheria imekuwa rahisi) hivyo ndio kama Reggae Bob will always be synonymous with Reggae kama vile Pele with Football
Kama PEP alivyosema kabla number 10 was just a number after Pele imekuwa the most sought after.... kama ilivyo 23 ya Jordan na Basketball...
Rekodi za kupigwa viatu vingi zaidi ni Maradona so ishu za viatu tupa kuleBy the way watu wanashindwa kuelewa jambo dogo sana kuna kitu sentimental mtu uliyekuwa nae au umekuwa ukimuona au umemuona live ukiwa unaishi na kusikia anaongelewa wakati upo kunaongeza attachment yako kwake... (ndio kina Pep na Messi au kizazi cha 80's na Maradona)
Ila ukiangalia kitu bila bias, kwa marefu na mapana na kuangalia ni wakati gani hicho kitu kimefanyika lazima uta-appreciate kilichofanyika...
Jamaa Kuna rekodi zake zimekaa karne na karne..., sio rahisi kwa mtu kucheza kuchukua kombe katika world cup tatu na zingekuwa nne kama sio 1966 kufanyiwa figisu pia ingawa alifunga 1962 ndio alikuwa kwenye peak lakini watu wakamkabidhi kiatu....
Inasemekana hata alishatoa Figo moja ukubwani na huenda matatizo hayo ni sababu ya kupigwa kiatu na kuwa targeted.....
Mtu haitwi King rejareja..., The man is Truly King a King... The most known Brazilian in the world..., na ni mweusi !!! Na kwa kutokuwa Political ameunganisha watu (Yaani mtu kumchukia Pele ni Matatizo Binafsi, au uvivu wa kutokufuatilia ni nini alifanya)
Hii rekodi umechekli ni ya miaka gani na kadi zilianza kuhesabiwa lini ? Hivi hata huwa mnafanya research kabla ya kuandika kitu ?Rekodi za kupigwa viatu vingi zaidi ni Maradona so ishu za viatu tupa kule
Mwanzo wa huu uzi nimeanzisha mimi kutokana na uongo sijui kulikuwa hakuna offside sijui kipindi kile ligi ilikuwa rahisi sijui ballon d or hakuna chochote ambacho ni facts zaidi ya story za kwenye gahawa....Mwanzo wa huu uzi, tumeweka facts zote zenye majibu kwa haya maswali uliyouliza. Kurudia kutoa majibu upya ni kazi ambayo siko tayari kuifanya. Rudi juu upitie comments zangu za huu uzi.
Umeyazungumzia wewe na nani ? mechi za exhibitions tukiweka yote ni magoli zaidi ya 1000 hizo hapo juu ni official recorded by FIFA na anamuacha kwa Ratio Messi mbali sana wala haoni hata kivuli..., kama na wewe hujui kwamba Pele alikuwa mzuri kwa miguu yote pamoja na kupiga kichwa wakati messi anategemea mguu mmoja unahitaji ku-refresh your knowledge Muulize mtu yoyote aliyeshawahi kufuatilia soka kwamba kati ya Messi na Pele nani ni Clinical nadhani hata kipofu atakwambia unless hajui maana ya clinical...Habari za world cup tatu, na hayo magoli ya exhibition matches yote tumeshayazungumzia huko juu. Kujibu maswali yaleyale kila siku inachosha, I'm not ready for a circus!
Facts speaks for themselves sihitaji kumsemea Pele, ingawa ndio Giroud kwenye mpira kuna vitu anamzidi Messi nikitaka kutumia a Route One football Formation with a Target Man tamchukia Giroud nikitaka Grafter and a Hard Worker tamchukia Giroud as for the King there is only one King and Pele will Live For Ever ingawa Edson has passed awayWewe hata ukiamua kusema Giroud ndie mfalme wa soka, it's fine. Opinions are like @ss holes, and we all have one!
So kwanini walio cheza na pele enzi zake hawana goli 1000Wewe unamchukia messi ndio maana unang'ang'ana na babu yako pele mtu ambae era yake hapakua na sheria ngumu kama ilivyo sasa.. Diego Armando alishamfunika huyo babu, kwa messi ndio ataweza!
So kwanini walio cheza na pele enzi zake hawana goli 1000