Messi Vs Pele

Messi Vs Pele

Goli za pele ni za mchongo unaweza kuniletea stats alifunga dhidi ya nani?? Maana MESSI na RONALDO tukivuta mkeka tunaona magoli yao walifunga dhidi ya nani. Sitaki uanze kunambia habri za teknilogy ukweli ni kua PELE aliongeza magoli katuwekea mpaka magoli ya mchangani[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2464241
Kwenye Goli ambazo FIFA wameverify ana goli ngapi ?; Angalia Post yangu ya Mwanzo na anamuacha Messi kiasi gani ?

Left Foot / Right Foot and Headers...., Na hata hilo Kombe la America ambalo siku hizi linachezwa karibia kila leo Pele alicheza mara moja (halikuwa kila mwaka na lilisimamishwa mpaka 1975) na hapo aliibuka kinara wa kufunga magoli (Top Scorer) ingawa walifungwa na Argentina wakiwa Argentina...

Hio 1,279 ni Guinness sio FIFA Officially World record;

Na kwenye world cup ni
12 goals kwenye mechi 14 za FIFA World Cup appearances
 
Mwanzo wa huu uzi nimeanzisha mimi kutokana na uongo sijui kulikuwa hakuna offside sijui kipindi kile ligi ilikuwa rahisi sijui ballon d or hakuna chochote ambacho ni facts zaidi ya story za kwenye gahawa....

Umeyazungumzia wewe na nani ? mechi za exhibitions tukiweka yote ni magoli zaidi ya 1000 hizo hapo juu ni official recorded by FIFA na anamuacha kwa Ratio Messi mbali sana wala haoni hata kivuli..., kama na wewe hujui kwamba Pele alikuwa mzuri kwa miguu yote pamoja na kupiga kichwa wakati messi anategemea mguu mmoja unahitaji ku-refresh your knowledge Muulize mtu yoyote aliyeshawahi kufuatilia soka kwamba kati ya Messi na Pele nani ni Clinical nadhani hata kipofu atakwambia unless hajui maana ya clinical...

Facts speaks for themselves sihitaji kumsemea Pele, ingawa ndio Giroud kwenye mpira kuna vitu anamzidi Messi nikitaka kutumia a Route One football Formation with a Target Man tamchukia Giroud nikitaka Grafter and a Hard Worker tamchukia Giroud as for the King there is only one King and Pele will Live For Ever ingawa Edson has passed away
With this comment, you have exposed your football ignorance. Kwaheri mkuu, siwezi kujadili na mtu anaeona Giroud ni bora kuliko Messi. Tutajadili nini sasa?

Peace be upon you!
 
With this comment, you have exposed your football ignorance. Kwaheri mkuu, siwezi kujadili na mtu anaeona Giroud ni bora kuliko Messi. Tutajadili nini sasa?

Peace be upon you!
Ni nani aliyekuita in the first place ?

Second Ubora ni nini ? au hata haujui maana ya Ubora ?

Ndio nikakwambia inategemea na formation ninayocheza kuna nyanja ambazo Giroud ni bora kuliko Messi (Target man na Grafter) au unadhani kwenye timu unaweza ukawaweka Messi 11..., Au unadhani kwenye ile Galacticos ya kina Zidanne mtu wa kwanza kuwekwa kwenye team sheet alikuwa nani kama sio Makalele....

Either you build a Team around Messi au Messi anakuwa mzigo Giroud is a Team Player unaweza ukamuweka pale na akafanya unachomwambia to the T (Giroud is Great at what he does, can Messi do what Giroud Does) au unadhani fancy stuff alone win you games ?!!!
 
1. This is a public forum. Naingia na kuchangia kwa kadri ninavyotaka, na pia ninaacha kuchangia kwa kadri nitakavyoona inafaa. I don't need your invitation sir/madame!

2. Amini unavyoamini, sifaidiki chochote kukuelewesha!
 
1. This is a public forum. Naingia na kuchangia kwa kadri ninavyotaka, na pia ninaacha kuchangia kwa kadri nitakavyoona inafaa. I don't need your invitation sir/madame!
Sawa kwanini uliaga hapo chini ? Au hizo points zinaongezea nini kwenye uzi

With this comment, you have exposed your football ignorance. Kwaheri mkuu, siwezi kujadili na mtu anaeona Giroud ni bora kuliko Messi. Tutajadili nini sasa?

Peace be upon you!
And yet you came back ?!!!!!
2. Amini unavyoamini, sifaidiki chochote kukuelewesha!
Unamuelewesha nani na kwenye nini ? Au unadhani you are entitled to your own facts ? Opinion Sawa lakini huwezi kupindisha facts...., especially if your logics are being found wanting....
 
Hii rekodi umechekli ni ya miaka gani na kadi zilianza kuhesabiwa lini ? Hivi hata huwa mnafanya research kabla ya kuandika kitu ?

Unajua kina nani walisababisha mfumo wa kadi uanze world cup ya 1970 ? Nimekuuliza tena unajua kilichotokea world cup 1966 ? Na pele alifanywa nini? Nimekuwekea hadi comments za kocha wa Bulgaria aki-boast kwa kumpiga kiatu Pele, kwahio ulitaka hio record itoke wapi wakati Marefa walikuwa wanapeta...

Unajua zamani ubabe na kupiga kiatu ilikuwa moja ya sifa ?
Na mimi nilikuuliza je, filimbi ilipigwa kuanzisha mpira,mpira ukitoka nje na muda wa kumaliza mechi tu?

Hujajibu jibu hapo , maana unataka kutuaminisha eti zamani hapakuwa na zuio la kumwumiza mwenzako which is not true
 
Zamani marefa walipeta sana; zamani kupigwa rafu usianguke ndio ilikuwa sifa (kwamba wewe ni mbabe) kwahio watu walivumilia zaidi sio sasa watu wanataka kuwin free kicks na wana-dive.. kwahio kipindi cha Pele hata hizo fouls hazikuwa recorded..., Pele na wenzake wa kipindi hicho sio tu walikuwa fouled bali walikuwa hacked; nimekuonyesha qoutes za kocha akijisifia 1962... Kusimamisha mpira na kuendelea bila kumpa kadi mtu ya kukosa mechi zijazo haifanyi mtu aogope kufanya fouls (jambo ambalo mechi za mwanzo za kina Pele kulikuwa hakuna kadi)....

Mkuu naomba angalia tu hii clip kwanza alafu urudi tuendelee na mjadala wa jinsi Pele alivyopata Mtelemko (hii ni nyingine ya FIFA sio ile niliyoiweka hapo juu

Mpeni heshima yake La Pulga jamani,hii ni dhahabu inayotembea,sio kila jambo ni la kubisha,
Messi amefunga goals nyingi ngumu kuliko Pele
Ukisema Pirlo sijui playmaker mkali zaidi,tuletee takwimu kumzidi messi kwenye kuchezesha timu,through pass,chance creation,Pre assist na assist kwa ujumla n.k

Kuhusu Pele kufunga magoli mengi,hayo magoli walikadilia au wana takwimu? Kama zipo tupe idadi ya kila timu na magoli aliyofunga tu count

Shotly,kama ni skills za youtube Kuondoka na vijiji,kuuficha mpira at his feet,Messi ni habari nyingine jaman

FB_IMG_16704849019283884.jpg
 
Hivi hata kwenye picha tu hapo unaona refa alikuwa kapeta kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishu ya kupeta hata siku hizi ipo ila usituaminishe eti alikuwa anachezewa rafu marefa wanapeta tu ,huu ni uongo wa wazi kabisa.
 
View attachment 2465437
Eti kwenye uplaymaker umweke Pirlo mbele ya Messi utakuwa sio kocha timamu hahaha

Messi ni genious
Alianza kama winga kiasi akaperform , akaja kama false 9 akaperform akaja 10 ndo kabisaa leo hii anachezatu kama midfielder ndo kawa dhahabu kamili kabisa.

Wanaombeza waweke rekodi hapa za nani top assister in football till now ndo watajua Messi ni GOAT
 
Hivi hata kwenye picha tu hapo unaona refa alikuwa kapeta kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishu ya kupeta hata siku hizi ipo ila usituaminishe eti alikuwa anachezewa rafu marefa wanapeta tu ,huu ni uongo wa wazi kabisa.
sasa mkuu yaani mtu anagalala refa anapeta ?

Jambo ambalo haujaelewa zamani nguvu ilikuwa ni sifa wewe kama striker beki akikuweka mfukoni hata kwa buti ni aibu kwako na hata mashabiki wanakuona hufai (fulani alikuweka mfukoni) sasa kama unaweza ukapigwa kiatu na ukasimama refa anapeta au hata ukianguka anaweza akapeta pia (ni kipindi cha mpira kipindi cha kina Pele mpira ulikuwa physical kuliko kipindi cha kina Maradona ambacho ulikuwa physical kuliko sasa (hio ni fact)

Siku hizi ku-dive sio aibu mtu anajipeleka kwenye mguu ili apate faulo tackle za nyuma haziruhusiwi ukimshika mtu tu kwenye box unaweza ukawa penalized (hali imekuwa rahisi sana kwa washambuliaji na ngumu sana kwa walinzi)

Huenda ni kweli walinzi wa zamani wasingecheza leo na wa leo wangeweza kucheza zamani kwa urahisi zaidi ila sio washambuliaji
 
Hata sasa mpira bila nguvu upo uswahilini tu kaka
 
Football is a Game of Opinions, na kuna wengi wanajaribu kufananisha umahiri wa mchezaji wa kipindi fulani na kipindi kingine; Ingawa ni vigumu na kila mchezaji ana repertoire yake tofauti tofauti ndio maana nikitaka kuwa entertained huenda ningemuangalia Garrincha, Ronaldinho na hata Okocha kuliko hata Messi; ningekuwa natengeneza Timu na nataka clinical finisher huenda nisingemuacha Ronaldo de Lima; LAKINI kuna kuwa na opinion na kuna Kupindisha Data (yaani kutofuata FACTS) hivyo basi ni vema tufanye Dissection ya Messi na Pele

PLAYING POSITION
Messi – Winger / Forward

Kwa aina ya mpira wa sasa na falfalsa ya makocha Messi alianza kama Winger (kama ilivyokuwa kwa kina Henry na Ronaldo) na akawa converted kuwa Forward / Playmaker;

Messi kumfaidi inabidi ujenge timu kwa kutumia strength zake ukimpa mpira anaweza kufungua defence anapenda kwenda kwenye wing na kuingia ndani na mabao yake mengi anayafunga hivyo (ila tukija kwenye taji la playmaker je tunamuhitaji Messi au mtu kama Maestro Andre Pirlo ambaye Pasi yake moja kwa sekunde moja inaweza ikafungua timu ? (Ndio hapo linakuja suala la Greatest of all time Je kina Claude Makalele au Viera na wao tunawaweka wapi)? Unaweza ukasema bila Makalele kwenye ile Galactico (Real Madrid) isingefanya kitu sababu hakuna mkabaji wote ni walikuwa Prima Donnas..., au Toure kwa Barcelona aliwapa kinga / defense ya kufanya wengine waweze kufanya yao...

Pele – Forward
Pele alikuwa Centre Forward anayeshuka mpaka katikati kutafuta na kuchukua mipira au kucheza kama striker wa pili.

PELE STRENGTH Clinical Finisher; Aerial Ability, Physical Strength
Kumbuka kipindi Pele anacheza mwanzoni kulikuwa hakuna Red wala Yellow Card, na faulo za nyuma kilikuwa kitu cha kawaida kwahio kuwapita defender ilihitaji skills na nguvu ya ziada. Pele aliweza kuwapita walinzi kwa urahisi pamoja na yote hayo huku akitumia chenga yake pendwa “dribble da vaca,”

Pele alikuwa ni mtaalamu wa kupiga vichwa, na akicheza kwa flair; ingawa walikuwepo wataalamu wa chenga kumzidi (Garrincha) lakini his eye for goals was second to none at the time

MESSI STRENGTH- Finisher, Vision, Positioning, Dribbler
Messi ana low center of gravity kwahio kumuangusha sio rahisi, na kuwapita walinzi sio kazi kwake ingawa ana bahati ya kucheza kipindi ambacho strikers wanalindwa hivyo kutochezewa rafu bahati ambayo Pele na wenzake walikuwa hawana...

BIASED OPINIONS

Pele alicheza kipindi ambacho hakuna Sheria za Offside hivyo alifunga Magoli Mengi (SI KWELI)

Ukiangalia sheria ya offside imebadilika tokea miaka ya 1800; hapo mwanzo ilikuwa ngumu zaidi sababu ilitakiwa kuwe na walinzi watatu mbele yako kujumlisha na kipa ndio sio offside; ikaja wawili na miaka ya tisini wakaleta rule ya kwamba hata ukiwa marginally na walinzi yaani mbele yako kuna kipa tu upo onside....

Hii kwa ma-striker wa sasa imekuwa rahisi na kwa ma-defender hali imekuwa ngumu..., watu kama Ruud Van Nistelrooy, Anelka, Henry, Andy Cole waliitumia sana hii mtu anakaa na wewe sambamba au anakuwa offside position...., watu kama kina David Beckham wakati wanapiga pasi (instantly) jamaa wanarudi usawa wa defender na kuukimbilia mpira / pasi.., Hivyo sio kweli kwamba Strikers wa sasa wana shida bali defenders wa sasa ndio wana shida...

Ballon d’Ors
Nadhani wanaoleta hii kitu katika maongezi ya Greatest of all Time hawajui hata hii Award inapatikana vipi; na hawajui kwamba Pele sio kwamba hakuweza kucheza Europe bali nchi yake ilimfanya Nyara ya Serikali ili asiweze kuondoka akiwa kwenye Peak... Anyway, waanzilishi wa hii Award wamerudi nyuma na kusema kama Pele angekuwepo kwenye voting basi angekuwa na hizi Award sawa na Messi

France Football claim Pele has same number of Ballon d'Ors as Lionel Messi | SportsJOE.ie

MESSI AND PELE STATS
(Kwenye Assists ni Debatable zamani zilikuwa haziwi recorded – na hizi game ni Official Pele alicheza nyingi zaidi)

Messi
TeamGamesGoalsAssistsRatio
PSG5323280.43
Barcelona7786722690.86
Argentina17298530.57
Total10037933500.79

Pele

TeamGamesGoalsAssistsRatio
Santos FC6566432770.98
Cosmos NY6437230.58
Brazil9277430.84
Total8127573430.93

There you have it There is only one King Pele alafu wengine wengi....

Na kwenye mpira kuna entertainers, kuna watu ni clinical kuna watu wana footballing Brain kama Andre Pirlo, kuna kina Glenn Hoddle na hata Bongo tuna kina OCD, Hussein Amani Masha au hata Samli Ayoub (Beki Mstaarabu) - Kipindi kile cha Rafu na Undava undava mtu anamaliza mpira jezi bado safi (alafu ni Beki) - Avumae Papa Baharini ingawa wengi wapo ila bado Papa yupo na Papa ni Pele
Kulinganisha upupu Messi na Pele ni kuivunjia heshima tsnia ya mpira wa miguu!

Pele alituletea ile kick ya tik-tak (bicyce chain). Hakuna mchezji mwingine duniani aliyewahi kuleta kick ya aina yake kiasi cha kukumbukwa ukiachilia mbali kuchukua makombe matatu ya dunia. Mchezaji pekee anayeweza kuwekwa kundi moja na Pele ni golikipa Rene Higuita wa Colombia aliyeleta scorpion Kick na kusababisha FIFA kubadili sheria za mpira ingawa Scorpion Kick siyo maarufu leo kama tik-tak. Kwa wale wasiomfahama Rene Higuita, mwangalieni hapo akiwa kazini; alikuwa anaweza kuondoka namoira kutoka golini kwake hadi kwenda kufuga goli upande wa pili bila kuuopoteza

Kwenye Goli ambazo FIFA wameverify ana goli ngapi ?; Angalia Post yangu ya Mwanzo na anamuacha Messi kiasi gani ?

Left Foot / Right Foot and Headers...., Na hata hilo Kombe la America ambalo siku hizi linachezwa karibia kila leo Pele alicheza mara moja (halikuwa kila mwaka na lilisimamishwa mpaka 1975) na hapo aliibuka kinara wa kufunga magoli (Top Scorer) ingawa walifungwa na Argentina wakiwa Argentina...

Hio 1,279 ni Guinness sio FIFA Officially World record;

Na kwenye world cup ni
12 goals kwenye mechi 14 za FIFA World Cup appearances

Pele<Messi
 
With this comment, you have exposed your football ignorance. Kwaheri mkuu, siwezi kujadili na mtu anaeona Giroud ni bora kuliko Messi. Tutajadili nini sasa?

Peace be upon you!

Ndugu yao kaamua kwenda uarabuni wanazidi kuchanganyikiwa
 
Messi amefika fainali nyingi za kila mashindano aliyocheza kuliko mchezaji yeyote aliyewahi kucheza soka.

Amecheza fainali mbili za kombe la dunia na fainali Nne za Copa America, fainali ya olympic na Worldcup under 20, na Fainali ya Finelissima. Achilia mbali fainali za vilabu.

Na si kufika fainali tu bali amekuwa mchezaji bora wa mashindano aliyoshiriki kuliko mchezaji yeyote katika historia ya soka.

Pele amekuwa mchezaji bora wa michuano ya WC mara moja tu, mwaka 1970. Wakati Messi amekuwa mchezaji bora wa WC mbili, ile ya 2014 na 2022.

Ktk michuano ya World cup U 20, Messi alikuwa mchezaji bora
Ktk Copa America amekuwa mchezaji bora mara kibao
Ile michuano ya Finelissima amekuwa mchezaji bora!

Kiufupi Messi kamzidi Pele, ila watu bado wako ktk hangover ya historia tu.
 
Una matatizo ya Akili.
 
Kulinganisha upupu Messi na Pele ni kuivunjia heshima ya mpira wa miguu!

Pele alituletea ile kick ya tik-tak (bicyce chain). Hakuna mchezji mwingine duniani aliyewahi kuleta kick ya aina yake kiasi cha kukumbukwa ukiachilia mbali kuchukua makombe matatu ya dunia. Mchezaji pekee anayeweza kuwekwa kundi moja na Pele ni golikipa Rene Higuita wa Colombia aliyeleta scorpion Kick na kusababisha FIFA kubadili sheria za mpira ingawa Scorpion Kick siyo maarufu leo kama tik-tak. Kwa wale wasiomfahama Rene Higuita, mwangalieni hapo akiwa kazini; alikuwa anaweza kuondoka namoira kutoka golini kwake hadi kwenda kufuga goli upande wa pili bila kuuopoteza

Pele is the King mtu anayemfananisha Pele na mtu mwingine nadhani anahitaji refresher course kwenye Soccer..., Pele was a Pioneer Pele ndio aliyefanya Soccer iwe kama ilivyo Pele was a Global Icon (na kwa kufanya hayo ukiwa race ambayo inabaguliwa na kipindi ambacho mpira ulikuwa physical is astronomical)

Huyu Higuita na Utani wake alifanya Cameroon na Roger Milla Tuingie 16 Bora..., but the guy was an entertainer...
 
Messi amefika fainali nyingi za kila mashindano aliyocheza kuliko mchezaji yeyote aliyewahi kucheza soka.
Naam is this an advantage au disadvantage kwamba kacheza nyingi lakini kashindwa kuchukua makombe sawa na alizocheza (return on investment) ni ndogo when push comes to shove nahodha kashindwa kuwavusha
Amecheza fainali mbili za kombe la dunia na fainali Nne za Copa America, fainali ya olympic na Worldcup under 20, na Fainali ya Finelissima. Achilia mbali fainali za vilabu.
Kacheza fainaili mbili moja kashindwa na katika hio moja ka-miss a golden chance Pele kacheza Fainali Mbili ambazo zote amechukua kombe; mbili zilizobaki moja alichukua kombe baada ya kufunga game ya kwanza ya pili akapigwa kiatu akaumia nyingine kapigwa kiatu Brazil ikatolewa hatua ya makundi.....

Kacheza Copa America Moja tu ambayo kafika mpaka fainali na kuwa mfungaji bora kumbuka kipindi kile ilikuwa stopped na kurudi tena 1970.., sasa kuhusu vilabu kaangalie alifanya nini na Santos (Kashinda kombe la ulaya na america mara tatu)
Na si kufika fainali tu bali amekuwa mchezaji bora wa mashindano aliyoshiriki kuliko mchezaji yeyote katika historia ya soka.

Pele amekuwa mchezaji bora wa michuano ya WC mara moja tu, mwaka 1970. Wakati Messi amekuwa mchezaji bora wa WC mbili, ile ya 2014 na 2022.
Hivi unajua the youngest player award ya 1958 alikuwa nani ? , pili unajua kwa miaka mingi mchezaji bora alikuwa ni Golden Ball yaani mfungaji bora ? na kwa kusema Messi mchezaji bora 2014 wakati hawakuchukua Kombe kwanini mwaka huu tuseme asingepewa Mbappe utaona hapo huwa na mfungaji bora separate na mchezaji bora kumeongeza nafasi za awards
Ktk michuano ya World cup U 20, Messi alikuwa mchezaji bora
Ktk Copa America amekuwa mchezaji bora mara kibao
Ile michuano ya Finelissima amekuwa mchezaji bora!

Kiufupi Messi kamzidi Pele, ila watu bado wako ktk hangover ya historia tu.
Wakati Messi anahangaika na under 20 pele at 17 alishachukua Kombe la dunia..., Pele na Santos walikuwa wanazunguka dunia nzima na kucheza mechi na timu tofauti tofauti na zote jamaa anafanya yake (Messi kapata injuries mara ngapi na kipindi cha kina Pele walikuwa wanapata injuries mara ngapi unadhani Pele angeweza kucheza mechi nyingi alizocheza Messi na return yake ya peformance leo tungekuwa tunazungumza nini ?

Eti Pele alikuwa mchezaji bora 1970 tu..., kaangalie 1958 nani alifanya yake....., kwa kukumbushia tu.... Kwenye Fainali a 17 year Old anaweka mpira kwenye chest ana-dash defender wa kwanza wa pili anapigwa kanzu kipa anaangaliwa yupo wapi bao....; Pao la pili anapigwa kichwa matata sana kilichoanzishwa na one Two ya Pele kwa Pasi ya Kisigino....

Hadi mfalme wa SWEDEN anashuka ku-shake mkono wa Pele........; A KING WAS CROWNED
Maneno ya Jus Fontaine mfungaji Bora

Pele hit the last three goals as Brazil beat France 5-2 in the semi-finals, pouncing on two loose balls in the goalmouth for a pair of well-taken poacher’s goals and completing his hat-trick with a stinging volley.

Just Fontaine scored for the losers and went on to finish the tournament with 13 goals.

“When I saw Pele play, it made me feel I should hang up my boots,” Fontaine said later.
 
Back
Top Bottom