Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Pele ndio binadamu pekeee ambaye miaka ya 70 alikuwa anaandaliwa mapokezi na nchiHahhaa, huyu jamaa anamsifu pele utafikiri amemshuhudia LIVE, utafikiri alikua umri mmoja na Pele 😃 ni kwamba haters yeyote wa Messi na Diego Armando hawezi onyesha ukweli mitandaoni, ila moyoni wanawakubali ndio Wachezaji bora kuwahi kutokea
Messi✔
Maradona ✔
Pele❌❌❌
Yaani ugeni wa Pele ni zaidu ya Marais