Pele ndio binadamu pekeee ambaye miaka ya 70 alikuwa anaandaliwa mapokezi na nchiHahhaa, huyu jamaa anamsifu pele utafikiri amemshuhudia LIVE, utafikiri alikua umri mmoja na Pele ๐ ni kwamba haters yeyote wa Messi na Diego Armando hawezi onyesha ukweli mitandaoni, ila moyoni wanawakubali ndio Wachezaji bora kuwahi kutokea
Messiโ
Maradona โ
Peleโโโ
Messi amewahi kusimamisha vita ??Umeshuhudia kama tunavyoshuhudia kwa king Messi?, huyu ndie The G.O.A.T. ambae ana vikombe vyote kuliko mchezaji yeyote duniani, ana ballon D'Or kuliko mchezaji yeyote..man of the match kuliko mchezaji yeyote n.k n.k n.k.. hapa kilichokua kinasubiriwa ni only World cup, na ametimiza..
Haya twende na pele, world cup na magoli.. kingine?
Kubali kataa, Messi na Diego usiwafananishe na wengine..tena ni kuwakosea heshima hawa legends hawa kuwahi kutokea..
Pele, Cruyff, de stefano, zidane, kempes, Puskas, platini, iniesta, xavi, gaucho, de lima n.k level yake ni hawa.
Hahhaaaa.. kumfananisha kapele na KING MESSI ni kumkosea heshima Messi.Goli za pele ni za mchongo unaweza kuniletea stats alifunga dhidi ya nani?? Maana MESSI na RONALDO tukivuta mkeka tunaona magoli yao walifunga dhidi ya nani. Sitaki uanze kunambia habri za teknilogy ukweli ni kua PELE aliongeza magoli katuwekea mpaka magoli ya mchanganiView attachment 2464241
Wakati huo angelikua Messi hata urais angepataPele ndio binadamu pekeee ambaye miaka ya 70 alikuwa anaandaliwa mapokezi na nchi
Yaani ugeni wa Pele ni zaidu ya Marais
Messi amewahi kusimamisha vita ??
Vita ya biafra au hufatiliiVita ya nini?
Sasa kama hukumshuhudia unajuaje Messi anamzidi?Mesi ni zaidi huyo pele sikumshuhudia kwahiyo nisiwe muongo
Mtoa mada yupo kundi no 2 hapoMtu asiemkubali Messi ajitathmini upya.. na anaemkubali pele na kumponda Diego Armando Maradona ajitathmini upya..
Hapa kuna matabaka zaidi ya matatu ๐
1 wapo walio upande wa pele kisa mweusi
2 wapo walio upande wa pele kisa jamaa yao cr7 hupotezwa vibaya sana..
3 wapo wanaomkubali pele kisa ushabiki wa timu aliyochezea
N.k
N.k
Moyoni wanajua fiika Messi ni zaidi ya mchezaji yeyote aliewahi kucheza soka, ila wanaona aibu, nafsi inawasuta.
1 Messi
2 Diego Armando
Aisee unaongelea Pele hakuwa top scorer kwenye world Cup alizocheza Messi alikuwa Top Scorer pamoja na kucheza mechi nyingi kuwazidi wengine ?Umehama tena kwamba Pele hakuwa goli poacher na ndiyo maana hakuwa top scorer kama ndivyo unawez kuniambia if Messi ni goal poacher au la? Ili tuwalinganishe in other roles tuhame kwenye mabao?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Aisee unaongelea Pele hakuwa top scorer kwenye world Cup alizocheza Messi alikuwa Top Scorer pamoja na kucheza mechi nyingi kuwazidi wengine ?
Nimekuonyesha hapo kwamba hata hio world cup 1970 ingawa alifunga bao za maana pia alikuwa top assist... Na nimekuonyesha jedwali la wafungaji wa world cup zote uone ratio zinasemaje kati ya Messi na Pele...
Huo ushamba ulikwisha zamani sana , sasa hivi kila mtu anakuona kwa luninga nani akuandalie mapokezi ya hivyo?Pele ndio binadamu pekeee ambaye miaka ya 70 alikuwa anaandaliwa mapokezi na nchi
Yaani ugeni wa Pele ni zaidu ya Marais
Vita ya biafra au hufatilii
Goal contribution yake inazidi ile ya Messi?Aisee unaongelea Pele hakuwa top scorer kwenye world Cup alizocheza Messi alikuwa Top Scorer pamoja na kucheza mechi nyingi kuwazidi wengine ?
Nimekuonyesha hapo kwamba hata hio world cup 1970 ingawa alifunga bao za maana pia alikuwa top assist... Na nimekuonyesha jedwali la wafungaji wa world cup zote uone ratio zinasemaje kati ya Messi na Pele...
Huo ushamba ulikwisha zamani sana , sasa hivi kila mtu anakuona kwa luninga nani akuandalie mapokezi ya hivyo?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hakuna uhakika kama pele amefunga goli 1000, sema baadhi ya wabongo wamekariri, na most of them ni mahaters wa Messi.
Ona hapa[emoji116]
Has any footballer scored 1000 goals? Over the years, the Brazilian legend has often claimed to have scored more than 1,000 times in his career. However, some of his strikes are believed to come in amateur and unofficial matches. According to reports, Pele managed around 757 goals in about 831 games.
Wengine inatunuwia ngumu kuamini kwa kapele kako mkuu, kwanza kabisa kamecheza enzi hizo hapakua na sheria ngumu kama ilivyo sasa na hata era ya Diego Armando mambo yalichange.. pili, kapele kamecheza viklabu vidogo na kukutana na viklabu dhaifu ukilinganisha na Messi and Armando ambao wamecheza ulaya timu ambazo ni kubwa zaidi ya hivyo viklabu vya pele, na isitoshe wamekutana mara kibao na matimu makubwa ulaya na kuzipatia ubingwa timu zao.
Tatu, angalia na pozesheni wanazochezea ndio utajua mpira sio kitu rahisi rahisi, lakini kwa Messi imekua viseversa.. magoli tu pekee na matuzo+makombe na man of the matches ndio utambue hakuna wa kumlinganishanae... pele level yake wakina Alfredo de stefano, kempes, zidane n.k..
Umecheza kama Messi[emoji818]
Umecheza kama Maradona[emoji818]
Pele [emoji777]
Messi ashindanishwe na akina Cristiano na Mbappe, mkipata muda kaangalieni clip au mechi aliyocheza Pele akiwa na Miaka 50 ilikuwa kati ya Brazil vs World stars.
Yaan zile skills anazotoa na kufanya uwanjani na kwa umri ule mtaona how far jamaa alikuwa. Yaan skills zake mguuni, Afrika nzima hakuna wa kumfikia kwa katika umri ule tu wa miaka 50.