Messi ashindanishwe na akina Cristiano na Mbappe, mkipata muda kaangalieni clip au mechi aliyocheza Pele akiwa na Miaka 50 ilikuwa kati ya Brazil vs World stars.
Yaan zile skills anazotoa na kufanya uwanjani na kwa umri ule mtaona how far jamaa alikuwa. Yaan skills zake mguuni, Afrika nzima hakuna wa kumfikia kwa katika umri ule tu wa miaka 50.
The special one said it!View attachment 2468672
Huu ndo ukweli, Pele ni muhuni aliongeza magoli
Du Aisee hivi unajua hata unachobishania ? Ingawa nishagundua ni mvivu wa kusumbua akili yako.., ngoja nikuulize tu Messi alikuwa mfungaji bora wa World Cup ya mwaka gani ?!!!! Ngoja nikusaidie kukuonyesha wafungaji bora wote wa world cup zote mpaka leo....,Naona ashakamatika hapo kama Pele hakuwa best scorer kwenye world cup zote 3 sasa huo ubora wake ulikuwa kwenye nini hasa? [emoji23]
Messi takwimu zipo wazi kila role yake imekuwa superb
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
| World Cup | Player | Team | Goals scored | Matches played |
| Uruguay 1930 | Guillermo Stábile | Argentina | 8 | 4 |
| Italy 1934 | Oldřich Nejedlý | Czechoslovakia | 5 | 4 |
| France 1938 | Leônidas | Brazil | 7 | 4 |
| Brazil 1950 | Ademir | Brazil | 9 | 6 |
| Switzerland 1954 | Sándor Kocsis | Hungary | 11 | 5 |
| Sweden 1958 | Just Fontaine | France | 13 | 6 |
| Chile 1962 | Garrincha | Brazil | 4 | 6 |
| Vavá | Brazil | 6 | ||
| Leonel Sánchez | Chile | 6 | ||
| Flórián Albert | Hungary | 3 | ||
| Valentin Ivanov | Soviet Union | 4 | ||
| Dražan Jerković | Yugoslavia | 6 | ||
| England 1966 | Eusébio | Portugal | 9 | 6 |
| Mexico 1970 | Gerd Müller | West Germany | 10 | 6 |
| West Germany 1974 | Grzegorz Lato | Poland | 7 | 7 |
| Argentina 1978 | Mario Kempes | Argentina | 6 | 7 |
| Spain 1982 | Paolo Rossi | Italy | 6 | 7 |
| Mexico 1986 | Gary Lineker | England | 6 | 5 |
| Italy 1990 | Salvatore Schillaci | Italy | 6 | 7 |
| United States 1994 | Hristo Stoichkov | Bulgaria | 6 | 7 |
| Oleg Salenko | Russia | 3 | ||
| France 1998 | Davor Šuker | Croatia | 6 | 7 |
| South Korea and Japan 2002 | Ronaldo | Brazil | 8 | 7 |
| Germany 2006 | Miroslav Klose | Germany | 5 | 7 |
| South Africa 2010 | Thomas Müller | Germany | 5 | 6 |
| Wesley Sneijder | Netherlands | 7 | ||
| David Villa | Spain | 7 | ||
| Diego Forlán | Uruguay | 7 | ||
| Brazil 2014 | James Rodríguez | Colombia | 6 | 5 |
| Russia 2018 | Harry Kane | England | 6 | 6 |
| Qatar 2022 | Kylian Mbappé | France | 8 | 7 |
Aisee hapa nafanya kazi ya kujirudia rudia tu..., what happen to no facts no right to speak hivi unajua formations zimeanza lini ? Au unajua Total football ilivumbuliwa huko 1930'sHahaha team Cr mnamakasiriko balaaa apo kwnye uchambuzi huoni kila ukimtaja Messi unamcompare na wachezaji tofauti kuliko Pele ? Af uyo Pele kacheza kipindi watu hawajui kucheza ata kwa position mpira ukienda uku wapo huku wapo ila goat kapga Kaz huku kwny mpira ni sayansi
| Dominant Formations | Years | Major Influence |
|---|---|---|
| 1-1-8, 1-2-7, 2-2-6 | 1860's - 1880's | Rugby |
| 2-3-5 | 1880's - 1925 | Scottish Passing Game |
| 3-3-4 | 1925 - 1950's | Offside |
| 4-2-4, 4-3-3 | 1950's - 1970's | Countering 3-3-4 |
| 4-4-2, 5-4-1 | 1970's - 1990's | Italian Defensive Game |
| 3-5-2, 5-3-2 | 1990's - 2000's | In Game Formation Changes |
| Variable Formations | 2000's - Present Day | Fluid Formations Changing On Situation |
NakaziaMessi ukimtaka kama striker, forward, winger, playmaker anakupa vyote hivyo.
Anaweza kubadilisha mchezo, anafunga, anatoa pass zenye macho assist nyoofu.
Nimemuona Messi tangu akiwa kinda enzi za rijkaard hadi Leo akifikia ukingoni mwa career yake .
He is the best acha kizazi Cha Pele waamue wanavyoona wao.
Achana nae[emoji23][emoji23][emoji23] alicheza namba zote sio? Sasa tupe statistics zake kwa kila idara aliyocheza.
Mfano akiwa striker no 9 alifunga goli kadhaa
Akiwa playmaker (kiungo) alitoa asist ngapi na kushinda duels on ball ngapi , akiwa Golikipa alipata cleansheat ngapi? Akiwa beki no 2 alipiga crosses ngapi na kumdhibiti vilivyo winga yupi?
Hivo no nyingine uzitaje pia
Hahaha team Cr mnamakasiriko balaaa apo kwnye uchambuzi huoni kila ukimtaja Messi unamcompare na wachezaji tofauti kuliko Pele ? Af uyo Pele kacheza kipindi watu hawajui kucheza ata kwa position mpira ukienda uku wapo huku wapo ila goat kapga Kaz huku kwny mpira ni sayansi
Utasikia, Pele alisimamisha vita!
Kusanya wachezaji wote unaowajua duniani unapata Pele na chenji inabaki
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app