Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Kwa kigezo ambacho ni very objective, Ronaldo ni bora kuliko wote hao uliowataja! Magoli ndio lengo la mpira wa miguu, hata uzi huu umekuja baada Ya messi kufunga magoli mawili. Huyo unayemwita real Ronaldo hakuwahi kufunga magoli la liga kwa kasi kama Ronaldo CR7!, hata kwenye orodha ya kumi bora ya la liga ya muda wote hayumo!
 
Magoli ya Messi hayana akili yoyote, hana jipya! Mguu ule ule wa kushoto, mbio zile zile, akifunga kwa kichwa ni kama Kakakuona! inatokea ila kwa nadra sana! Hana vitu adimu!

hahaahaaaa ukimchukia mtu hata awe n auzuri gani hutoisha sababu goli la pili la messi alitumia mguu gani hebu cheki video la pili inamaana media zote zinamfagilia tu messi hakuna taarifa kama sio ya messi kwenye media
 
always best is no fear why that guy he hestate to move from his current club ?
 
Huna hoja badala yake unaleta kashfa! Huwezi kunituma cha kufanya, hizo data kama unadhani zitamsaidia Messi ziweke hapa tuzione.

Halafu sasa messi msimu ana magoli mengi sana ya mguu wa kulia, karibia sawa na wa kushoto mara ya mwisho nilivyoangalia lakini mashabiki wa ronaldo kama huyo mbinguni kwetu wameng'ang'ania hoja zao za 2011 ooh sijui hafungi mguu wa kulia, hafungi vichwa sijui. Goli ni goli hata likifungwa kwa kutumia makalio. Cha kushangaza chukua video ya magoli ya messi na chukua video ya magoli ya ronaldo, magoli ya ronaldo asilimia kubwa ni penalty na tap-ins lakini cheki ya messi, mengi ni magoli ya akili. Lakini nashabiki wa ronaldo katika ubora wao watakuambia ooh sijui kamalizia wa kushoto tuu. Ni ujinga kuignore move nzima iliopelekea goli na kuangalia tu mguu uliomalizia. Mnanishangaza sana jinsi mlivyo shallow in your knowledge of football.
Kuna kipindi mwezi wa pili Messi alifululiza magoli zaidi ya 10 ya mguu wa kulia, sio lazima ila anaweza na
Na amefunga magoli ya kichwa ya kutosha tu, sio lazima, lakini messi ni team player, ni umuhimu wa goli kwa mafanikio ya team na sio goli ili kuongeza mashabiki vilaza wanaodhani mpira ni list ya topscorers tu.
Messi anaongoza kwa kutengeneza nafasi za magoli misimu mingapi sijui imepita la liga,
Anaongoza kwa assists,
Anaongoza kwa dribbles completed per game na overall number of dribbles.
Ronaldo kwenye hizo nyanja amepitwa na wachezaji wengi tu tena wengine wa kawaida la liga.
Lakini messi anafanya yote hayo bado anafunga magoli halafu na ni mdogo kwa ronaldo miaka miwili. Tukiassume wote watastaafu umri mmoja, mfano 36, messi ana miaka miwili ya kuzidi kuikuza record yake zaidi na zaidi kushinda ronaldo.
Messi kwanza kamzidi ronaldo magoli team ya taifa,

Mimi nimeamua kuacha kushindana na hawa mashabiki wa ronaldo rasmi.
Hawajui mpira n they lack intelligence
It takes an intelligent person kuweza kutambua an intelligent player.

Kama miaka yote hii unamwangalia messi na unamwangalia ronaldo unaona wanacheza uwanjani halafu kutaka kuwapima unajitoa ufahamu na akili zote halafu unaanza kutumia kigezo kimoja tu kujadili mchezaji na kusema kuwa ndio mchezaji bora wakati huyo mchezaji bora unayesema amepitwa katika vigezo vyote vya mpira vilivyobaki ni upuuzi uliopita kiasi
Mpira sio list ya topscorers, mpira sio mguu unaotumia kumalizia, ni akili iliyotumika kutengeneza chance hadi goli
 
]Halafu sasa messi msimu ana magoli mengi sana ya mguu wa kulia, karibia sawa na wa kushoto mara ya mwisho nilivyoangalia lakini mashabiki wa ronaldo kama huyo mbinguni kwetu wameng'ang'ania hoja zao za 2011 ooh sijui hafungi mguu wa kulia, hafungi vichwa sijui. Goli ni goli hata likifungwa kwa kutumia makalio. Cha kushangaza chukua video ya magoli ya messi na chukua video ya magoli ya ronaldo, magoli ya ronaldo asilimia kubwa ni penalty na tap-ins lakini cheki ya messi, mengi ni magoli ya akili. Lakini nashabiki wa ronaldo katika ubora wao watakuambia ooh sijui kamalizia wa kushoto tuu. Ni ujinga kuignore move nzima iliopelekea goli na kuangalia tu mguu uliomalizia. Mnanishangaza sana jinsi mlivyo shallow in your knowledge of football.
Kuna kipindi mwezi wa pili Messi alifululiza magoli zaidi ya 10 ya mguu wa kulia, sio lazima ila anaweza na
Na amefunga magoli ya kichwa ya kutosha tu, sio lazima, lakini messi ni team player, ni umuhimu wa goli kwa mafanikio ya team na sio goli ili kuongeza mashabiki vilaza wanaodhani mpira ni list ya topscorers tu.
Messi anaongoza kwa kutengeneza nafasi za magoli misimu mingapi sijui imepita la liga,
Anaongoza kwa assists,
Anaongoza kwa dribbles completed per game na overall number of dribbles.
Ronaldo kwenye hizo nyanja amepitwa na wachezaji wengi tu tena wengine wa kawaida la liga.
Lakini messi anafanya yote hayo bado anafunga magoli halafu na ni mdogo kwa ronaldo miaka miwili. Tukiassume wote watastaafu umri mmoja, mfano 36, messi ana miaka miwili ya kuzidi kuikuza record yake zaidi na zaidi kushinda ronaldo.
Messi kwanza kamzidi ronaldo magoli team ya taifa,

Mimi nimeamua kuacha kushindana na hawa mashabiki wa ronaldo rasmi.
Hawajui mpira n they lack intelligence
It takes an intelligent person kuweza kutambua an intelligent player.

Kama miaka yote hii unamwangalia messi na unamwangalia ronaldo unaona wanacheza uwanjani halafu kutaka kuwapima unajitoa ufahamu na akili zote halafu unaanza kutumia kigezo kimoja tu kujadili mchezaji na kusema kuwa ndio mchezaji bora wakati huyo mchezaji bora unayesema amepitwa katika vigezo vyote vya mpira vilivyobaki ni upuuzi uliopita kiasi
Mpira sio list ya topscorers, mpira sio mguu unaotumia kumalizia, ni akili iliyotumika kutengeneza chance hadi goli

Halafu sio tu unatumia maneno ya kiingereza tuu. Unajua maana ya neno "objective".
Eti kigezo objective, uliza malegend wote wa mpira halafu uone watakuambia mchezaji nani ni bora. Mpaka sasa sijasikia aliyesema ronaldo ni bora.
Na mpaka sasa sijaona sababu ya kuthink otherwise.
IMHO ronaldo has been overrated for years and that is an understatement
 
Magoli aliyofunga dhidi ya bayern Munich ndo yatakupa jibu Messi ni nani
 
Kama umefuata vigezo naweza kumkubali cr ila kama umebuni kutoka kichwani mwako ili kumpaisha cr basi inabidi nianze.

Mkuu hapa unachambua uchezaji bora au ufungaji bora!?!! Kama ni uchezaji bora vigezo havitoshi.
 
Kuna uchezaji bonafsi kama kutafuta mpira, pasi, kufungua, kuufuata mpira nk, vyote hv hutafutwa kwa mchezaji pia na kuona ameisaidiaje timu.
Unakuta mchezaji anasubiri mapande tu toka kwa wenzake ili akafunge huyu HAPANA.

Nakubaliana nawe kuwa kwa uchezaji bora vigezo bado vichanga kwa sasa.

Mkuu hapa unachambua uchezaji bora au ufungaji bora!?!! Kama ni uchezaji bora vigezo havitoshi.
 
Mkisha maliza kubishana mjue tuzo ya mchezaji bora wa dunia, mfungaji bora la liga, uefa na ile ya ulaya n.k bado viko nyumbani kwa Cristiano Ronaldo, kasirika,nuna,bisha,usibishe,kataa,kubali,cheka,zomea,umia,
Habari ndio hiyo.

Atakama anavyo nyumbani ni vingapi basi maana hata na mwenzie anavyoo
 
Raul alikuwa mfungaji bora wa muda wote pale Real Madrid, je ulishawah kusikia amepata uchezaji bora wa dunia?
 
Raul alikuwa mfungaji bora wa muda wote pale Real Madrid, je ulishawah kusikia amepata uchezaji bora wa dunia?

Hata Alan shearer, Henry walikuwa na bado ni wafungaji bora wa team walizochezea lkn hawakuwai kuwa wachezaji bora wa dunia why ?
 
dah hvi kuna watu bado wanamwaibisha messi kwa kumlinganisha na Ronado? hebu acheni ushabiki bhana af mbebe bendera ya Messi msambaze upendo...yule mtoto ni furaha tu kumuona anavyocheza...mnababaishwa na magoli ya ronaldo ya kuvizia, chacharito angekuwa mrefu angemzidi ronaldo manake na yeye ni mzuri kwa kuvizia.....ila messi anaondoka na mpira katikati ya uwanja na anawaacha mabeki wanacheza kanyamnyela anaenda kufunga goli hadi na kipa anabariki goli.....

.

:bump2:
 
Mmoja ana mechi chache lakini ana magoli mengi, mwingine ana mechi nyingi lakini magoli machache! Katika historia ya la liga Ronaldo ni mchezaji mwenye kasi kubwa ya kufumania nyavu wa muda wote! Hawakukosea kumchagua kuwa mwanasoka bora wa dunia! Kiatu cha dhahabu kinamsubiri mwenzake itabidi asubuhi sana!
 
Hii statistic ya uongo. Nijuavyo mimi ronaldo amecheza nying kuliko messi. Kuna kipindi messi alikuwa hachezi kama unakumbuka.... Sasa hz 36 zmietoka wapi????
 
Messi wa sayari nyingine Wenger,tevez,makocha ,Pele wamekiri wewe jifurahishe na ronaldo wako.tofautisha genius darasani na bundi
 
Huyu Ronaldo mpuuzi sana, tabia yake ya kununa na kutofurahia akifunga mtu mwingine tofauti na yeye imemfanya nimdharau sana. Hana tofauti na mwanamke (ndo wenye tabia kama hizi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…