Kwa kigezo ambacho ni very objective, Ronaldo ni bora kuliko wote hao uliowataja! Magoli ndio lengo la mpira wa miguu, hata uzi huu umekuja baada Ya messi kufunga magoli mawili. Huyo unayemwita real Ronaldo hakuwahi kufunga magoli la liga kwa kasi kama Ronaldo CR7!, hata kwenye orodha ya kumi bora ya la liga ya muda wote hayumo!
]Halafu sasa messi msimu ana magoli mengi sana ya mguu wa kulia, karibia sawa na wa kushoto mara ya mwisho nilivyoangalia lakini mashabiki wa ronaldo kama huyo mbinguni kwetu wameng'ang'ania hoja zao za 2011 ooh sijui hafungi mguu wa kulia, hafungi vichwa sijui. Goli ni goli hata likifungwa kwa kutumia makalio. Cha kushangaza chukua video ya magoli ya messi na chukua video ya magoli ya ronaldo, magoli ya ronaldo asilimia kubwa ni penalty na tap-ins lakini cheki ya messi, mengi ni magoli ya akili. Lakini nashabiki wa ronaldo katika ubora wao watakuambia ooh sijui kamalizia wa kushoto tuu. Ni ujinga kuignore move nzima iliopelekea goli na kuangalia tu mguu uliomalizia. Mnanishangaza sana jinsi mlivyo shallow in your knowledge of football.
Kuna kipindi mwezi wa pili Messi alifululiza magoli zaidi ya 10 ya mguu wa kulia, sio lazima ila anaweza na
Na amefunga magoli ya kichwa ya kutosha tu, sio lazima, lakini messi ni team player, ni umuhimu wa goli kwa mafanikio ya team na sio goli ili kuongeza mashabiki vilaza wanaodhani mpira ni list ya topscorers tu.
Messi anaongoza kwa kutengeneza nafasi za magoli misimu mingapi sijui imepita la liga,
Anaongoza kwa assists,
Anaongoza kwa dribbles completed per game na overall number of dribbles.
Ronaldo kwenye hizo nyanja amepitwa na wachezaji wengi tu tena wengine wa kawaida la liga.
Lakini messi anafanya yote hayo bado anafunga magoli halafu na ni mdogo kwa ronaldo miaka miwili. Tukiassume wote watastaafu umri mmoja, mfano 36, messi ana miaka miwili ya kuzidi kuikuza record yake zaidi na zaidi kushinda ronaldo.
Messi kwanza kamzidi ronaldo magoli team ya taifa,
Mimi nimeamua kuacha kushindana na hawa mashabiki wa ronaldo rasmi.
Hawajui mpira n they lack intelligence
It takes an intelligent person kuweza kutambua an intelligent player.
Kama miaka yote hii unamwangalia messi na unamwangalia ronaldo unaona wanacheza uwanjani halafu kutaka kuwapima unajitoa ufahamu na akili zote halafu unaanza kutumia kigezo kimoja tu kujadili mchezaji na kusema kuwa ndio mchezaji bora wakati huyo mchezaji bora unayesema amepitwa katika vigezo vyote vya mpira vilivyobaki ni upuuzi uliopita kiasi
Mpira sio list ya topscorers, mpira sio mguu unaotumia kumalizia, ni akili iliyotumika kutengeneza chance hadi goli
Halafu sio tu unatumia maneno ya kiingereza tuu. Unajua maana ya neno "objective".
Eti kigezo objective, uliza malegend wote wa mpira halafu uone watakuambia mchezaji nani ni bora. Mpaka sasa sijasikia aliyesema ronaldo ni bora.
Na mpaka sasa sijaona sababu ya kuthink otherwise.
IMHO ronaldo has been overrated for years and that is an understatement