Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Na kwa ujumla kufunga ndiko kuna command matokeo ya mchezo na mafanikio ya timu.
 
Kwa haya maandishi yako basi hata Muller wa Germany nae ni bora kuliko messi maana nae kabeba World cup!?

Sometimes katika maisha kuna watu wana bahati ila hawana uwezo na hapa tunazungumzia uwezo not otherwise.
Hii ndio point iliyopo vitu vingine ni bahati tu lakini ukweli utabaki pale pale jamaa anakipaji cha hali ya juu kacheza fainali tatu hapa karibuni na national timu lakini bahati haikuwa yao. Hata mifano mingi ipo tu mitaani utakuta kilaza tu lakini katoboa life.
 
Na kwa ujumla kufunga ndiko kuna command matokeo ya mchezo na mafanikio ya timu.
Yea kufunga Kuna command matokeo ya mchezo lakn Magoal Yana njia zake..
Pale team inaposhindwa kufunga na ukisubil mipira il ufunge hapo ndo utaonekana mzigo kwenye team...yaan huna mchango maana no scoring and ua nothing in the pitch so in order to avoid that u need to make some movement in the pitch...
 

Yo so bias man, I wonder Aguero, Iniesta, Requelme are above De Lima...like seriously? Be honest man u re fucking in love with Argentina.
 
Unaongea kama kocha !!!
 
Messi amezaliwa anajua ronaldo anafanya sana mazoez na anatumia nguvu kubwa kuwa pale alipo...
 
Majibu ya ilo swali kila mtu atajibu kwa mapenzi yake aidha kwa club au mchezaji mwenyewe.Ila mimi kwavile hawa watu wanacheza namba tofauti na timu tofauti kwangu aliye bora ni yule anayeisaidia timu yake kupata vikombe.Iwe ni timu ya taifa au club.Mim naamin ubora wa mchezaj unatokana na ubora wa wachezaj wenzake uwanjani.Kama ubora wa messi ungekua hautegemei ubora wa wenzake basi inamaana vikombe vyote angeweza kuchukua na hali kadhalika kwa ronaldo.kwasababu unaweza ukawa na kipaj ila kukikamilisha ili kiwe faida lazima upate msaada toka kwa wenzako.Kwaiyo itoshe kusema wote ni sawa kwa nafas zao na ubora wa timu zao na udhaifu wa timu pinzani pia.
 
Unapojaribu kivyako that means mpira haufaham kabsa....runninga zipo.., movement uwanjan tunaziona... Kitaalam Hao watu n tofaut kabsa
 
Tangu kanumba afariki,Ray kigosi kiuwezo hamfikii Gabo hata nusu,,ngoja messi arudi sayari ya kwao ndo utajua ronaldo ni bora kuliko neymar au hazard?
 
Ni kweli ronaldo ni zaidi ya Messi jana kajidhihirisha hilo hakunap ubishi game muhimu magori muhimu
 
Ronaldo alichomzidi messi ni urefu na idadi ya mademu aliokanyaga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…