Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Nafikiri kila zama na mtu wake, ni bahati iliyoje safari hii tumepata magwiji wawili kwa wakati mmoja maana sidhani kama itakuja tokea tena, ila mimi nabaki kwa Dinho, mzee wangu humwambii kitu kuhusu Maradona.
 
Iyo sayari nyingine hakuna watu wanaoishi ndmana anaoneka bora Ila sayari hii yetu ni wapili baada ya ronaldo
 
So unataka kuniambia ronaldo sio talented
Kama ulivyosema talents na hardworking ni mtu na mdogo wake, talent unaweza i-boost zaidi kutokana na kiasi gani una-hard work, ronaldo kwangu namuona ni hard work zaidi ya messi ila simaanishi kuwa ni zaidi ya messi, hii ishu ya nani zaidi kati ya hawa jamaa ni mahaba tu, wote wana flavor tofauti ila wote ni hatari.
Tujivunie kizazi hiki kuwaona wote kwa wakati mmoja.
 
Umeongea fact broo nice
 

Kumbe jamaa ukitulia huwa unatema madini?

Good.
 
Umeongea vema na binafsi nimekuelewa na ombi langu ni wengine nao waelewe kama mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…