Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Nadhani unamzungumzia Cristian Ronaldo hakuna kama yeye dunia hii.. Ila ukija upande wa pili huyu Mess, mbilikimo, Lapuga aka chawa sio mchezaji wa dunia hii ni mchezaji labda sayar nyingine huko most talented ndio maana tunashindwa mfananisha na yoyote
Nafikiri kila zama na mtu wake, ni bahati iliyoje safari hii tumepata magwiji wawili kwa wakati mmoja maana sidhani kama itakuja tokea tena, ila mimi nabaki kwa Dinho, mzee wangu humwambii kitu kuhusu Maradona.
 
Nadhani unamzungumzia Cristian Ronaldo hakuna kama yeye dunia hii.. Ila ukija upande wa pili huyu Mess, mbilikimo, Lapuga aka chawa sio mchezaji wa dunia hii ni mchezaji labda sayar nyingine huko most talented ndio maana tunashindwa mfananisha na yoyote
Iyo sayari nyingine hakuna watu wanaoishi ndmana anaoneka bora Ila sayari hii yetu ni wapili baada ya ronaldo
 
So unataka kuniambia ronaldo sio talented
Kama ulivyosema talents na hardworking ni mtu na mdogo wake, talent unaweza i-boost zaidi kutokana na kiasi gani una-hard work, ronaldo kwangu namuona ni hard work zaidi ya messi ila simaanishi kuwa ni zaidi ya messi, hii ishu ya nani zaidi kati ya hawa jamaa ni mahaba tu, wote wana flavor tofauti ila wote ni hatari.
Tujivunie kizazi hiki kuwaona wote kwa wakati mmoja.
 
Umeongea fact broo nice
 
Kumbe jamaa ukitulia huwa unatema madini?

Good.
 
Kama ulivyosema talents na hardworking ni mtu na mdogo wake, talent unaweza i-boost zaidi kutokana na kiasi gani una-hard work, ronaldo kwangu namuona ni hard work zaidi ya messi ila simaanishi kuwa ni zaidi ya messi, hii ishu ya nani zaidi kati ya hawa jamaa ni mahaba tu, wote wana flavor tofauti ila wote ni hatari.
Tujivunie kizazi hiki kuwaona wote kwa wakati mmoja.
Umeongea vema na binafsi nimekuelewa na ombi langu ni wengine nao waelewe kama mimi
 
Back
Top Bottom