Usiangalie miaka mitano iliyopita angalia miaka yao yote ya soka
over
Hata ukiangalia hivyo bado anaongoza, tatizo watu wanachangia kiubaguzi, kila wakitaja mafanikio yake wanasema yamechangiwa na akina Iniesta lakini hawatakia kutaja ukweli kua Messi ana assist nyingi kuliko hao. Kama mafanikio yake hayawezi kuwepo bila hao tulitegemea akina Iniesta wawe na assist nyingi kuliko yeye. Kwa kipindi chote Ronaldo alichochezea Madrid viungo wa Madrid wamekua na assist nyingi kuliko viungo wa barcelona. Hata kipindi akia Man Utd Roney ndie aliyeonekana kua na assist nyingi. Lakini Messi mda mrefu amekua na assist nyingi kuliko viungo wa club yake, kwa maana hiyo yeye anawachezesha zaidi wenzake.