Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Ah ah ah ah ah ah mbona mbovu kijana! Btw huwa nasikia hizo records just mention
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, Google ipo kwa ajili yako kijana, usinichoshe... Got em........!!!?
 
Eboo!!! We nawe ni mwanamichezo/mpenzi wa soka!!!? Kama ni mwanamichezo kwa nini hujui Messi anafanya nini kwenye soka au Ronaldo anafanya nini kwenye soka au hata Rooney anafanya nini kwenye soka! Kama we ni mwanasoka si kazi yangu kukutajia rekodi fulani inashikiliwa na mchezaji fulani au fualani anashikilia rekodi kadhaa, kama sio mwanasoka please usinichoshe mie... Got em....!!!!!?

sasa kama huwezi kutaja data basi huna la kuongea..support your arguements with data
 
Ronaldo anajikakamua, Messi anaufurahia mpira na kutandaza kabumbu safi.

ana kingine kipi cha kufurahia mtu aliyezaliwa akakaa kwenye chupa kwa muda mrefu kabla ya kuanza kubreath natural air?
 
Mtabishana weeeeeee! Ila ukweli utabaki pale pale kuwa C.Ronaldo iz de BEST!
 
ImageUploadedByJamiiForums1428524864.760843.jpg
 
sasa kama huwezi kutaja data basi huna la kuongea..support your arguements with data

Unataka nikupe data gani kama wewe ni mwanamichezo!!? Kama utaniambia wewe sio mwanamichezo nakuletea data hapa... Got em....!!!?
 
Kuanzia leo Mimi .......... sitakaa nije nibishane huu ubishi wa Messi na Ronaldo kwa sababu ni kumaliza nguvu zangu bure wakati huo muda ningeweza hata kulima nyanya chungu na mbogamboga nikapata hela...maana ntakuwa nabishana kwa kitu kilichopo wazi ni kama mtu aanze kubisha eti duniani kuna Jua zaidi ya moja.ImageUploadedByJamiiForums1430949244.597035.jpgImageUploadedByJamiiForums1430949260.067476.jpgImageUploadedByJamiiForums1430949280.837030.jpg
 
Narudia kusema "hakuna kama Messi"
Kama kuna anayekataa apige simu kwa Buyern Munchen nawema namba zao sasa hivi.
 
Hahahaha..yaani jana dk ya 70 nikamwambia wife hapa ngoma drow messi leo kabanwa..ile naenda washing room nasikia gooooooo heee nikatoka fasta nani huyo naambiwa messi lol..sijakaa sawaa karudi tena katiii....mweee haka katoto ni shiiiidarrrr
 
Kale kajamaa ni mchwa mbaya Sana, anapekecha hadi chuma...Jana yeye Ndo kaamua matokeo ilikuwa draw tayari..
 
Back
Top Bottom