Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kale kajamaa ni mchwa mbaya Sana, anapekecha hadi chuma...Jana yeye Ndo kaamua matokeo ilikuwa draw tayari..
Dawa na messi nahisi ni timu yeyote anayocoach José mourinho
Mheshimiwa ulikua unabishana kuhusu nini na sasa haubishani kuhusu nini? Twende sawa
The Only way to stop Messi is by using gun
Dawa na messi nahisi ni timu yeyote anayocoach José mourinho
Kwa hapa duniani messi hana mpinzani
Kuanzia leo Mimi .......... sitakaa nije nibishane huu ubishi wa Messi na Ronaldo kwa sababu ni kumaliza nguvu zangu bure wakati huo muda ningeweza hata kulima nyanya chungu na mbogamboga nikapata hela...maana ntakuwa nabishana kwa kitu kilichopo wazi ni kama mtu aanze kubisha eti duniani kuna Jua zaidi ya moja.