Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Goli la messi leo ni tamu kuliko magoli 3 ya cr7, linawanyanyua wapenzi wote wa Baca dunia nzima kuupokea UBINGWA, angekuwa anajua huyo cr7wenu angejua kufunga magoli yenye kubadili matokeo, sasa yeye amefunga magoli mengi halafu timu aliyoifungia hayo magoli mengi siyo bingwa.

Inaonyesha cr7 ni mbinafsi kupindukia, hawezi kuwachezesha wenzake ili ushindi wa jumla upatikane.

Cr7 Atachungulia sana kwenye tv wakati wenzie wanajitwika ndoo msimu huu.

Kama ni hivyo mbona msimu uliopita timu ya messi iliambulia patupu la liga? Hapa hatulinganishi timu, bali tunawalinganisha strikers wawili wanavyotimiza majukumu yao yanayofanana! Jukumu la mshambuliaji ni kufunga magoli na si vinginevyo! Akifanya vingine ni ziada. Kwa majukumu yao ya msingi kama washambuliaji ni kufunga magoli! Na katika hilo hakuna ubishi takwimu ziko wazi, Messi magoli 41 katika mechi 37 na Ronaldo ana magoli 45 katika mechi 34! Mwenye macho haambiwi Tazama! Ukitaka kulinganisha timu zao anzisha uzi mwingine!
 
Nyie ndio wale wale msiojua mpira wa miguu. Nani kakuambia kigezo ni magoli peke yake. Tunaojua mpira tunakushangaa.

Kwaa akili zako ndogo hiz za mpira, basi Zidane, Gaucho, na hata The real Ronaldo sio wachezaji bora mana hawakuwa wakifunga mara nyng km anavyofunga CR7.

Mbona Guard Muller alikuwa anafunga sn mpk record yake imevunjwa mwaka jana na Messi na wala hy Muller hyupo ktk list ya wachezaj bora hatar waliowah kuwepo? Naamin hata huyo Muller humjui, we unamjua Thomas Muller tu.

Ngoja niishie hapa, ww kwny mpira bado sanaaaaa.....

Huwezi kumlinganisha Zidane na Messi au Ronaldo kwa kutumia kigezo cha magoli kwa sababu nafasi zao ni tofauti na majukumu yao ni tofauti! Zidane ni kiungo wakati Messi na Ronaldo ni washambuliaji! Viungo wanalinganishwa kwa pass accuracy, stability & ball control, assists, ball holding capacity and the like! Kwa vigezo hivyo vya Viungo Zidane ni kiungo bora wa muda wote! Lakini Messi na Ronaldo wote ni washambuliaji, Hivyo kuwalinganisha kwa kigezo cha magoli ni sahihi maana ndiyo majukumu yao ya msingi kwenye timu. Kama ukitaka kutumia kigezo cha assists, wote wawili inabidi wakae pembeni wawe watazamaji! Huo ni uwanja wa akina Fabrigas, Hazard, Xavi, Iniesta, chini ya mtemi wao Zidane!
 
Hivi ina maana messi naye ni mchovu kwa assist
 
Mkuu so unazungumzia mfungaji na mchezaji bora au? Maana leo nikikuambia unipe record ya Zidane kama alishawah chukua kiati cha dhahabu ila kwann alichukua uchezaji bora?

Mess magori anayofunga yana akil kuliko anayofunga Ronaldo, Ronaldo anafunga magori easy kabisa ambayo ata Sergio Ramos ila angalia anavochukua mpira Mess na kwenda kiweka kimiani utaona utofauti wa Mess na Ronaldo.

Jana nilikuwa na angalia mpira na mshabiki mkubwa wa Ronaldo lakin alikubali kuwa Mess ni zaid ya Ronaldo huku akitumia neno la utani (Mess kweli yule jamaa Zombie) na kunalizia kuwa Ronaldo amepata bahati ya kufunga tu lakin kimsingi hamfikii Ronaldo

Unapolinganisha wachezaji wawili lazima kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Utumie kigezo kinachopimika ili kuondoa subjectivity!
2. Wachezaji wawe na majukumu yanayolingana.
3. Wachezaji wawe katika mazingira yanayofanana kwa Kiasi kikubwa.
Ni halali kuwalinganisha Messi na Ronaldo kwa kutumia magoli kwa sababu ndicho kigezo pekee kinachopimika na ndiyo majukumu ya wote wawili kama washambuliaji ambayo ni kufunga magoli! Na pia wako katika mazingira yanayofanana kwa Kiasi kikubwa maana wote wanacheza ligi moja (la liga), na magoli yao wanayapata kwa kucheza na timu zile zile, wakipambana na mabeki wale wale!
Zaidi ya kutumia magoli huwezi kupata kigezo kingine ambacho ni objective! Vinginevyo watu tunatofautiana kuhusu ladha tunayopenda, usipotumia objective criteria kila mtu atakuja na hisia zake anazoziamini yeye!
Ndiyo maana timu inayoondoka na pointi tatu muhimu ni ile iliyopata magoli mengi kuliko timu pinzani na hakuna ubishi katika hilo maana kila timu iliingia uwanjani ikiwa na jukumu moja la msingi ni Ushindi kwa kigezo cha magoli. Vigezo vingine vyote havipimiki hivyo havina msaada katika kumpata mshindi pasipo ubishi!
Kwa hiyo kwa sasa Ronaldo ni bora kuliko Messi, Messi ana magoli 41 katika mechi 37, wakati Ronaldo ana magoli 45 katika mechi 34!
Habari ingekuwa nyingine kabisa kama Ronaldo angefanikiwa kucheza mechi zote!
Ndio maana mashabiki wa Messi kwa kuzidiwa hoja na vigezo vya kitaalam wanaishia kutoa kejeli na matusi!
Kuhusu
Kuhusu Zidane si haki kumlinganisha Zidane na hawa wengine maana majukumu yao ni tofauti, na hawajacheza katika mazingira sawa, Hivyo huwezi Kupata kigezo kinachopimika kitakachowatendea haki wote.

Ndiyo maana hakuna mchezaji wa dunia aliyewahi kuchaguliwa kwa asilimia inayofikia asilimia 50%. Kwa maneno mengine dunia haijawahi kukubaliana ni nani aliye mchezaji bora wa dunia maana wanatumia kura hivyo zoezi zima kuingiliwa na subjectivity! Huwezi kuwalinganisha kwa haki golikipa, defender, midfielder, na strikers!

Ndiyo maana mtu akichukua kiatu cha dhahabu kama anavyotarajia Ronaldo mwaka huu ni wa kuheshimiwa maana kigezo kinachotumika kinapimika (magoli), na kinawahusisha wachezaji wenye majukumu yanayolingana (strikers)! Ukilikataa hili huwezi kubisha kuwa vigezo unavyotumia havipimiki hivyo kutumia hoja ya nguvu (kulazimisha interest zako binafsi), Badala ya nguvu ya hoja (objectivity).
 
Huwezi kumlinganisha Zidane na Messi au Ronaldo kwa kutumia kigezo cha magoli kwa sababu nafasi zao ni tofauti na majukumu yao ni tofauti! Zidane ni kiungo wakati Messi na Ronaldo ni washambuliaji! Viungo wanalinganishwa kwa pass accuracy, stability & ball control, assists, ball holding capacity and the like! Kwa vigezo hivyo vya Viungo Zidane ni kiungo bora wa muda wote! Lakini Messi na Ronaldo wote ni washambuliaji, Hivyo kuwalinganisha kwa kigezo cha magoli ni sahihi maana ndiyo majukumu yao ya msingi kwenye timu. Kama ukitaka kutumia kigezo cha assists, wote wawili inabidi wakae pembeni wawe watazamaji! Huo ni uwanja wa akina Fabrigas, Hazard, Xavi, Iniesta, chini ya mtemi wao Zidane!

Basi huyu messi hafai mpaka sasa toka la liga ianze 1929 yeye ndiye anaongoza kwa assist nyuma ya figo kweli huyu jamaa ni noma yani kufunga yeye na hata assist yeye kudrible yeye na ndio kwanza 27 yrs hakika huyu ni Mungu wa mpira kwa duniani
 
Umeishiwa hoja! Ronaldo na messi wote ni washambuliaji, jukumu lao la msingi ni kufunga magoli. Hivyo kigezo kizuri cha kuwalinganisha ni kwa Kiasi gani kila mmoja ametimiza jukumu hilo. Hivyo wingi wa magoli waliyofunga katika mazingira sawa ndio kigezo cha kisayansi cha kuwalinganisha! Mpaka sasa kwenye la liga Messi amecheza mechi 37 na amefunga magoli 41, na kasi yake ya kufunga magoli ni magoli 1.108 kwa mechi moja. Ronaldo amecheza mechi 34 na amefunga magoli 45, na kasi yake ya kufunga magoli ni magoli 1.324 kwa mechi moja. Hivyo ni dhahiri kabisa Ronaldo yuko JUU. Messi atasubiri sana!

Nani kakwambia Messi na Ronaldo ni washambuliaji? Wale ni viungo, Ronaldo ni winga ya kulia na shoto pia anapiga ila kule madrid wamempa nafasi ya yeye awe anafunga ili kulinda pesa waliyomnunulia na yeye mwenyewe kuinua jina lake, amini mimi ninachokwambia 'Hakuna mshambuliaji atakaekuja na akawika pale Madrid endapo Ronaldo atakabiziwa jukumu hili hili la kufunha' hujiulizi kwanini misimu yote hiyo Mshambuliaji ni Benzema peke yake? Hata Suarez na Falcao waligoma kwenda kule kutokana na hiyo kitu.
 
Kama ni hivyo mbona msimu uliopita timu ya messi iliambulia patupu la liga? Hapa hatulinganishi timu, bali tunawalinganisha strikers wawili wanavyotimiza majukumu yao yanayofanana! Jukumu la mshambuliaji ni kufunga magoli na si vinginevyo! Akifanya vingine ni ziada. Kwa majukumu yao ya msingi kama washambuliaji ni kufunga magoli! Na katika hilo hakuna ubishi takwimu ziko wazi, Messi magoli 41 katika mechi 37 na Ronaldo ana magoli 45 katika mechi 34! Mwenye macho haambiwi Tazama! Ukitaka kulinganisha timu zao anzisha uzi mwingine!

Unaanzaje kuwataja Messi na Ronaldo ni mastriker?
 
ronardo ni moto wa kuotea mbali sana, mess amecheza barca tu hata nongekuwa mimi nangeshine tu kwani ukishazoeana na wachezaji wengine, lakini ronaldo kama unavyoona mwenyewe amecheza ligi tatu kubwa na nado anatesa tu,
 
samahani mkuu hv katika hayo magoli messi ana goli.ngapi za penati pia ronaldo ana goli ngapi za penat NAOMBA KUJUZWA
 
ronardo ni moto wa kuotea mbali sana, mess amecheza barca tu hata nongekuwa mimi nangeshine tu kwani ukishazoeana na wachezaji wengine, lakini ronaldo kama unavyoona mwenyewe amecheza ligi tatu kubwa na nado anatesa tu,

vp Anderson wa man u au alan shira wa newcastle mbona hawajawa kama Messi na tuambie mkuu wewe umecheza ligi ngap maana umesema ungekuwa kama messi ungeshine
 
messi better than ronaldo - cole

chelsea's joe cole says barcelona's lionel messi is ahead of manchester united star cristiano ronaldo as the best player in the world.

source: Bbc sport|football

mimi binafsi nakubaliana kabisa na maneno ya joe cole hapo juu, messi anatisha!

ujinga ujinga tu
 
Attachments

  • 1431953133501.jpg
    1431953133501.jpg
    13.1 KB · Views: 324
ronardo ni moto wa kuotea mbali sana, mess amecheza barca tu hata nongekuwa mimi nangeshine tu kwani ukishazoeana na wachezaji wengine, lakini ronaldo kama unavyoona mwenyewe amecheza ligi tatu kubwa na nado anatesa tu,

We ndo walewale
 
~ Ronaldo ni mfungaji bora sana sana saaaaaana wa wakati huu.
~ Messi ni mchezaji bora wa wakati wote, genius kutoka sayari nyingine.
kuwachanganya watu hao ni udhaifu tu wa kibinadamu.

Unatumia kigezo, kipi? Je kigezo chako kinapimika? yaani objective criteria, tuambie unapimaje? Kama hakuna kigezo kinachopimika hapo unafanya kazi kama ya mganga wa kienyeji, chochote anachoamua mganga anatazamia watu wakubali bila kigezo cha kisayansi! Kwa kigezo kisichopimika kila mtu anaweza kuwa mchezaji bora! Maana hapo kinachotumika ni mapenzi binafsi ambacho ni very subjective!
 
Kwa maandishi haya, nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako!

Certified insane! Lol!

Acha ushabiki mkubwa toka kwenye ako kajela upate uhuru wa kufurahia soka..inachukua miaka mingi sana Dunia kupata watu wa kariba ya messi, umepata nafasi usijinyongee..wewe furahia rhythim ya soka ya Messiah wa soka..Messi!

CR7 nampa pongezi inataka ujasiri mkubwa kujaribu kupambana na Messi..

Wote wanaomshabikia Messi hawawezi kuja na vigezo vya kisayansi vinavyopimika (objective criteria), wanaishia kusema Messi ni bora bila kipimo! They are just imposing their subjectivity! Nawauliza nini jukumu la Messi akiwa uwanjani kama mshambuliaji? Hapo huwezi, kusema jukumu lake ni assists, magwiji wa assists tunawafahamu na messi si miongoni mwao! Jukumu la Messi ni kufunga magoli! Na anapimwa kisayansi na kulinganishwa na washambuliaji wengine kwa kigezo cha magoli! Anayebisha aje hapa na kigezo kingine kinachopimika! Mtaishia kutukana tu maana hamna hoja ya msingi zaidi na mapenzi binafsi yasiyopimika!
 
Messi eulogised after leading Barca to La Liga triumph

MADRID (Reuters) - Spain's biggest selling sports daily Marca summed it up in Monday's headline after Barcelona wrapped up a fifth La Liga title in seven years and their 23rd overall on Sunday: "Messi's League".

The Argentina forward scored a typically brilliant goal to secure a 1-0 win at Atletico Madrid exactly a year after last season's champions pipped Barca to the title with a 1-1 draw at the Nou Camp on the final day of the campaign.

Barca's latest triumph was the first part of a possible treble of Champions League, domestic league and Cup crowns, which Barca became the only Spanish club to achieve in 2008-09 under Pep Guardiola.

Messi's goal was his 41st in 37 La Liga appearances this term, four behind top scorer Cristiano Ronaldo, whose Real Madrid side are four points adrift of their arch rivals with one game left.

Messi has also made an incredible 17 assists and it has been his scintillating form since the turn of the year, after he broke the La Liga scoring record in November, that has been the main driving force behind Barca's treble charge.

They meet Juventus in the Champions League final on June 6, a week after hosting Athletic Bilbao for the King's Cup final, an impressive achievement for coach Luis Enrique in his first season in charge.

"Right now I am thinking about all those who have helped us win this title, without exception," Luis Enrique told a news conference after the match at the Calderon.

"There are still two titles up for grabs and then we will know what mark we can award ourselves, but winning this league makes us very happy," added the former Barca and Spain midfielder.

Barca's defence, marshalled by Chile goalkeeper Claudio Bravo, has also played its part, conceding a mere 19 goals in 37 La Liga games, while Real leaked 35.

But club talisman Messi predictably dominated Monday's front pages after the 27-year-old again proved decisive when it mattered most.

Exchanging passes with Pedro, he found the tiny amount of space he needed in the crowd of defenders and clipped a precise shot into the corner to seal what was undoubtedly "Messi's League".
 
The difference between (Messi Ronaldo )
 
Attachments

  • 1431981066868.jpg
    1431981066868.jpg
    49.4 KB · Views: 159
Unapolinganisha wachezaji wawili lazima kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Utumie kigezo kinachopimika ili kuondoa subjectivity!
2. Wachezaji wawe na majukumu yanayolingana.
3. Wachezaji wawe katika mazingira yanayofanana kwa Kiasi kikubwa.
Ni halali kuwalinganisha Messi na Ronaldo kwa kutumia magoli kwa sababu ndicho kigezo pekee kinachopimika na ndiyo majukumu ya wote wawili kama washambuliaji ambayo ni kufunga magoli! Na pia wako katika mazingira yanayofanana kwa Kiasi kikubwa maana wote wanacheza ligi moja (la liga), na magoli yao wanayapata kwa kucheza na timu zile zile, wakipambana na mabeki wale wale!
Zaidi ya kutumia magoli huwezi kupata kigezo kingine ambacho ni objective! Vinginevyo watu tunatofautiana kuhusu ladha tunayopenda, usipotumia objective criteria kila mtu atakuja na hisia zake anazoziamini yeye!
Ndiyo maana timu inayoondoka na pointi tatu muhimu ni ile iliyopata magoli mengi kuliko timu pinzani na hakuna ubishi katika hilo maana kila timu iliingia uwanjani ikiwa na jukumu moja la msingi ni Ushindi kwa kigezo cha magoli. Vigezo vingine vyote havipimiki hivyo havina msaada katika kumpata mshindi pasipo ubishi!
Kwa hiyo kwa sasa Ronaldo ni bora kuliko Messi, Messi ana magoli 41 katika mechi 37, wakati Ronaldo ana magoli 45 katika mechi 34!
Habari ingekuwa nyingine kabisa kama Ronaldo angefanikiwa kucheza mechi zote!
Ndio maana mashabiki wa Messi kwa kuzidiwa hoja na vigezo vya kitaalam wanaishia kutoa kejeli na matusi!
Kuhusu
Kuhusu Zidane si haki kumlinganisha Zidane na hawa wengine maana majukumu yao ni tofauti, na hawajacheza katika mazingira sawa, Hivyo huwezi Kupata kigezo kinachopimika kitakachowatendea haki wote.

Ndiyo maana hakuna mchezaji wa dunia aliyewahi kuchaguliwa kwa asilimia inayofikia asilimia 50%. Kwa maneno mengine dunia haijawahi kukubaliana ni nani aliye mchezaji bora wa dunia maana wanatumia kura hivyo zoezi zima kuingiliwa na subjectivity! Huwezi kuwalinganisha kwa haki golikipa, defender, midfielder, na strikers!

Ndiyo maana mtu akichukua kiatu cha dhahabu kama anavyotarajia Ronaldo mwaka huu ni wa kuheshimiwa maana kigezo kinachotumika kinapimika (magoli), na kinawahusisha wachezaji wenye majukumu yanayolingana (strikers)! Ukilikataa hili huwezi kubisha kuwa vigezo unavyotumia havipimiki hivyo kutumia hoja ya nguvu (kulazimisha interest zako binafsi), Badala ya nguvu ya hoja (objectivity).

Mkuu umeandika vitu vingi mno ila sawa haina shida lakin ninamaswali yangu machache tu,

1) Ni vigezo vipi vinaangaliwa wakati wa utoaji tuzo za uchezaji bora? (Yaani ili mchezaji awe mchezaji bora anatakiwa aweje?)

2) Leo hii ungepata nafasi yakuchagua mchezaji bora ww ungemchagua nani?

3) Katika kumbukumbu yangu top 3 ya mbio ya tuzo ya uchezaji bora ya mwaka 2014/2015 walibaki wachezaji watatu 3 ambao ni Mess, Ronaldo na Neue, Je FIFA walitumia kigezo kipi kuwalinganisha wakina Mess na Ronaldo na huyu kipa Neue na hatimae Ronaldo kuchukua tuzo ya uchezaji bora?
 
Messi amechezea Barcelona misimu 11 ba CR amechezea Real Madrid misimu 6 halafu mnalinganisha magoli ya kufunga na hat trick bila kutofautisha misimu waliyocheza, CR he's the best.
 
Cretivty ktk profesional yako ndo inakufanya uwe bora.CR7 Hata angekuwa na magoli 50,mess 20.mesi bdo angekuwa bora magoli anayo funga mess yana raha sana tofauti na CR7.
All in all,only ni wanafiki pekee ndo wanao mlinganisha CR7 NA MESS.KTK SOKA LA SASA HAKUNA KAMA MESS.
 
Back
Top Bottom