Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Unaweza kupata mtoto then baadae ukaanza kuuza kivuko. Kuwa na mtoto siyo issue. Safari za Morocco zinatia shaka

Hizi chuki zetu washabiki huwa zipo tu. Safari za morocco zinakupa mashaka,safari zake nyingine hazikupi mashaka?! Maisha yake nje ya uwanja vipi?! Demu wake wa sasa vip? Au habari zake huyo Ronaldo na Messi mpk mkazipate kwa watu makanjanja wenzenu?! Kuweni na ushahidi na facts za kutosha kabla hamjahukumu.
 
tena ni dhambi kwa mungu kumfananisha ronaldo na messi...
baada ya mechi ya manchester na barca ile ya old trafold washabiki wa manchester waliingia uwanjani kwenda kumlaki messi kama masiya, je kwa nini hawakwenda kwa ronaldo?

Gang upo ndugu yangu? Nimefurahi mno kuona comments zako kwa mfalume messi unavomfagilia na kumpa haki stahiki.ambaye hana mpinzani hadi sasa tangia soka lianze kuchezwa. Alakini why cku hizi unamponda sana mzee 😀😀😀
 
ni sawa na kufananisha usingizi na kifo....messi ni maestro.
diego armando maradona hakuwa mjinga kusema messi ndo mrithi wangu katika soka.
sasa kama mnamkubali maradona basi myakubali na maneno yake.

un messi que club

Kamanda gang umeongea ukweri mzee. Ndyomana nasema ivi hawa wawili weka mbali na taka taka

Messi
Maradona
Pele
Zidane
Requelme n.k
 
Mkubwa UNANISIKITISHA sana unavyochukua mawazo ya CASHLEY na kuyakubali.
Cole amepewa shida sana na Ronaldo akiwa ARSENAL na alikuwa anampania sana Ronaldo ,sifikirii kama Cole anaweza kumkubali RONALDO
Watu kama MESSI,KAKA,SCOLARI,CAPELO,LIPI,TORES,CARVARLO wanamkubali RONALDO kwa wakati huu
Katika hii Dunia Ukweli ni mmoja kwamba ata Mashabiki wa Ronaldo na Ronaldo Mwenyewe wanakubali kwa La Pulga ni Bora kuliko lakini ndo ile kukaza shing hawataki kukubali
 
Messi better than Ronaldo - Cole

Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world.

Source: BBC Sport|Football

Mimi binafsi nakubaliana kabisa na maneno ya Joe Cole hapo juu, Messi anatisha!
Nadhani watu hawajui na mtatafuta uwiano maishani mwenu lakini hamta pata jibu,,jibu ni hili kwamba..Utofauti wao ni yule ni Messi na yule ni Ronaldo huo ndio utofauti wao
 
ni sawa na kufananisha usingizi na kifo....messi ni maestro.
diego armando maradona hakuwa mjinga kusema messi ndo mrithi wangu katika soka.
sasa kama mnamkubali maradona basi myakubali na maneno yake.

un messi que club
Siku hizi unamchukia sana King Messi
 
tena ni dhambi kwa mungu kumfananisha ronaldo na messi...
baada ya mechi ya manchester na barca ile ya old trafold washabiki wa manchester waliingia uwanjani kwenda kumlaki messi kama masiya, je kwa nini hawakwenda kwa ronaldo?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23]
kama utapata bahati ya kukutana na sir alex mkiwa mpo wawili tu jaribu kumuuliza hili swali, then i hope atakwambia "please lakini usiimwambie mtu, messi ni sayari nyingine hana mpinzani"...kisha ataondoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kwa nini kwa sasa humpendi Messi au sababu kawaua Milan
 
Gang Chomba,Kana ka Nsungu nyie wote ni washabiki wa ARSENAL na RONALDO amewatesa sana ARSENAL
At this moment RONALDO IS HOT, EVEN MESSI HAS DECLARED THAT RONALDO IS THE BEST AT THE MOMENT
Kumbe @Gangchomba alikuwa mshabiki wa Arsenal [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kwa nini kwa sasa humpendi Messi au sababu kawaua Milan

Gang bwana kavunja wa2 mbavu. Alikuwa kipenzi cha mfalme😀😀

Leo anamchukia kinoma bcoz aliwatesa
 
Back
Top Bottom