Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu nimeongea ukipendacho eeh, tukutane mtaa wa pili kule!Kumbe jamaa ukitulia huwa unatema madini?
Good.
Unaweza kupata mtoto then baadae ukaanza kuuza kivuko. Kuwa na mtoto siyo issue. Safari za Morocco zinatia shakaBabu anamtoto yule
Unaweza kupata mtoto then baadae ukaanza kuuza kivuko. Kuwa na mtoto siyo issue. Safari za Morocco zinatia shaka
tena ni dhambi kwa mungu kumfananisha ronaldo na messi...
baada ya mechi ya manchester na barca ile ya old trafold washabiki wa manchester waliingia uwanjani kwenda kumlaki messi kama masiya, je kwa nini hawakwenda kwa ronaldo?
ni sawa na kufananisha usingizi na kifo....messi ni maestro.
diego armando maradona hakuwa mjinga kusema messi ndo mrithi wangu katika soka.
sasa kama mnamkubali maradona basi myakubali na maneno yake.
un messi que club
Katika hii Dunia Ukweli ni mmoja kwamba ata Mashabiki wa Ronaldo na Ronaldo Mwenyewe wanakubali kwa La Pulga ni Bora kuliko lakini ndo ile kukaza shing hawataki kukubaliMkubwa UNANISIKITISHA sana unavyochukua mawazo ya CASHLEY na kuyakubali.
Cole amepewa shida sana na Ronaldo akiwa ARSENAL na alikuwa anampania sana Ronaldo ,sifikirii kama Cole anaweza kumkubali RONALDO
Watu kama MESSI,KAKA,SCOLARI,CAPELO,LIPI,TORES,CARVARLO wanamkubali RONALDO kwa wakati huu
Nadhani watu hawajui na mtatafuta uwiano maishani mwenu lakini hamta pata jibu,,jibu ni hili kwamba..Utofauti wao ni yule ni Messi na yule ni Ronaldo huo ndio utofauti waoMessi better than Ronaldo - Cole
Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world.
Source: BBC Sport|Football
Mimi binafsi nakubaliana kabisa na maneno ya Joe Cole hapo juu, Messi anatisha!
Ronaldo anajua sana in short haelezeki
Messi kiumbe kingine. Alichofanya Bernabeu anapaswa kupewa heshima yake.
Siku hizi unamchukia sana King Messini sawa na kufananisha usingizi na kifo....messi ni maestro.
diego armando maradona hakuwa mjinga kusema messi ndo mrithi wangu katika soka.
sasa kama mnamkubali maradona basi myakubali na maneno yake.
un messi que club
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23]tena ni dhambi kwa mungu kumfananisha ronaldo na messi...
baada ya mechi ya manchester na barca ile ya old trafold washabiki wa manchester waliingia uwanjani kwenda kumlaki messi kama masiya, je kwa nini hawakwenda kwa ronaldo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kwa nini kwa sasa humpendi Messi au sababu kawaua Milankama utapata bahati ya kukutana na sir alex mkiwa mpo wawili tu jaribu kumuuliza hili swali, then i hope atakwambia "please lakini usiimwambie mtu, messi ni sayari nyingine hana mpinzani"...kisha ataondoka
Kumbe @Gangchomba alikuwa mshabiki wa Arsenal [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gang Chomba,Kana ka Nsungu nyie wote ni washabiki wa ARSENAL na RONALDO amewatesa sana ARSENAL
At this moment RONALDO IS HOT, EVEN MESSI HAS DECLARED THAT RONALDO IS THE BEST AT THE MOMENT
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kwa nini kwa sasa humpendi Messi au sababu kawaua Milan