Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Ronaldo alipo ulizwa na pedro mwandishi wa habari wa cnn ilikuwa hvi" pedro:is it you or messi? Ronaldo: me, ila akaja kujifunga hapa alipo ulizwa umetumia vigezo gan, akasema, i will put the two of them in one box and i will choose who scores many goals,and who helps hz tim to win trophz,nikaona kumbe unamkubali kiaina
 
Kuna namna mbili za maoni ulimwenguni: subjective na objective. Objective ni yale ambayo usahihi wake ni mmoja tu; kama kuna kauli mbili tofauti juu ya jambo hilohilo moja, basi angalau mojawapo (au hata zote) lazima itakuwa sio sahihi. Ni objective kwa sababu object ya maoni hayo ni moja tu. Mfano, 2x2=4. Yeyote anaydhani jawabu sio nne, amekosea. Lakini subjective opinion ni ile ambayo kunaweza kuwa na maoni hata alfu juu ya jambo hilohilo moja, na yote yakawa sahihi kulingana na hoja zilizojengwa. Ni subjective kwa sababu kila subject wa hoja hiyo anaweza kuwa na maoni tofauti. Kwa mfano, ni kipi chakula kitamu baina ya sembe na biriani. Kila mmoja anaweza kutoa maoni tofauti yaliyo sahihi kwa mujibu wa atavyojenga hoja yake. Hili la Messi na Ronaldo ni subjective, ingawa kuna kasoro kidogo kwenye ujenzi wa hoja husika. Sawa mmoja kafunga magoli mengi zaidi ya mwenzake au katoa pasi za mwisho nyingi zaidi ya mwenzake. Lakini wanachezea timu tofauti! Jaalia Messi angekuwa akichezea Madrid, angefanya vyema kama anavyofanya Ronaldo huko? Na kinyume chake je? Huyu mmoja ameshaonyesha uwezo akiwa na klabu mbili za nchi mbili tofauti. Je na huyu aliyechezea klabu moja ya nchi hiyohiyo moja akihamia klabu ya nchi nyingine atafanya kama alivyofanya mwenzake? n.k. Sina upande kwenye hili, ila ni kusaidia tu kutoa tanbihi (tahadhari) ya kuliangalia swala lenyewe (na malumbano yote mengine kwenye nyanja zote nyingine) kwa mtizamo ulio sahihi zaidi.
 
BZCedaHCQAAMB0S.jpg
 
Messiiiiiiiiiiiiiiiiiii anatisha coz kwenye picha yake naona mchanga mchanga kibao wa trophies, wakati Ronaldo anatrophy 6 tu. Messiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni zaidi ya CR7 mara 2000

kwa i.d yako na ulichoandika sishangai....ila ukweli utabaki pale pale!!!
 
ukiwa mwanasoka na ukazaliwa kizazi cha Messi basi we unabahati mbaya kama ya Ronaldo
 
jamani nisaidien apa toka messi ameanza kucheza mpira hadi leo ana magoli mangapi kwa ujumla na cr7 nae anayo mangapi kwa ujumla? ur help plz
 
Kiukweli Ukitaja majina yao kwenye (Club)zoa bhasi utasikia jamaa wanajua Lakin tatizo linakuja kwenye team za taifa umaarufu wao wote unapoteoa Ronaldo huyu Si wakuisaidia Team yake ya Taifa pia Mess nae ivyoivyo Msaada hakuna kabisa Kwa Team ya taifa mi sielewi tatizo nin.??
 
Kwa upande wa ronaldo jibu lipo wazi kwan aina ya wachezaji wa timu ya taifa ya ureno viwango vyao ni vya kawaida sana hivyo hapati msaada wa kutosha kama akiwa madrid. kwa upande wa mess tatizo halijulikana kwan kwenye timu yao ya taifa kuna wachezaji wengi wazuri kama akina di maria, aguero,
lavezzi na wengine.
 
Kiukweli Ukitaja majina yao kwenye (Club)zoa bhasi utasikia jamaa wanajua Lakin tatizo linakuja kwenye team za taifa umaarufu wao wote unapoteoa Ronaldo huyu Si wakuisaidia Team yake ya Taifa pia Mess nae ivyoivyo Msaada hakuna kabisa Kwa Team ya taifa mi sielewi tatizo nin.??

olympic 2008 ? w.cup qualification na W.cup yenyewe uliangalia kweli ? angalia pia fifa rankings katika ngazi ya taifa then urudi !!
 
Kiukweli Ukitaja majina yao kwenye (Club)zoa bhasi utasikia jamaa wanajua Lakin tatizo linakuja kwenye team za taifa umaarufu wao wote unapoteoa Ronaldo huyu Si wakuisaidia Team yake ya Taifa pia Mess nae ivyoivyo Msaada hakuna kabisa Kwa Team ya taifa mi sielewi tatizo nin.??

Unafananisha Benz na Bito? Messi ( Benz ) Wakati Ronaldo ( Bito )...Kwa Mlio MAPOPOMA Bito Ni Gari Aina Ya Volkswagen.
 
Unafananisha Benz na Bito? Messi ( Benz ) Wakati Ronaldo ( Bito )...Kwa Mlio MAPOPOMA Bito Ni Gari Aina Ya Volkswagen.
Hujielewi mkuu.
Unataka fananisha mafua na ebola..?? Ronaldo Ebola, Mess Mafua... Chati zao hazifanan kabisa katika kuleta majanga.
Tanzania kila siku watu wanaugua mafua hawafi,ata kutengwa haitengwi.!! Nenda Afrika magharibi,habari Ebola,usiombe ije Afrika mashariki...
 
Back
Top Bottom