Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo kaanza kuchezea timu ya Ureno mwaka 2003 wakati Messi kaanza kuchezea timu ya Argentina mwaka 2005. Kwahiyo wanapishana miaka miwili. Basi tuwahesabie magoli yao kuanzia mwaka 2005 ambapo wote walianza kucheza. Yaani magoli ya Ronaldo aliyofunga mwaka 2003 na 2004 tusiyahesabu! Tukifanya hivyo mpaka sasa Ronaldo atakuwa na magoli 100 wakati Messi ana magoli 73 tu toka 2005 mpaka sasa!!nakaxia hapo hapo...
shabiki weng wa cr hawajuagi kuwa cr kacheza mechi nying kuliko messi...
Mimi sio wa kumtafuta Ronaldinho YouTube.Mzee wa game la show wa muda wote ni Ronadinnho!! Wote waliowahi kucheza mpira hakuna anayejua kuuchezea mpira kama anavyotaka!! Jkitaka kuyaona maajabu yake weka bandk la nguvu halafu mtafute you tube!!
Tuwekee na penati. Je katika hayo magoli ya mesi ni mangapi ya kawaida na mangapi ni penati. Na cr hivyo hivyo tupe ya penati mangapi katika hayo magoli
Basi mjadala ufungwe mpaka hapo kwa kuhitimisha kuwa Ronaldo ni bora kuliko MessiTakwimu za penati kwa RONALDO na MESSI kwenye mechi za Kimataifa
RONALDO
Mabao -109
Penati -14
*Sawa na 13% ya mabao yake yote
MESSI
Mabao -73
Penati -17
*Sawa na 17% ya mabao yake yote
Magoli aliyofunga Ronaldo kwenye Euro 2020 ni dhidi ya Ujerumani, Ufaransa na Hungary!! Timu zote hizo ziko juu kwenye msimamo wa FIFA tofauti na unavyotaka kusema!! Kwa sasa Messi amezeeka kuliko kuliko Ronaldo japo miaka yake ni kidogo! Umri na uzee ni vitu tofauti! Umri ni namba lakini uzee ni hali ya kutokujiweza kufanya mambo ambayo mwanzoni uliweza kuyafanya bila shida!! Kielelezo cha uzee wa Messi: mechi 3 goli 1 huko copa america lakini Ronaldo mechi 3 goli 5! huko Euro 2020! Hakika namba hazidanganyiSix ballon D'ors!
Mjadala ulifungwa hapo. Mmoja ni mchezaji bora duniani mara tano, wakati mwingine ni mchezaji bora duniani mara sita.
Wewe endelea kuhesabu magoli wanayofungwa North Ireland, Malta na Faroe Islands. Sisi tulifunga mjadala hapo kwenye ballon d'ors!
Six ballon D'ors, endelea kujifanya hujayaona hayo maneno!Magoli aliyofunga Ronaldo kwenye Euro 2020 ni dhidi ya Ujerumani, Ufaransa na Hungary!! Timu zote hizo ziko juu kwenye msimamo wa FIFA tofauti na unavyotaka kusema!! Kwa sasa Messi amezeeka kuliko kuliko Ronaldo japo miaka yake ni kidogo! Umri na uzee ni vitu tofauti! Umri ni namba lakini uzee ni hali ya kutokujiweza kufanya mambo ambayo mwanzoni uliweza kuyafanya bila shida!! Kielelezo cha uzee wa Messi: mechi 3 goli 1 huko copa america lakini Ronaldo mechi 3 goli 5! huko Euro 2020! Hakika namba hazidanganyi
Lazima pia utazame position wanazocheza ,Messi national timu ni kiungo mshambuliaji wakati Ronaldo ni mshambuliaji direct.Na kasi ya kufunga je? Yaani minutes per goal? Je kkla mmoja anahitaji dakika ngapi aweze kufunga goli moja? Hata ukianzia kuwahesabia magoli kwa mwaka ule ambao mdogo (maana hapa hatutaji majina ni namba tu zinazungumza) alianza kuchezea timu ya wakubwa bado mmoja anazidiwa sana!! Maana kupishana kwao ni takriban miaka miwili tu.
Euro iliyopita alifunga magoli mangapi baada ya kucheza mechi 6? Je alifunga goli 18 ili kuhanikiza hoja yako ya kwamba anafunga sana kadri muda unavyokwenda?Kasi ya Messi ya kufumania nyavu ni asilimia 20% tu ukilinganisha na kasi ya Ronaldo. Kwa mechi 3 alizocheza Messi kwenye mashindano ya Copa America yanayoendelea sasa amefunga goli 1 tu. Lakini kwa mechi 3 alizocheza Ronaldo kwenye mashindano ya Euro 2020 yanayoendelea sasa amefunga magoli 5!! What a difference!! Tukubaliane Ronaldo ni wa kutoka sayari nyingine!! Kwa umri wa Ronaldo wa miaka 36 usingetegemea awafunike wachezaji vijana kama kina Messi, Mbape, Lukaku, nk. Sababu pekee ni kwamba R7 ni wa kutoka sayari nyingine!! Dunia anasubiri maajabu ya Ronaldo kwenye kombe la dunia mwakani 2022!!
Hivi mkuu unafuatilia mpira kweli au unausoma tu kwenye magazeti na mtandaonii? Neymar hajawahi kushinda hata kikombe cha kahawa na brazil?Kwani uchezaji bora unapimwa kwa uwezo wa kufunga tu? Kumbe waliompa Ballon D'Or Cannavaro na Zidane walikosea sio? Wabongo bhana! Mtu anakurupuka hapa anakuja na Mtu mwenye Magoli mengi Timu ya Taifa kutaka kuwaaminisha Watu kuwa ndiye mchezaji bora.
Soon mutakuja na Posts ya Kuwa Neymar ndiye mchezaji bora wa Brazil wa Muda wote manake anaelekea kuvunja every record ya Wafungaji bora wa Timu ya Taifa akiwemo Pele mwenyewe wakati hajawahi kushinda hata kikombe cha kahawa.
Mkuu!!!MESSISTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME
- 73GOALS
- 43ASSISTS
- 146APPS
- 165 mins per goal
- 104 mins per goal contribution
RONALDOSTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME
- 106GOALS
- 30ASSISTS
- 176APPS
- 132 mins per goal
- 103 mins per goal contribution
Tofauti ya 6 na 5 ni ndogo lakini tofauti ya 109 (magoli ya Ronaldo) na 73 (magoli ya Messi) kwenye mechi za kimataifa ni kubwa sana!! Namba zinajieleza!!Six ballon D'ors, endelea kujifanya hujayaona hayo maneno!