Messi vs Ronaldo: Rekodi mechi za kimataifa-Namba hazidanganyi!

Messi vs Ronaldo: Rekodi mechi za kimataifa-Namba hazidanganyi!

Tuwekee na penati. Je katika hayo magoli ya mesi ni mangapi ya kawaida na mangapi ni penati. Na cr hivyo hivyo tupe ya penati mangapi katika hayo magoli
Toa goli 14 hapo kwenye hzo 109
Na kwa messi toa 17 halafu piga tena upya hizo bila hizo penati na pia hapo kwa cr toa magoli ya frekick pia
Haya kaangalie mtandaoni nakungoja hapa
 
Six ballon D'ors, endelea kujifanya hujayaona hayo maneno!
Ballon d'or ni kura kiongoz watu wanakaa wanapiiga kura ni kama ambavo watu katika muziki wengine w6anaclaim kwamba ukubwa au ubora wa msanii sio tuzo....
2010 tuzo ya ballon d'or alitakiwa apate schneider ila kura zikamkosesha
Kuna xavi
Kuna iniesta
Kuna wachezaji wengi watu wanadebate wameikosa d'or wamekosa hio tuzo kimakosa yote hayo kisa kura

Umesahau ronaldo alifunga goli la tiktak kwenye goli la wiki dhidi ya juve lakini tuzo akapewa salah?
 
Neymar mzee wa game la show, hawa sio level zake..

Unanikumbusha okocha, na mbwembwe zake nyiingi, wakati mwingine anafosi kufanya vitu havina faida na timu, hii ilimcost saana huyu legend wa kinaijeria.
Neymar as soon as atakapoetaaf na rekodi yake itakomea hapo
 
Lazima pia utazame position wanazocheza ,Messi national timu ni kiungo mshambuliaji wakati Ronaldo ni mshambuliaji direct.
Kama Messi angekuwa anacheza position ya Ronaldo yaani mshambuliaji tu basi Messi angekuwa juu kwa idadi ya mabao na real example ni idadi ya mabao aliyoyafunga wakati wa Guardiola alipomchezesha kama false 9 yaani alikuwa ana kazi moja tu nayo ni kufunga ndiyo maana 2011-2012 alifunga mabao 91 kwa msimu hii ni rekodi ya dunia ila tangu waondoke akina Iniesta na Xavi amekuwa more creater wa nafasi za kufungwa kwa wengine ndiyo maana baada ya hapo amekuwa na assist nyingi zaidi maana haangaliwi yeye zaidi kama focal point ya kufunga bali anatengeneza nafasi na kusaidia kufunga.

Kwangu Messi anakuwa bora zaidi na kwa takwimu Ronaldo kacheza mechi 30 zaidi ya Messi hivi unadhani Messi angekuwa ni no 9 kama anavyochezeshwa Ronaldo siku hizi katika mechi hizo 30 angekuwa ana mabao mangapi ?
Na ukisema hibo na pia team ronaldo watasema mengi pia kujitetea mkuu sasa na ronaldo pia england na real madrid mwanzoni alicheza kama winger ni baadae baada ya kuja zidane ndio akabadilishiwa role...
Hata taifani pia alianza kama winger je angekua ameanza na ku poach kama sahv ingekuaje maana tu mtu ana 36 yrs anafunga vile
 
Uki
Kwani uchezaji bora unapimwa kwa uwezo wa kufunga tu? Kumbe waliompa Ballon D'Or Cannavaro na Zidane walikosea sio? Wabongo bhana! Mtu anakurupuka hapa anakuja na Mtu mwenye Magoli mengi Timu ya Taifa kutaka kuwaaminisha Watu kuwa ndiye mchezaji bora.

Soon mutakuja na Posts ya Kuwa Neymar ndiye mchezaji bora wa Brazil wa Muda wote manake anaelekea kuvunja every record ya Wafungaji bora wa Timu ya Taifa akiwemo Pele mwenyewe wakati hajawahi kushinda hata kikombe cha kahawa.
Ukiesema kikombe pia basi naye messi anaangukia kwa neymar chief

Magoli yoote hana hata kikombe cha kahawa😂😂
 
mmoja kapiga gem 146
mngine kapiga gem 176
nahisi tofauti inaanzia hapoo
Namba hazidanganyi.Kama Messi amefunga magoli 73 kwa mechi 146 ina maana anahitaji mechi 2 ili afunge goli 1. Tofauti ya mechi kati yao ni 30. Kwa hiyo kwa kasi ya Messi angefunga magoli 15 katika hizo mechi alizopungukiwa. Ukimwongezea hayo magoli 15 anafikisha magoli 88, wakati Ronaldo ana magoli 109!!! Namba hazidanganyi.
Lakini pia tukiwahesabia magoli yao kwa kipindi ambacho wote walikuwa wanacheza yaani kuanzia mwaka 2005. Yaani tusiyahesabu magoli aliyofunga Ronaldo mwaka 2003 na 2004. Tukifanya hivyo tunamwondolea Ronaldo magoli 9, atabaki na magoli 100, na Messi magoli yake 73!! Namba hazidanganyi!!
 
Hivi hapa tunajadili mchezaji bora au mfungaji bora? Mimi naamini kuna tofauti ya mfungaji bora na mchezaji bora. Kama wachezaji hawa wote ni ma super star kwa miaka mingi lakini hawa wote wawili wameshindwa kuzisaidia nchi zao kuchukuwa WC. Pia huu ni mwaka wa 3 wa champions league wote wawili hawajafika mbali na club zao na zaidi uchezaji wao tofauti hawafanani. Ronaldo yuko direct sana na mfungaji mzuri sana tu alikuwa japo sio siku hizi unaona wakati mwingine anataka kufanya trick zake ila umri unakataa. Messi kiufundi ni fundi hasa ule wakati wake japo naye ame slow sio Messi yule leo Messi kabakiza wiki contract iishe soko liko kimyaaa. Leo Ronaldo Juve wanatafuta njia ya kumtoa soko kimyaa. Nadhani kuanzia sasa tutakuwa tunaongelea team bora sio mchezaji bora na Italy wametufundisha EURO hawana ma star majina makubwa ila wanacheza kama team wachezaji wengine tunaanza ku search huyu anacheza wapi mbona nilikuwa simjui. Yule mtoto wa German ndio nimejuwa yuko Atalanta. Miaka hii sasa itakuwa team bora ndio inashinda ila hawa wote watabaki katika History kama wachezaji bora wamecheza mpira. Ronaldo wa Brazil, Ronaldinho, Messi, CR, Xavi, Iniesta.....
Goal = Lengo/shabaha!! Lengo la mpira wa miguu ni kufunga magoli na si vinginevyo!! Pointi hupatikana kwa kufunga timu pinzani!! Utamu wote wa mpira kilele chake ni goli. Kwa hiyo anayefanikisha kufikia lengo hilo ni mchezaji bora sana!! Kwa mantiki hiyo Ronaldo ni mchezaji bora.
 
Mkae mkijua America ya kusini timu zao huko chache na wanakamiana sana

Ulaya timu bora ni chache na nfondocha ni nyingi

Mfumo wa ligi ya south america ni noma kama kufuzu world cup kila taifa la south america wanacheza mechi na kila nchi kisha wanaangalia points kw ujumla

Ulaya timu kama germany inaweza pangiwa timu kama israel lithuania na timu zifananazo na hozo hivo kw ninavo ona no rahisi zaidi kufunga magoli ulaya kuliko america ya kusini

Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app
 
Kama lewandowsk huyu angekuaa timu kama france belgium kwa miaka hii basi angefunga goli kama 50 ndani ya miaka 3 kwa taifa lakee

Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app
 
Goal = Lengo/shabaha!! Lengo la mpira wa miguu ni kufunga magoli na si vinginevyo!! Pointi hupatikana kwa kufunga timu pinzani!! Utamu wote wa mpira kilele chake ni goli. Kwa hiyo anayefanikisha kufikia lengo hilo ni mchezaji bora sana!! Kwa mantiki hiyo Ronaldo ni mchezaji bora.
Katika kila mashindano huwa kunakuwa na mchezaji bora anachaguliwa na mfungaji bora wa mashindano ni award mbili tofauti. Kumbuka Canavaro alishawahi kuwa mchezaji bora duniani sasa sijui ni goal=Lengo/shabaha....
 
Mkae mkijua America ya kusini timu zao huko chache na wanakamiana sana

Ulaya timu bora ni chache na nfondocha ni nyingi

Mfumo wa ligi ya south america ni noma kama kufuzu world cup kila taifa la south america wanacheza mechi na kila nchi kisha wanaangalia points kw ujumla

Ulaya timu kama germany inaweza pangiwa timu kama israel lithuania na timu zifananazo na hozo hivo kw ninavo ona no rahisi zaidi kufunga magoli ulaya kuliko america ya kusini

Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile ap
Namba hazidanganyi! Maneno yamejaa udanganyifu ndio maana unatumia maneno mengi na nguvu nyingi kugombana na namba! Kwa taarifa yako Taifa bora duniani kwa soka kwa sasa liko ulaya na si Amerika ya kusini! tatizo umekariri mambo yaliyopitwa na wakati. Tazama ranking ya FIFA halafu uje uniambie hapa kwenye kumi bora ni nchi ngapi zinatoka amerika ya kusini na ngapi zinatoka ulaya!!
 
Mkae mkijua America ya kusini timu zao huko chache na wanakamiana sana

Ulaya timu bora ni chache na nfondocha ni nyingi

Mfumo wa ligi ya south america ni noma kama kufuzu world cup kila taifa la south america wanacheza mechi na kila nchi kisha wanaangalia points kw ujumla

Ulaya timu kama germany inaweza pangiwa timu kama israel lithuania na timu zifananazo na hozo hivo kw ninavo ona no rahisi zaidi kufunga magoli ulaya kuliko america ya kusini

Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app
Namba hazidanganyi! Soka bora kwa sasa liko ulaya na si South America kama unavyotaka kutuaminisha! Nikuulize, lini mara ya mwisho Argentina ilichukua kombe la dunia? Au lini mara ya mwisho nchi kutoka amerika ya kusini ilichukua kombe la dunia? Hizo nfiyo namba ambazo hazidanganyi. Nakuwekea mkeka hapa wa nchi 20 bora katika soka kwa mujibu wa FIFA halafu nihesabie wewe mwenyewe katika 20 bora ni nchi ngapi zinatoka amerika ya kusini? Nasema tena namba hazidanganyi, angalia hapa! Kwenye kumi bora ziko 3 tu za amerika ya kusini na ukiacha brazil ambayo ni ya 3, zingine ziko mkiani mwa kumi bora ziko 6 tu za kutoka amerika ya kusini! Namba hazidanganyi! Kwa hiyo Messi anashindana na vibonde zaidi kuliko Ronaldo na bado hapati matokeo mazuri kulinganisha na mwenzake!! Angalia hizo namba chini ambazo hazidanganyi!

Rank: from 1st to 50th​

RankPointsTeam
11783.38Belgium Belgium
21757.3France France
31742.65Brazil Brazil
41686.78England England
51666.12Portugal Portugal
61648.13Spain Spain
71642.06Italy Italy
81641.95Argentina Argentina
91639.08Uruguay Uruguay
101631.55Denmark Denmark
111629.56Mexico Mexico
121609.12Germany Germany
131606.21Switzerland Switzerland
141605.75Croatia Croatia
151600.66Colombia Colombia
161598.04Netherlands Netherlands
171570.36Wales Wales
181569.81Sweden Sweden
191569.52Chile Chile
201549.87Poland Poland
 
Namba hazidanganyi.Kama Messi amefunga magoli 73 kwa mechi 146 ina maana anahitaji mechi 2 ili afunge goli 1. Tofauti ya mechi kati yao ni 30. Kwa hiyo kwa kasi ya Messi angefunga magoli 15 katika hizo mechi alizopungukiwa. Ukimwongezea hayo magoli 15 anafikisha magoli 88, wakati Ronaldo ana magoli 109!!! Namba hazidanganyi.
Lakini pia tukiwahesabia magoli yao kwa kipindi ambacho wote walikuwa wanacheza yaani kuanzia mwaka 2005. Yaani tusiyahesabu magoli aliyofunga Ronaldo mwaka 2003 na 2004. Tukifanya hivyo tunamwondolea Ronaldo magoli 9, atabaki na magoli 100, na Messi magoli yake 73!! Namba hazidanganyi!!
Yaani majibu kama haya ndo nayafurahia sana, timu MESSI naona kwenye huu uzi hawana pakutokea
RONALDO hoyeeeeee
 
Namba hazidanganyi! Soka bora kwa sasa liko ulaya na si South America kama unavyotaka kutuaminisha! Nikuulize, lini mara ya mwisho Argentina ilichukua kombe la dunia? Au lini mara ya mwisho nchi kutoka amerika ya kusini ilichukua kombe la dunia? Hizo nfiyo namba ambazo hazidanganyi. Nakuwekea mkeka hapa wa nchi 20 bora katika soka kwa mujibu wa FIFA halafu nihesabie wewe mwenyewe katika 20 bora ni nchi ngapi zinatoka amerika ya kusini? Nasema tena namba hazidanganyi, angalia hapa! Kwenye kumi bora ziko 3 tu za amerika ya kusini na ukiacha brazil ambayo ni ya 3, zingine ziko mkiani mwa kumi bora ziko 6 tu za kutoka amerika ya kusini! Namba hazidanganyi! Kwa hiyo Messi anashindana na vibonde zaidi kuliko Ronaldo na bado hapati matokeo mazuri kulinganisha na mwenzake!! Angalia hizo namba chini ambazo hazidanganyi!

Rank: from 1st to 50th​

RankPointsTeam
11783.38Belgium Belgium
21757.3France France
31742.65Brazil Brazil
41686.78England England
51666.12Portugal Portugal
61648.13Spain Spain
71642.06Italy Italy
81641.95Argentina Argentina
91639.08Uruguay Uruguay
101631.55Denmark Denmark
111629.56Mexico Mexico
121609.12Germany Germany
131606.21Switzerland Switzerland
141605.75Croatia Croatia
151600.66Colombia Colombia
161598.04Netherlands Netherlands
171570.36Wales Wales
181569.81Sweden Sweden
191569.52Chile Chile
201549.87Poland Poland
We kijana wewee,kwa majibu haya daah! yaani hapa timu messi umewawekea GOTI shingoni
 
Nafunga mjadala! Timu Messi inapumulia kwenye mashine na hawana namna wanavyoweza kubishana na namba! Namba hazidanganyi!! CR7 juuuuuu!!!!!!!!!
 
Tuwekee na penati. Je katika hayo magoli ya mesi ni mangapi ya kawaida na mangapi ni penati. Na cr hivyo hivyo tupe ya penati mangapi katika hayo magoli
Cr7 ktk magoli 109 ya timu ya taifa 14 ndio penalties...
 
Back
Top Bottom