Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kweli mkuuMessi kawaweza wote, sio VVD peke yake
Hatimae dk 90 zimesema ukwelDkk 90 ndiye msema kweli pekee.
Messi kathibitisha yeye ni bora kwa misimu zaidi ya saba....vvd yeye msimu mmoja tu
Messi kathibitisha yeye ni bora kwa misimu zaidi ya saba....vvd yeye msimu mmoja tu
VVD mnamuonea tu, Liver wote wamezidiwa na Messi.
Yule Fabinho alianza kumkba Messi kwa sifa lakini kadiri muda ulivyosonga mbele na yeye ndio akawa anazurura tu.
Finally amechakaaa vibayaaaaaaHakunaga mkate mgumu mbele ya chai
Liver lazima wachakae
PovuuuuuuUbora wa Messi na CR 7 umebakia kwenye ufungaji tu wa magoli lkn huwezi kudai Messi wa leo hii ni sawa na wa 2014 au 2013, ni big NO
Kwanza leo Liverpool walistahili ushindi maana ukiangalia hata umilikiji mpira Mo Salah kacheza kuliko hata huyo Messi
Inaonekana unateseka Sana,pole Sana yule ni shetani #leomessi
Povuuuuuu
Povuuuu mkuu, unatesekaFulia hilo lidomo lako lisinuke likiisha rudi tena kufata lingine