Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wakuu wa jukwaa habari zenu!
Leo ndio ile siku ya kuamaliza utata, Mchezaji bora toka kuumbwa kwa Ulimwengu Lionel Messi atakapokuatana na anayedhaniwa kuwa beki hodari kwa msimu huu Van Dijk pale Nou Camp.
Je ni nani atamuweka mwenzake mfukoni, utamu wa mechi hii uko hapo, mimi kwangu mambo mengine yote ya mechi hii siyataki.
Nataka kuona Messi Vs VVD nani atafanikiwa kumnyamazisha mwenzake hasa ukizangatia Nou Camp hatoki mtu salama!
Tukutane wakati wa mechi!